na ulivyokuwa unalilia talaka chezea mhaya na katerero yake mwenyewe umenywea
Ahahahaa hii ndo jf couple of the year yaani tunavyopendana hadi raha hasa hasa ikikaribia mwisho wa mwezi mapenzi yananoga zaidi hadi wa kina Erickb52 wanaona wivu copy😡Bishanga
The secretary una mapenzi ya kweli au una roho ngumu na roho mtakavitu tu?
vyote ukiunganisha unapata unbreakable love
bora umwambie
Niwafafanulie kwa Picha za mfano kutoka lile Jukwaa la kule chini au!
bora umwambie
Ndo kashaelewa huyo mwanawane.. Maufundi hayasaidii kama wewe ni "man trouser".. (English msisitizo) The secretary..
Darling mimi na wewe ni kama ulimi na mate haviachani....i love you....,hawa mashankunku acha waseme tu midomo hailipiwi luku.
Kopi: Nicas Mtei
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako!
Hahahahahaaaaaa The secretary bhana lol Bishanga kafulia hadi anatoa zawadi ya Mswaki lol ni balaaaaBishanga : Sweetie otea nimekununulia zawadi gani ya birthday?
The secretary : Oh jamani sweetie umeninunulia nini?
Bishanga : Unakumbuka ile RAV4 uliionaga ukaipenda sana rangi yake?
The secretary : Woooow honey! oh my God! Umeninunulia ile??! I luv u so much Bishanga wangu !!
Bishanga : Hapana nimekununulia mswaki una rangi kama ile.
The secretary : Kwenda zako huko. Usije kwangu. Nyambafff.
Mi ndo nimemweza hafurukuti aki shake kidogo tu namwambia bado nalipa ana cool ndo maana unamwona yupo busy anasaka mahela tu muulize Mamndenyi kaishia kupewa mapromise tu nikicheua kidogo tu ahadi zinayeyuka