Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Na ndio wanamponza had dogo anasema atafuata sheria za nchi alipe laki 2 kwa mwezi, na ninavyomfahamu Mange atamshauri Hamisa aongee na media! Baada ya mwezi wakipata umbea mwingine wanamuacha peke yake analea huku hana mahusiano mazuri na baba yake
Mshaanza kumsingizia Dada wa Taifa hapa hahaha muacheni Mange wa watu jamani eeh eeh hahaha huko bize na Lisu mwenzenu
 
Duh.................. kwahiyo mtoto atakua anapewa laki 2 kwa mwezi haaaaaaaaa
ila Dai loves Zari, ni vile tu umalaya ni ka tabia kake
Hahahaha Hamisa katumbuliwa kutoka 500 elfu hadi 200 elfu....na hapo D kamuonea huruma huwa haifiki hiyo...!
Hamisa alikosa washauri kaingia kichwa kichwa...hahahaha
 
Dau limeshuka kutoka laki 5 kwa wiki plus zingine na sasa ni laki 2 kwa mwezi plus diapers..
Huyu baada ya kuzaa angepata hata mamilioni kwa wiki. Waliomponza wazidi kumshauri.. siku hizi pesa analipa mwanasheria kwa kuweka kwenye account.
Alitaka kuwa mke, Zari aachwe..
Laki 2 ngoja nimcheke jinga hilo.. aendelee kuuza papu kwasababu ba mtoto wake wa kwanza alimuacha kwa hilo.

Hamiswa hadi kumdanganya baba D na kumnunulia nguo mpya avae eeeeh.. ahudhurie 40.. hamiswa aende milembe kuchekiwa

Zari ni mke.. harusi kama hukualikwa ungejuaje.. ina ilipakwa kusherekea
 


Mange siyo Mshauri ona alivyomdharirisha Hamisa sasa upepo unamgeukia leo ndiyo atakuwa wakuchekwa tu.. Eti Mwanasheria wake anataka alipwe 5Million kwa Wiki kweli wanawake zero ni Zero Ssa hapo Sura yake ataiweka wapi
 
Wewe humjui Mange kaa kimya tu! Mange alianza kuyasema haya hata huyo Hamisa mwenyewe alikua hajaanza kutangaza, eti Mange atafute pa kupumulia hahaha pole yako kijana hujamjua vizuri yule Dada

Mange analishwa tu manews hana lolote...anachofanya yeye ni kupost tu kitu alichotumiwa na wadau...hata wewe unaweza ukamtumia vituko vyako na akavipost pia.
 
Hayaa sasa Wanawake DIAMOND anawaambia woote ambao mna hisi amewazalisha...

Pelekeni watoto..

DAHH...

MONDI....SUCH A MEIN...
Hahaha nampeleka na mwanangu akajipatie baba lol, na nipewe laki 7 kwa week rav 4 juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…