Mmtu kumpenda mkewe ni kulewa?
Hilo suala nilielekeze kwa The secretary.
The secretary alnipgia usiku huo.
Wanatimua mavumbiii sisi twalaa mapinduzi hawayawezi bila wewe siwezi ishii
Mh.. Mashairi tu hayo The secretary.. ati huwezi ishiii..!
Mimi naye daimaa mimi naye daimaa kufa kuzikanaa
Unacheka nin?
Wanatimua mavumbiii sisi twalaa mapinduzi hawayawezi bila wewe siwezi ishii
Mh.. Limbwata linafanya kazi hapa.. Nicas Mtei namtafutia kitu moja hivi inaitwa gubete ambalo litamzindua toka kwenye hili limbwata.. The secretary ana kiwanja na Bishanga ndo mjenzi..