Mahojiano ya Bishanga na The Secretary..

Mahojiano ya Bishanga na The Secretary..

sosoliso umedata wewe,unamtakia nini mke wangu The secretary?

Mh Bishanga.. mie na wewe.. ciwezi katu kumtaka shem wangu kwako.. sema nilikuwa ninawapasha hao wajue wewe sio mwanaume wa ufundi tu.. Bali unashuka vizuri tu.. Juzi nimemuona shem The secretary anaendesha Harrier.. nikakumbuka ule msemo "behind every woman who drives a Harrier.. there must be a disgruntled & jealousy man with a deep hole in his bank a/c"..
 
Mh Bishanga.. mie na wewe.. ciwezi katu kumtaka shem wangu kwako.. sema nilikuwa ninawapasha hao wajue wewe sio mwanaume wa ufundi tu.. Bali unashuka vizuri tu.. Juzi nimemuona shem The secretary anaendesha Harrier.. nikakumbuka ule msemo "behind every woman who drives a Harrier.. there must be a disgruntled man with a deep hole in his bank a/c"..

Aaaaaa sosoliso hela ya kununua ka halia kwangu ni keep change
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji
ha ha ha ha haaaaaaaaaa
please nakuomba fanya editing haya maneno
dah wale watoto wasije kusema ni ukweli dah dah Bujibuji si ulisema jogoo wako hapandi mtungi.

Mamndenyi si tulikubaliana iwe siri?
Mwanamke gani wewe unakatika hadi navunjika?
Sasa siri yetu umekuja kuimwaga huku unadhani ni tabia njema kuwaumiza wenzako na kipaji chako cha kufanyia mapenzi?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
halafu atakaenionea Bishanga amwambie namtafuta. wazima wote humu ndani?
 
Last edited by a moderator:
Toa tangazo mapema Paloma.. Wataalam wa katerero wanatakiwa.. Vigezo na masharti kuzingatiwa..

NB: Usibabaishwe na hawa wenye copyright na hii kitu.. ( Bishanga & co i mean).. Hata mngindo au mmakua anaiweza hii kitu aisee..

hahahhaaaaaa...............haya ngoja niwork on vigezo na masharti. manake nataka yenye ladha orijino. ya kichina sitaki kabisa.


Wala siyo wa kutafuta niko hapahapa Paloma, niite nami nitaitika na kukuonesha hayo yote na ziada.

.............mhhhhhhhh!!! kwanza nikushukuru Arushaone
sitaki ya kichina! nataka orijino!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga Bishanga Bishanga yani unataka kunipeperushia ndege wangu. Judgement my love nakupenda vile ulivyo usisikilize maneno ya watu

Huyo Bishanga atakua wa pili kumshuka!
Organ iliyopo chini ya pua imemshuka, kugusa kifua!
Then hana shukrani Muhaya huyu, pamoja na wewe kunibembeleza nimpatie mkopo wa baskeli ,still anangenga chonga!
Binadamu bwanaah !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom