Sasa kama makubaliano ni hivyo kwanini Dai alikuja kumtukana na kumita Malaya anatafuta Jina?Huyo Dada alishawahi kuikubali hadharani kuwa hiyo mimba ni ya Diamond?, Mabeto mbele ya video alikana hiyo mimba sio ya Diamond na akamuonyesha mwenye Mimba
Kifupi walikuwa na makubaliano yeye na Diamond, ya kumfanya huyo mtoto siri kwenye public, lakini hiyo ingefika muda inhekwisha tu na mtoto angetambulika, shida kubwa ya Wadada zetu wa Kitanzania hawana uelewa wa kutumia fursa, wako wepesi sana kushawishiwa na kukubali ushauri wa kijinga
Sasa kutoka 5mil anaenda kuambulia 200K
Pili kwako pesa ni bora kuliko utu?
So bora udhalilike upate 5,000,000/-