Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Inauma sana yaan watu wanatoa hadi video ya chambua kama karanga,,unakua unajua ni maswala ya kazi kumbe watu wanakulana na mimba juuu
 
Sasa hapa kajiharibia officially.... kaishia kupewa child support ya serikali..... kamalaya tatizo na hajui kutumia umaarufu wake kwa faida. Kakosa yote sasa wanaompa kichwa wakampe sasa hizo laki 5 za kila wiki.... Insta inampa kichwa as if ndo inalea mtoto.
Akili ni nywele na hamisa ndio kaamua kuwasikiliza walimwengu, katika maisha usijifananishe case yako na ya mwingine eti kisa zari anapewa $2500 per month na yeye anataka hahah doh
 
huu ujinga nauona sana youtube aisee unavuma sana siku hizi. mi mwenyewe nipo korea kaskazini hapa sijui kiswahili kabisa ila nmeejitahidi kukujuza tu.
Hahahahahahahaah,,, kumbe nawe ushakutana nayo mi nachekaga kinoma yani
 
' Bitch is dying for fame' mie mwanamke nilijua Hamisa anasema ukweli sasa leo si bitch ni nani?.
 
Hata mim yaan mtoto wangu afanywe wa siri hapana,,nampongeza Hamisa
Sio siri ni kuheshimiana tu, ni agreement tu...Mi sitakuoa ila ntakutunza na mtoto nipo katikati ya mahusiano na Mke wangu, sasa ukishavuruga serious relationshipa na credibility yangu unapata faida gani na wala sitakuoa.
Na pia sitakupenda tena na huduma ntakatisha, who will be doomed?
 
Kama hamisa anaona dili kuzaa azae watatu ili awe kampuni zari kwa idadi ya watt.

Huu ujinga wa wanawake sijui utaisha lini kwakwel i
Tatizo naye yupo too selective...sasa hivi atakuwa anaviziwa mtoto wa Bakhresa.
 
Acheni kuongea kishabiki jmn. Hivi ni wanawake wangapi wanaweza samehe kosa kama hili?
Umechepuka tena kavu na mtoto juu kama vile haitoshi kwenye kitanda hicho hicho.
Halafu tena kwakuonesha kiburi unaenda kutangaza wazi kwenye media tena mubashara. Zari akiweza kuendelea na Diamond apewe tuzo
 
Tutakesha! Diamond hajakataa mtoto tatizo ni utoto wa Hamisa kuwasikiliza magwiji wa Insta
Utoto upi huo nyie kila siku ndo mliokua mnaongoza kumtukana kuna kumita malay.a anayetafuta kiki kupitia Diamond mnafikiri anamoyo wa Chuma? Pesa haina thamani mbele ya Utu.Eti unapokea 500,000 kwa wiki wakati mbele za watu anakuita Malaya unaitafuta kiki hili halivumiliki hata kidogo.
 
Hivi unaijua Recognition wewe!? Ni zaidi ya pesa,kitendo cha Diamond kumkubali tu mtoto wa Hamisa hata asipotoa mia ni faraja kwa Hamisa,msituletee mambo yenu kuna tendo la siri ila hakuna mtoto wa siri watoto wote wote wote wana baba zao wawatunze wasiwatunze ni lazima wajulikane na sio kumkataa kataa kisa unaleta sent kumi zako
Nimesoma baadhi ya comments za wanaume, nimeishia kuumia. Majority ya wanaume hawajali hisia za watoto wao, wao wanachojali ni kutoa pesa tu. Eti mtu kakomaa "nimempa millioni 7, nimemnunulia Rav 4", so kama unampa hela ndo umkane mwanao? That's too from a person aliyekanwa na baba ake, angalau yeye alipewa hata na jina la mzee Naseeb, naona Hamissa aliambiwa atumie jina la baba ake as if yeye ndo alimtia mimba. Mtu kumkubali mtoto wake hata kama ana uwezo wa kumpa sh 200 means a lot to the kid. Hivi huyu mtoto angekuaje kwneye mazingira ya kumuona baba anaspend some quality times na watoto wake wengine afu wewe mwenzangu hata kupiga picha na baba ni uchochezi maana picha ikivuja ni tatizo, watu wanaelewa kweli what it means to be a father? Huyu mtoto angekua kwenye saikolojia ya hali gani? Tena bora baba anayekukataa mazima, kuliko ambaye anakufanya siri sijui anakuonea aibu kisa nini sijui. Afu baba zima na akili zake linakuja eti "Hamissa kajikosesha mengi", pumbaff linawaza material things tu. Hivi kuna mmama anayebeba mimba miezi 9 akashindwa kumlea mwanae hata kama ni kwa kunywa uji?

Kama diamond alishakiri na kuomba msamaha kwa familia yake (zari na kwa ndugu zake), ni nini kilimfanya aendelee kumficha mtoto? Trust me hata dunia nzima ikugeuke, as long as familia yako imekuelewa na inakussuport, kila kitu kitakuwa sawa tu eventually.
Alikuwa anawahofia wabongo? Hao wanaume wa kumnyooshea diamond vidole wako wapi, hawa ambao kucheat ni nature yao na ndo ufahari wao? Na sisi wanawake ambao tunaamini all men cheat? Seriously alikuwa anajisikiaje mtoto wake anavyotukanwa eti hana baba? Mbona angekubali tu mapema, siku mbili tu tungeshasahau. Albert msando yalimkuta kwa giggy lakini he owned up his mistake na tushasahau na ndoa yake imesimama kama kawaida. Sidhani kama yangefikia yalipofikia leo kama Dai angekubali mapema tena angeweka mazingira mazuri na angekuwa free kukata mazoea yasiyo na msingi na Hamissa, in case of chochote, anawaomba tu familia isimamie

Kwa hilo Hamissa la kutoa hiyo misiri hadi dai kamuaccept mtoto publicly nampongeza kabisa, hakuna mtoto wa public na private. Ila liwe somo kwake na kwa mabinti wote tunaoembrace kuwa the other woman na kufanywa kisirisiri, maana mwishowe na mtoto atakuwa wa sirini, dhambi kubwa sana. Angekuwa mwanamke mwingine hapa ungemsikia "Aah nimenunuliwa gari na nyumba, mwanangu anasoma vizuri hata asipomuweka wazo mtoto ni sawa tu" pambaff yani watu wanafanya watoto vitega uchumi afu mtoto anaishia kupata a lifetime psychological torture. Kuhudumia hata loan board imehudumia watu wengi tu, ila sio baba ake mtu. Hili limeshapita mbona, amlee tu mwanae kwa uhuru
 
Utoto upi huo nyie kila siku ndo mliokua mnaongoza kumtukana kuna kumita malay.a anayetafuta kiki kupitia Diamond mnafikiri anamoyo wa Chuma? Pesa haina thamani mbele ya Utu.Eti unapokea 500,000 kwa wiki wakati mbele za watu anakuita Malaya unaitafuta kiki hili halivumiliki hata kidogo.
Mimi na nani?
 
Back
Top Bottom