Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Akili nyingi zipi hizo? Kapewa kila kitu hili akae kimya wakati Diamond akiwalea wote, yeye na mtoto.
Kile kidogo alichokua anapata nacho kimeminywa ndio akili yenyewe? Angekaa kimya akaishi maisha ya kula raha tu
Yaani Ni kweli kabisaa..

Uyu Mwanamke Yaani Natamani Ata Ningemuazima Kidogo Tuuh Ubongo wangu Then Hili Lingeisha Angenirudishia
 
Hata mim yaan mtoto wangu afanywe wa siri hapana,,nampongeza Hamisa
 
Ni mambo ya Williamson mine Mwadui huko, mara wamekamata kifurushi Airport, mara wamefunga mgodi, mara wamefungua ...yaani ni vululuvululu hata mimi sifuatilii.
Hahaaaaaaa daaaaa Fyatu
 

Ndio maana ameshindwa kujibu ni lini au wapi aliyaongea hayo kwa Zari.
 
Acheni kuongea kishabiki jmn. Hivi ni wanawake wangapi wanaweza samehe kosa kama hili?
Umechepuka tena kavu na mtoto juu kama vile haitoshi kwenye kitanda hicho hicho.
 
[HASHTAG]#seduceMe[/HASHTAG] link on bio
Tangu jana nilitoa sababu zangu kwa nini namfatilia Alikiba.
 
Hahaa hawezi yaani mjinga hamisa cjapata kuona kapoteza 70 kwa siku sasa mtoto ataanza kupewa lak 2 kwa mwezi HV hamisa ana vidato vingapi jamani maani sio kwa ujinga huu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] domo sasa kapata akili next akichepuka achepuke na watu wenye class zao kama kina dillish ni sawa ila sio watu wenye njaa hivi nadhani kaona madhara yake....
 
Da! penye miti hakuna wajenzi. Wallah ningempata mie mwanamume wa hivi..... ningejilia kiulainiiiiii bila kelele wala mikwaruzo kutoka popote duniani......
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] domo sasa kapata akili next akichepuka achepuke na watu wenye class zao kama kina dillish ni sawa ila sio watu wenye njaa hivi nadhani kaona madhara yake....
Tena huyo dilish ndio hawezi kuvumilia kama hamisa
 
Zari mwenyewe mbona wamekutana akiwa na watoto wake wakubwa2,awe mpole wakalee mtoto kwanza ndosafi ngoma drop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…