Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Akili nyingi zipi hizo? Kapewa kila kitu hili akae kimya wakati Diamond akiwalea wote, yeye na mtoto.
Kile kidogo alichokua anapata nacho kimeminywa ndio akili yenyewe? Angekaa kimya akaishi maisha ya kula raha tu
Yaani Ni kweli kabisaa..

Uyu Mwanamke Yaani Natamani Ata Ningemuazima Kidogo Tuuh Ubongo wangu Then Hili Lingeisha Angenirudishia
 
Akili nyingi kutambua haki ya mtoto kumtambua na kubainisha mzazi wake. Asipotoa matumizi atapelekwa ustawi wa jamii atoe matumizi kwa % aone kama hajatoa kubwa zaidi ya hiyo.

Kulea ni zaidi ya hela baba ajulikane hata Hamisa akifa mtoto akimbilie kwa babe. Siri ni kama wasingezaa wamezaa mtoto sio siri.
*nasisitiza mimi siyawezi* wanaoweza wakomae.
Hata mim yaan mtoto wangu afanywe wa siri hapana,,nampongeza Hamisa
 
Nimeshawambia Kuwa Baada ya Interview hioi tayari Dimond atapigwa Vchini na kama hataapigwa chini atakuwa amepoteza credibility za kuwa kwenye mahusiano ya upendoi kama awali..

Yaani huu ni mtegoa mkubwa kwa Dimona na Zari kaucheza vizuri.. Sasas hivi Zari kuja Bongo tena itakuwa kwa masharti.. Amemuambia kuwa a google ajue maana ya neno Deformation

Ndio maana ameshindwa kujibu ni lini au wapi aliyaongea hayo kwa Zari.
 
Yaan zari atakuwa mwanamke wa ajabu kama ataachana na diamond kisa diamond kazaa na Hamisa.

Hivi ni wanawake wangapi tena wenye ndoa zao haya yanawatokea? Sio ishu kbs wala hamtakiwi kumuwazia kbs. zari anajua anachokitaka

Usiskilize uongo wa way zari mpende baba wa watt wao ili upate kichwa cha mwanaume cha kusimama nyumban kwako kama baba
Acheni kuongea kishabiki jmn. Hivi ni wanawake wangapi wanaweza samehe kosa kama hili?
Umechepuka tena kavu na mtoto juu kama vile haitoshi kwenye kitanda hicho hicho.
 
[HASHTAG]#seduceMe[/HASHTAG] link on bio
Tangu jana nilitoa sababu zangu kwa nini namfatilia Alikiba.
 
Hahaa hawezi yaani mjinga hamisa cjapata kuona kapoteza 70 kwa siku sasa mtoto ataanza kupewa lak 2 kwa mwezi HV hamisa ana vidato vingapi jamani maani sio kwa ujinga huu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] domo sasa kapata akili next akichepuka achepuke na watu wenye class zao kama kina dillish ni sawa ila sio watu wenye njaa hivi nadhani kaona madhara yake....
 
Da! penye miti hakuna wajenzi. Wallah ningempata mie mwanamume wa hivi..... ningejilia kiulainiiiiii bila kelele wala mikwaruzo kutoka popote duniani......
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] domo sasa kapata akili next akichepuka achepuke na watu wenye class zao kama kina dillish ni sawa ila sio watu wenye njaa hivi nadhani kaona madhara yake....
Tena huyo dilish ndio hawezi kuvumilia kama hamisa
 
Zari mwenyewe mbona wamekutana akiwa na watoto wake wakubwa2,awe mpole wakalee mtoto kwanza ndosafi ngoma drop.
 
Back
Top Bottom