Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Ajabu sana laki tano kwa wiki, rav 4 na matusi debe eti anyamaze mbona mama yake Dai alimtunza ht hizo laki mbili hakuwa anapewa? mie Hamisa ni shujaa wangu tena kama mnafuatilia kwa undani binti huyu asingefikia kutoa zile picha kama mzazi mwenzie angemheshimu, amechukua muda sana. Haki ya mtoto ni muhimu kuliko pesa na matusi.
 
Sikupenda Mondi kumuumiza Zari lkn wanaume kwa kuchepuka wamenishinda
 
Nilikuuliza swali fupi na jibu lako lilitosha kuwa fupi lakini umenipa maelezo kibaooooo
 
Aah aisee nimezidi kuwashangaa hawa ndugu zetu wanaovaa suruali. Mtu yupo busy "nimempa sh ngapi sijui vitu gani" Aah afu sijui alikuwa anavitoa huku moyoni vinamuuma, huto tuvitu ndo tu tungereplace "acceptance" yake kwa mwanae? Nonsense, amshukuru Hamissa kamsaidia kuondoa dhambi ya kumkana mwanae, tena afanye na TOBA
 
Halafu tusimuukumu hamisa tu lazima kutakuwa kuna kitu hakikwenda sawa katika makubaliano yao ndio maana yule demu akaamua kufanya vile
 
ndo matokeo ya kula karanga nyingi...kuanzia leo sili karanga zake...[emoji1][emoji1][emoji1]if u know what i mean...
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hivi kuna binti bongo asiyekua na pesa? Basi mzembe huyo na hajui kutumia fulsa

Zali na wakina anti,hamisa,masogange,wolper wapo daraja moja?
 
Hehehe wanaume wa kiafrika ni [emoji90][emoji90][emoji90]
 
Wa Tanzania ni watu wa ajabu sana .Leo hii tumeitana ili kuja kushuhudia uzini na uchafu anao fanya diamond na wanawake zake. Kwa hali ilivyo kwa mafunzo ya dini ya kiisilamu Daimond na Zari hassan wote ni wazinifu maana wamezini mpaka kuzaa watoo wawili ujinga ule ule alio ufanya kwa Zari karudia tena kwa Hamisa na watu wanashangilia .Ila ushauri wa bure.Diamond atafute mwanamke mwingine afunge naye ndoa ili aache uzinifu na uchafu.
 
As long Nassib hajamuoa Hamisa.
Mtoto si wa Nassib mtoto ni wa Hamisa.
Hii ni kwa mujibu wa imani ya kidini ya Nassib.
 
Reactions: R.B
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…