Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Humu wapi tena nimepotea njia wakuu...
 

Kinachoonekana huyu mondi kazoea gonga nisepe kama alivyofanyia wengine sasa kakutana na luba safari hii wacha aisome namba kwanza
 
Kwa mwanaume kama mimi kosa la diamond kubwa ni kumkana mtoto on public siku ya interview, lile swali alitakiwa ajibu kwa sura mbili 1. Angewaeleza waandishi sipo tayari kujibu hilo swali lakini muda mwingine nitajibu 2 . Angekubali mtoto ni wangu lakini sina mahusiano zaidi na mama yake naomba radhi kwa familia yangu na mashabiki na wote waliokwazika na hili.
 
First dating 2010, wakarudia tena wakatoa nyimbo ya salome, means mapenzi yalikua ya muda mrefu hayo halafu mnataka nini tena simply yameisha
 
Hehehe wanaume wa kiafrika ni [emoji90][emoji90][emoji90]
Hehehehe....haya heri yetu harufu inatoka kwenye tundu moja ......wenye mawili sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni ujinga mtupu kutaka Zari na mondi waachane Mimi nlikua nataka mtoto apate public recognition only that
Tena angemkubali mapema sidhani hata kama ingekuwa big deal kwa Zari, japo yes angeumia and all that but, sidhani kama Zari angemuacha Dai kisa kuzaa na Hamissa, hata baada ya kuwa baby momma, she will never be a threat to zari. "Acceptance" kitu cha msingi sana
 
Sikh hizi tunatambulisha baba za watoto istagram ?
 
So officially Diamond ana watoto wawili wa kwake I mean biologically Tifah na huyu nani vileeee Prince Abdul! Hongera zake. Tulizana sasa ujenge familia ndani ya Madale
 
Kinachoonekana huyu mondi kazoea gonga nisepe kama alivyofanyia wengine sasa kakutana na luba safari hii wacha aisome namba kwanza
Kakutana na mtaalam usikute kamtegeshea makusudi

Hili ni funzo kwangu
 
Je diamond angemkana leo asingekua mtoto wake?

Mwanaume ameikubali mimba,ameilea na anamuhudumia mtoto shida iko wapi?familia ya dai inajua hakuna aliyekataa mtoto ila hamisa alikua anataka umaarufu aonekane na dunia nzima kua kazaa na daimond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…