Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mbona Diamond kaweka wazi kabisa kuwa anaendaga kumuona mtoto wake na mpaka mzazi anamjua?
Kiba ana watoto wa 3 na kila mtoto na mama yake, sasa cha ajabu nini kwa Mondi kua na watoto wa 3 na mmoja mama tofauti? Usitetee ujinga
 
Eti akili zangu ni kama za mobeto hahaha yaani Mimi ningekua na ujasiri ule wa Mobeto nadhani lingenitokea ingelikua funzo kwa wanaume wapuuzi wanaokubali ndani na kukataa nje ,kwanini mkose misimamo? Diamond sio mwanaume wa kwanza maarufu mwanamziki kuzaa nje ya mahusiano yake (tena sio ndoa) hivyo hakupaswa kuwabagua watoto kua hawa wa kujulikana nje na huyu ni wa kujulikana ndani hapo alikosea sana,ni bora angekaa kimya tangu sakata lilipoanza
Mobeto toka siku aliyokubali kufanya uhusiano wa siri na Domo huku akiuona uhusiano wa Zari na Mondi ulivyo! angekua na hata akili za kuvukia zebra asingebeba mimba! Mwanamke smart angejua future ya uhusiano wa baba na mtoto utakuaje
 
Nampongeza Hamisa ana akili nyingi sana japo watu wanamuona mjinga. Baba wa mtoto ni huyo na mtoto keshazaliwa na alichofanya ni kuweka wazi tu majina ya baba wa mtoto hajaongeza neno.

Eti hajui kula na kipofu! Kula nini? Ili baadae mtoto amlaumu mama umenificha babangu na baba ajitetee ni mamako alikuwa hataki tujuane vizuri.
Hamisa aendelee kutukanwa kinuka chupi, bitch n.k wakati walikata mauno wote, angejua ana familia angejiheshimu au anunue malaya wa usiku mmoja avae condom ngumu.

Mi siyawezi ya Hamisa ila anayeweza ukizaa na mtu usifiche awajibike kwa mauno yako ova.
Angekataliwa ingekuwa shida ila kama jamaa alikubali kila kitu mpaka kuhudumia nini shida..Kilichomponza Hamisa ni cheap popularity!!!
Naamini angekuwa anaonana na baba mtoto na hata Zari angukuja kujua late isingekwa ishu sana. WE MEN!!!
 
Hahaa hawezi yaani mjinga hamisa cjapata kuona kapoteza 70 kwa siku sasa mtoto ataanza kupewa lak 2 kwa mwezi HV hamisa ana vidato vingapi jamani maani sio kwa ujinga huu
Ni mwanamke mjinga tuu atakaye kubali kumuaibisha baba wa watt wake kisa publicity. Hivi anadhan diamond akishuka kimziki nani atakaye pata hasara?

Zari hana cha kupoteza, ni business woman ktk level ya kiinternational. Yy hamisa je? Hizo picha za modeling. kibongobongo zina soko kubwa kiasi gan?
 
Hahaa hawezi yaani mjinga hamisa cjapata kuona kapoteza 70 kwa siku sasa mtoto ataanza kupewa lak 2 kwa mwezi HV hamisa ana vidato vingapi jamani maani sio kwa ujinga huu
Ndo alichokitaka acha apewe tu hiyo laki 2
 
Hapo umeongea ukweli siku baba anadanja mtoto anakosa hata mirasi maana si alikua mtoto wa siri halafu wanataka kutudanganya eti bahati mbaya mara shetani lakini ukisikiliza huo mpango wote walipanga huyo demu abebe mimba
Tatizo lipo hapo kukubali uhusiano wa siri na mume wa mtu au mwanaume wa mtu alafu unategemea mtoto awe public
 
Diamond na yeye mjinga kiaina..

Alitaka mke wa Dar na SA

Akakutana na mswazi mwenzake mtoto wa kisomali aliyeja damu ile mbaya ya unyama

Akome.. na akwende hukoooooo
Mashabiki wa Zari wengi wetu tusahau..
 
Mobeto toka siku aliyokubali kufanya uhusiano wa siri na Domo huku akiuona uhusiano wa Zari na Mondi ulivyo! angekua na hata akili za kuvukia zebra asingebeba mimba! Mwanamke smart angejua future ya uhusiano wa baba na mtoto utakuaje
Sifurahii uzinzi wa Mobeto uzinzi wa zari wala uzinzi wa Diamond lakini tulichotaka ni Diamond kuto kataa mtoto kama yeye alivyokataliwa na babake. Ni hivyo tu
 
Tupe ubuyu mkuu wa huko snap
Screenshot_2017-09-19-12-54-49.png
Screenshot_2017-09-19-12-54-46.png
 
Sifurahii uzinzi wa Mobeto uzinzi wa zari wala uzinzi wa Diamond lakini tulichotaka ni Diamond kuto kataa mtoto kama yeye alivyokataliwa na babake. Ni hivyo tu
Tutakesha! Diamond hajakataa mtoto tatizo ni utoto wa Hamisa kuwasikiliza magwiji wa Insta
 
WACHAMBUZI WA MAMBO YA FAMILIA ZA WATU KATIKA UBORA WENU.
 
Back
Top Bottom