mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Ajabu sana laki tano kwa wiki, rav 4 na matusi debe eti anyamaze mbona mama yake Dai alimtunza ht hizo laki mbili hakuwa anapewa? mie Hamisa ni shujaa wangu tena kama mnafuatilia kwa undani binti huyu asingefikia kutoa zile picha kama mzazi mwenzie angemheshimu, amechukua muda sana. Haki ya mtoto ni muhimu kuliko pesa na matusi.Mama kama Like zingekua zinarudiwa rudiwa kwa maneno haya ningerudia hata Mara 1000 umeongea vyote,Diamond ashukuru alipewa jina na Mzee Adbudl mpaka nyota ya Naseeb ikang'aa.
Tatizo watu wanawaza Material things badala ya utu wa mtu kuheshimiwa yaani utasema kabla ya mimba ya Dully Hamisa alikua hali,havai wala hanywi