Obamaeli Rutajecha
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 230
- 274
Sema mkuu siku hizi wameupuuza, umeonekana wa kawaida sana watu wanakula mashudu na siku zinaendaHamas au Al shabab hao jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema mkuu siku hizi wameupuuza, umeonekana wa kawaida sana watu wanakula mashudu na siku zinaendaHamas au Al shabab hao jamaa
Unatambua sababu ilomfanya aachane naye? Msiwe watoa hukumu kiivyo,lazima Kuna sababu kuwa ambayo any matured woman hawezi kuiongea na kumdhalilisha baba watoto wake na Ndio maana hadi umauti unampata Ivan alimpenda Zari.[emoji1] [emoji1] [emoji1] zari huyu huyu aliyemuacha mume aliyezaa nae watoto wa 3 na kukimbilia Serengeti boy hahaha kweli wabongo sie wanafiki sana, kisa ni Mbongo mwenzetu basi ni chuki juu ya chuki dhidi yake
Hanishindi Mimi. Mimi baba jeskarDiamond mtu wa shombo sana..... sasa sijui leo atatema shombo gani
Dangote ana hasira, Wema Freeman kampotezea muda sana !Yaan hivi dai hawez acha kumto...mba hamissa,,ategeshe nyingine ili waone hataki utani azae wawili tena halaf akae sasa
Binamu Zari na Dai wasiachane rohoooo kwatuuuuu mtoto wetu kakubaliwa woyoooooo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] raha gani hiiiiNa angekana hahahahah lingeshushwa bomi hilooo sio la nchi hiii
Ila zari bana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe humjui Mange kaa kimya tu! Mange alianza kuyasema haya hata huyo Hamisa mwenyewe alikua hajaanza kutangaza, eti Mange atafute pa kupumulia hahaha pole yako kijana hujamjua vizuri yule DadaDada wa USA alifikiri Dai atazingua akaandaa na wapiga tarumbeta na wapiga zumari, eti anamwambia Hamisa kuwa dai akizingua alipue bomu la hiroshima, sasa nadhani hapa DADA anatafuta pa kupumulia maana matundu yote yamezibwa.
Si uje kwangu Mnyamani tuskize oteMi ntaskia hapa hapa maana redio sina
Bigup kwa hamisa. Hatimae mwanae kawa recognised publically.Acheni unafiki Diamond alipomuita Misa Bitch are dying for fame na baadae kuandika mistari ya kukataa kua yeye si baba dully ni baba tifa baba Nillan alikua na maana gani? Hivi mnadhani kila mwanamke anachizika sana na pesa hee bila ya kumpigania mwanae
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeona eeeeh!wanaomponda hamisa wengi michepuko humu na wanaume wakataaa watotoHeheheheh na bado anakuja wa pili ,,hamissa kalenga pazurii,hawatoishia hapo
SAFI SANA KWAKWELISAFI SANA DIAMOND....
HIZI AKILI SI ZA TANZANIA.
Na ndio wanamponza had dogo anasema atafuata sheria za nchi alipe laki 2 kwa mwezi, na ninavyomfahamu Mange atamshauri Hamisa aongee na media! Baada ya mwezi wakipata umbea mwingine wanamuacha peke yake analea huku hana mahusiano mazuri na baba yakeDada wa USA alifikiri Dai atazingua akaandaa na wapiga tarumbeta na wapiga zumari, eti anamwambia Hamisa kuwa dai akizingua alipue bomu la hiroshima, sasa nadhani hapa DADA anatafuta pa kupumulia maana matundu yote yamezibwa.
Sidhani kama duniani kuna sababu mpya watanzania tutulie tuache unafiki kwa kujifanya tunaegemea upande wa victim kwa kudhani tunamuongezea nguvuUnatambua sababu ilomfanya aachane naye? Msiwe watoa hukumu kiivyo,lazima Kuna sababu kuwa ambayo any matured woman hawezi kuiongea na kumdhalilisha baba watoto wake na Ndio maana hadi umauti unampata Ivan alimpenda Zari.
Dada hawa ndo walewale wasiojitambua na wakataa mimba ndo wanateteaAcheni unafiki Diamond alipomuita Misa Bitch are dying for fame na baadae kuandika mistari ya kukataa kua yeye si baba dully ni baba tifa baba Nillan alikua na maana gani? Hivi mnadhani kila mwanamke anachizika sana na pesa hee bila ya kumpigania mwanae
Huyu demu kuna yule Mkongo aliyepitia mastar wote na yeye alikua anajiachia naye tu kitaaSema mkuu siku hizi wameupuuza, umeonekana wa kawaida sana watu wanakula mashudu na siku zinaenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....wape wape vidonge vyao....ushankupe tuu....kinachowafanya washangae Diamond kumega midadaz mizuri ....D kidume....na kwa taarifa tu ...mwanaume kama una pesa na humegi vizuri unadharaulika sana....so big up MondMuache aishi anavyotaka yeye.
Wewe na diamond kinachowaunganisha ni muziki wake tu hayo mengine wala hayakuhusu.
Pia hata ukimchukia hatopungukiwa na kitu ,sidhani hata show zake kama huwa unahudhuria.