Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

[emoji1] [emoji1] [emoji1] zari huyu huyu aliyemuacha mume aliyezaa nae watoto wa 3 na kukimbilia Serengeti boy hahaha kweli wabongo sie wanafiki sana, kisa ni Mbongo mwenzetu basi ni chuki juu ya chuki dhidi yake
Unatambua sababu ilomfanya aachane naye? Msiwe watoa hukumu kiivyo,lazima Kuna sababu kuwa ambayo any matured woman hawezi kuiongea na kumdhalilisha baba watoto wake na Ndio maana hadi umauti unampata Ivan alimpenda Zari.
 
Na angekana hahahahah lingeshushwa bomi hilooo sio la nchi hiii
Ila zari bana [emoji23][emoji23][emoji23]
Binamu Zari na Dai wasiachane rohoooo kwatuuuuu mtoto wetu kakubaliwa woyoooooo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] raha gani hiiii
 
Dada wa USA alifikiri Dai atazingua akaandaa na wapiga tarumbeta na wapiga zumari, eti anamwambia Hamisa kuwa dai akizingua alipue bomu la hiroshima, sasa nadhani hapa DADA anatafuta pa kupumulia maana matundu yote yamezibwa.
Wewe humjui Mange kaa kimya tu! Mange alianza kuyasema haya hata huyo Hamisa mwenyewe alikua hajaanza kutangaza, eti Mange atafute pa kupumulia hahaha pole yako kijana hujamjua vizuri yule Dada
 
Bigup kwa hamisa. Hatimae mwanae kawa recognised publically.
 
Heheheheh na bado anakuja wa pili ,,hamissa kalenga pazurii,hawatoishia hapo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeona eeeeh!wanaomponda hamisa wengi michepuko humu na wanaume wakataaa watoto
 
Dada wa USA alifikiri Dai atazingua akaandaa na wapiga tarumbeta na wapiga zumari, eti anamwambia Hamisa kuwa dai akizingua alipue bomu la hiroshima, sasa nadhani hapa DADA anatafuta pa kupumulia maana matundu yote yamezibwa.
Na ndio wanamponza had dogo anasema atafuata sheria za nchi alipe laki 2 kwa mwezi, na ninavyomfahamu Mange atamshauri Hamisa aongee na media! Baada ya mwezi wakipata umbea mwingine wanamuacha peke yake analea huku hana mahusiano mazuri na baba yake
 
Unatambua sababu ilomfanya aachane naye? Msiwe watoa hukumu kiivyo,lazima Kuna sababu kuwa ambayo any matured woman hawezi kuiongea na kumdhalilisha baba watoto wake na Ndio maana hadi umauti unampata Ivan alimpenda Zari.
Sidhani kama duniani kuna sababu mpya watanzania tutulie tuache unafiki kwa kujifanya tunaegemea upande wa victim kwa kudhani tunamuongezea nguvu
 
Dada hawa ndo walewale wasiojitambua na wakataa mimba ndo wanatetea
 
Hii ni funzo kwa wadada mnaovua nguo kwa wame za watu
 
Muache aishi anavyotaka yeye.

Wewe na diamond kinachowaunganisha ni muziki wake tu hayo mengine wala hayakuhusu.

Pia hata ukimchukia hatopungukiwa na kitu ,sidhani hata show zake kama huwa unahudhuria.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....wape wape vidonge vyao....ushankupe tuu....kinachowafanya washangae Diamond kumega midadaz mizuri ....D kidume....na kwa taarifa tu ...mwanaume kama una pesa na humegi vizuri unadharaulika sana....so big up Mond
 
Kweli watanzania tunajua kuzitumia njia za kuondoa stress; soka na muziki
 
Haya Interview imeisha mrudi makazini mfanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…