Hakumkana ilikuwa ndani ya makubaliano yao....sasa Hamisa na uswahili wake akajua anamkomoa Zari....
Mtu amelea mimba mpka kujifungua hadi gharama na vifaa vya Mtoto unataka nini tena kama sio kuuza gazeti.?
Kiukweli Ata Mimi Pia Sikuwa Nategmea Hili Kwa Daimond..Hehehehe na hili ndo lilikuwa tegemeo la wengi ila Domo amewapiga bao la kisigino ...huko walipo hawaamini masikio yao..Namsubilia mange na post yake itakayokuja sijui atazuga nini
Kabisa, na huyu dawa yake ampeleke mtoto kwa zari akose hata hela anayopata nowHamisa hajielewi yaani kwa maelezo ya diamond kama ni kweli hamisa angemsikiliza akakaa kimya angepata mambo mengi mazuri na pengine angepewa hata mtaji wa biashara kwa ajili ya mtoto sasa kwa ujinga wake na uswahili kaharibu
Mswahili haachi asili.!hahaaaaa He loves Zari saaana..........
sema mtoto wa Tandale alibugi akakutana na mtoto wa Tandika Hamisa
Usisahau haya majambo hufanyika. Naamini kuna siku Hamisa naye alifikiria kuitoa (wanted huwa inabadilika na kuwa unwanted mama)What is future ya mtoto ambae anakataliwa hadharani? Hivi unamjenga vipi huyo mtoto kisaikolojia katika jamii inayomfahamu kua amekataliwa hadharani? Tena huku mamake akiitwa Bitch !! Kisa tu watembelee Rav 4 na wale chakula kizuri etc.
Kupenda pesa kutawauwa future yoyote ya mtoto huanza kujengwa kwa kujiamini kwa mtoto mwenyewe, nitakupa mfanyo mmoja wakati tupo shule kuna kijana alikua akiitwa Ongala ni mtoto wa damu wa Remmy Ongala alikua akiishi maisha ya kimasikini sana maana Remmy alikua hamtunzi yule mtoto ila mtoto alikua akijisia fahari sana kua mtoto wa Remmy Ongala,pamoja na umasikini wake maisha duni anayoishi yeye na bibi yake (maana mamake aliolewa kwingine) lakini alikua haachi kujitambukisha kua yeye ni mtoto wa Remmy Ongala
Siku moja Remmy alikuja shuleni kwetu na Bendi yake ya Matimila katika kampeni za kuhamashisha mapambano dhidi ya ukimwi, na kipindi kile kilikua kuna ule wimbo wake ulikua unaitwa "mambo yote kwa soksi"
Huwezi amini Ongala alikua mtu wa kwanza kwenda kumkumbatia Remmy na kuita jina "baba" na kwa namna walivyokua wakifanana Remmy nae akamkumbatia na tangu hapo alianza kufatilia maisha ya mtoto wake mpaka kifo kilipomchukua.
Zari hawezi mpokea baada ya misuguano hiyo. Ni kumtunza kiugumu tu!Kabisa, na huyu dawa yake ampeleke mtoto kwa zari akose hata hela anayopata now
Yani hata mimi nimemuonea huruma amejiharibia sana kwa kutaka tu mtoto ajulikane ni wa nani kumemponzaHamisa hamna kitu kichwa ni ziro kabisa.Hajui kula na kipofu atakuwa amepoteza vingi kwa Naseeb kwa kutaka sifa au kushinda na Zari.
Yeye alitakiwa apige kimya mpaka ajue msimamo wa mtoto wake atapata nini?
Tangu mimba alianza kujishaua,mwanaume mwenye familia yake huwa hawapendi ujinga wa hivyo hata kama amechepuka lkn huwa wanapenda mchepuko uwe na usiri na heshima kwa familia yake.
kuishi kwa kutegemea K kuna muda wake hata uwe mzuri kama pesa.
Unabishana tu! Mama wa huyo Ongala akutuma mtu atukanwe mama Kalli au kwamba ana mtoto ambaye hajulikani kama Kali au Jesca! Aliitwa bitch baada ya kupiga picha za mama Dai na dada yake kwa media! Kama umeambiwa nahitaji privacy kwenye mahusiano umekubali then unavunja makubaliano just because umkomoe mke mwenzio hata mimi nakukana! Diamond kwa kazi yake bad publicity inaweza ikamuharibia hata kazi yake then awe maskini, hivi kuna mwanaume anaweza kumsifia mpenzi anayeweza kutishia usalama wa kipato chake?What is future ya mtoto ambae anakataliwa hadharani? Hivi unamjenga vipi huyo mtoto kisaikolojia katika jamii inayomfahamu kua amekataliwa hadharani? Tena huku mamake akiitwa Bitch !! Kisa tu watembelee Rav 4 na wale chakula kizuri etc.
Kupenda pesa kutawauwa future yoyote ya mtoto huanza kujengwa kwa kujiamini kwa mtoto mwenyewe, nitakupa mfanyo mmoja wakati tupo shule kuna kijana alikua akiitwa Ongala ni mtoto wa damu wa Remmy Ongala alikua akiishi maisha ya kimasikini sana maana Remmy alikua hamtunzi yule mtoto ila mtoto alikua akijisia fahari sana kua mtoto wa Remmy Ongala,pamoja na umasikini wake maisha duni anayoishi yeye na bibi yake (maana mamake aliolewa kwingine) lakini alikua haachi kujitambukisha kua yeye ni mtoto wa Remmy Ongala
Siku moja Remmy alikuja shuleni kwetu na Bendi yake ya Matimila katika kampeni za kuhamashisha mapambano dhidi ya ukimwi, na kipindi kile kilikua kuna ule wimbo wake ulikua unaitwa "mambo yote kwa soksi"
Huwezi amini Ongala alikua mtu wa kwanza kwenda kumkumbatia Remmy na kuita jina "baba" na kwa namna walivyokua wakifanana Remmy nae akamkumbatia na tangu hapo alianza kufatilia maisha ya mtoto wake mpaka kifo kilipomchukua.
Sasa Hamisa atabaki na nani? Kote kaharibu.
Atabaki na washauri wake wa insta lolSasa Hamisa atabaki na nani? Kote kaharibu.