Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Kuna mambo hajayaweka wazi kwa zari..baada ya hapa huenda yakamkost sana.....
 
DIAMOND NI MJINGA SANA. HAKUTAKIWA KUKUBALI HADHARANI HATA KAMA MTOTO NI WAKE. ANGEMTAFUTA TU HAMISA KWA SIRI WANGEYAZUNGUMZA UPYA, WAKAELEWANA. HAYA ALIYOZUNGUMZA REDIONI ANGEYABORESHA NA KUZUNGUMZA NA HAMISA.

AKUMBUKUE KUWA, ZARI INGAWA ALIKUWA ANA WASIWAS KUWA MTOTO NI WA MONDI LAKIN HAKUWA NA UHAKIKA, KUMTHIBITISHIA NI DHARAU, KUMDHALILISHA NA KUMFANYA ASIKUAMINI KABISA.

ILA SIMLAUMU MONDI, ELIMU NDOGO KULIKO ZARI.

DIAMOND, MWANAUME KOROMEO (KUVUMILIA)
 
Hamisa hajielewi yaani kwa maelezo ya diamond kama ni kweli hamisa angemsikiliza akakaa kimya angepata mambo mengi mazuri na pengine angepewa hata mtaji wa biashara kwa ajili ya mtoto sasa kwa ujinga wake na uswahili kaharibu
Kabisa, na huyu dawa yake ampeleke mtoto kwa zari akose hata hela anayopata now
 
Leo nimeingia ofisi fulani, namtafuta mtu naambiwa yuko staff lounge. Nikaingia huko nakuta kundi nauliza kuna nini mnaangalia kwenye TV ? Naambiwa Diamond anahojiwa Clouds TV.

Nimetoka hapo nimekuja lunch nakuta wafanyakazi wote wamezunguka TV najiuliza hawa vipi nilipoangalia nikakumbuka ni mahojiano ya Diamond!

Hata JF hawako nyuma thread ya hayo mahojiano inakimbia kweli kweli. Ama kweli udaku unapendwa....
 
What is future ya mtoto ambae anakataliwa hadharani? Hivi unamjenga vipi huyo mtoto kisaikolojia katika jamii inayomfahamu kua amekataliwa hadharani? Tena huku mamake akiitwa Bitch !! Kisa tu watembelee Rav 4 na wale chakula kizuri etc.
Kupenda pesa kutawauwa future yoyote ya mtoto huanza kujengwa kwa kujiamini kwa mtoto mwenyewe, nitakupa mfanyo mmoja wakati tupo shule kuna kijana alikua akiitwa Ongala ni mtoto wa damu wa Remmy Ongala alikua akiishi maisha ya kimasikini sana maana Remmy alikua hamtunzi yule mtoto ila mtoto alikua akijisia fahari sana kua mtoto wa Remmy Ongala,pamoja na umasikini wake maisha duni anayoishi yeye na bibi yake (maana mamake aliolewa kwingine) lakini alikua haachi kujitambukisha kua yeye ni mtoto wa Remmy Ongala
Siku moja Remmy alikuja shuleni kwetu na Bendi yake ya Matimila katika kampeni za kuhamashisha mapambano dhidi ya ukimwi, na kipindi kile kilikua kuna ule wimbo wake ulikua unaitwa "mambo yote kwa soksi"
Huwezi amini Ongala alikua mtu wa kwanza kwenda kumkumbatia Remmy na kuita jina "baba" na kwa namna walivyokua wakifanana Remmy nae akamkumbatia na tangu hapo alianza kufatilia maisha ya mtoto wake mpaka kifo kilipomchukua.
Usisahau haya majambo hufanyika. Naamini kuna siku Hamisa naye alifikiria kuitoa (wanted huwa inabadilika na kuwa unwanted mama)
 
ila Wanaume jamani..................., uwiiii jamani
haya mambo yanaumiza hadi maini.....
 
Hamisa hamna kitu kichwa ni ziro kabisa.Hajui kula na kipofu atakuwa amepoteza vingi kwa Naseeb kwa kutaka sifa au kushinda na Zari.
Yeye alitakiwa apige kimya mpaka ajue msimamo wa mtoto wake atapata nini?
Tangu mimba alianza kujishaua,mwanaume mwenye familia yake huwa hawapendi ujinga wa hivyo hata kama amechepuka lkn huwa wanapenda mchepuko uwe na usiri na heshima kwa familia yake.
kuishi kwa kutegemea K kuna muda wake hata uwe mzuri kama pesa.
Yani hata mimi nimemuonea huruma amejiharibia sana kwa kutaka tu mtoto ajulikane ni wa nani kumemponza
 
What is future ya mtoto ambae anakataliwa hadharani? Hivi unamjenga vipi huyo mtoto kisaikolojia katika jamii inayomfahamu kua amekataliwa hadharani? Tena huku mamake akiitwa Bitch !! Kisa tu watembelee Rav 4 na wale chakula kizuri etc.
Kupenda pesa kutawauwa future yoyote ya mtoto huanza kujengwa kwa kujiamini kwa mtoto mwenyewe, nitakupa mfanyo mmoja wakati tupo shule kuna kijana alikua akiitwa Ongala ni mtoto wa damu wa Remmy Ongala alikua akiishi maisha ya kimasikini sana maana Remmy alikua hamtunzi yule mtoto ila mtoto alikua akijisia fahari sana kua mtoto wa Remmy Ongala,pamoja na umasikini wake maisha duni anayoishi yeye na bibi yake (maana mamake aliolewa kwingine) lakini alikua haachi kujitambukisha kua yeye ni mtoto wa Remmy Ongala
Siku moja Remmy alikuja shuleni kwetu na Bendi yake ya Matimila katika kampeni za kuhamashisha mapambano dhidi ya ukimwi, na kipindi kile kilikua kuna ule wimbo wake ulikua unaitwa "mambo yote kwa soksi"
Huwezi amini Ongala alikua mtu wa kwanza kwenda kumkumbatia Remmy na kuita jina "baba" na kwa namna walivyokua wakifanana Remmy nae akamkumbatia na tangu hapo alianza kufatilia maisha ya mtoto wake mpaka kifo kilipomchukua.
Unabishana tu! Mama wa huyo Ongala akutuma mtu atukanwe mama Kalli au kwamba ana mtoto ambaye hajulikani kama Kali au Jesca! Aliitwa bitch baada ya kupiga picha za mama Dai na dada yake kwa media! Kama umeambiwa nahitaji privacy kwenye mahusiano umekubali then unavunja makubaliano just because umkomoe mke mwenzio hata mimi nakukana! Diamond kwa kazi yake bad publicity inaweza ikamuharibia hata kazi yake then awe maskini, hivi kuna mwanaume anaweza kumsifia mpenzi anayeweza kutishia usalama wa kipato chake?
 
Back
Top Bottom