Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Huyo Dada alishawahi kuikubali hadharani kuwa hiyo mimba ni ya Diamond?, Mabeto mbele ya video alikana hiyo mimba sio ya Diamond na akamuonyesha mwenye Mimba

Kifupi walikuwa na makubaliano yeye na Diamond, ya kumfanya huyo mtoto siri kwenye public, lakini hiyo ingefika muda inhekwisha tu na mtoto angetambulika, shida kubwa ya Wadada zetu wa Kitanzania hawana uelewa wa kutumia fursa, wako wepesi sana kushawishiwa na kukubali ushauri wa kijinga
Sasa kutoka 5mil anaenda kuambulia 200K
Sasa kama makubaliano ni hivyo kwanini Dai alikuja kumtukana na kumita Malaya anatafuta Jina?
Pili kwako pesa ni bora kuliko utu?
So bora udhalilike upate 5,000,000/-
 
Nafikiri point yangu ilikuwa ni hii "kama walikubaliana kumfanya mtoto wa siri, at least asingemkana publicly". Angezuga tu hiyo habari. Kwanza siri ya nini? Kwa nini tuwatese watoto?
Kilichopelekea kumkana publicly ni nini? Kwa maelezo ya diamond yeye ndo alianza chokochoko za chini chini kutaka kujulikana na kumkomoa zari (tusubiri maelezo yake akihojiwa) pili baba kakataa kuendeleza mahusiano na wewe rather kutunza mtoto ndo ikamuumiza zaidi (makubaliano yao toka wanaanza kwani ilikua public relationship?) Picha zilizovuja zote kapiga yeye that means yeye ndio amevujisha.
Angekua na akili angetuliza mshono baba awepo kwenye maisha ya mtoto as usual since familia zinajua since alikua anapewa pesa nyingi zaidi angejiwekea mazingira mazuri kifedha with time huku ukiwa na reputation unajiachia tu na mtoto wako huku ukikuabaliana na matokeo am sure diamond asingekataa mtoto publicly kama mama angetumia akili for the sake of the baby.
Sababu Hamisa hana cha maana mjini anategemea child support ya majizzo career yake ya modelling haieleweki hivi unadhani Yule mtoto wa majizzo anakua katika mazingira gani? Nenda mbele rudi nyuma una mtoto wa kike unaenda kuingilia uhusiano unaojulikana east africa nzima na mimba juu una akili kweli???
Angalia AKA na dj zenhle... Mama kapigwa chini baba yupo kwenye maisha ya mtoto as usual na mama anajituma mnoo juzi tu katoka kumaliza nyumba yake for the sake of the baby... sasa huyu bi dada ni malaya asie na akili watakaopata tabu ni watoto especially yule wa kike na nna mashaka na mama yake mzazi kama akili zake zinamtosha
 
Nachojaribu kusema unapotaka kuzaa na mtu mwenye mke au main chick follow the rules! Ndio maana huwa kuna wanawake wazuri wanashangaa wanawake wa kawaida alafu wanayatoa maisha kwa u side chick sababu ni wapo smart na mpango kando ila wewe inaelekea ukitoka na kigogo mtaa mzima wanajua kesho tu anamega mara ya mwisho anasepa ila akigundua una privacy unayatoa! Kwa mtindo huo huo ukizaa tulia sio unatafuta dada wa bwana au mama unamwambia, utapelekwa na kutambulishwa with time hata kwa mkewe! Ukitaka mambo ya waziwazi tafuta wako uwe main chick! Nadhani ww na Hamisa mna akili hiyo ya kuyajua haya yote siku ya kwanza tu unayokubali kuwa mchepuko
Kuna "mume" wa mtu, angalau hiyo ndo status ambayo haiwezi kubadilika na "mchumba" wa mtu kidogoo makes sense japo na wenyewe unaweza kuvunjika anytime. Ila hakunaga "main chick" wa mtu, unaweza kupinduliwa anytime. Hizo rules sijui nini nini sio za msingi hata, cha msingi tulieni na main chicks zenu sijui wake zenu
 
0acd3f038c417a8dfb3a86ff5cbb8e7f.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaweza kuonyesha wapi kwenye Public Hamisa alisema Mimba ni ya Dai?
Pengine amewambia mashost zake au ndugu ndo wanavujisha habari.Turudi kabla ya Dai hajamtuka Hamisa onyesha ni wapi alihojiwa au kuandika kua Mimba ni ya Dai.
Kumpa mtoto jina la Abdul nasibu ilikuwa jibu tosha kwa welevu kuelewa ila washamba hawakuelewa
 
Kuna "mume" wa mtu, angalau hiyo ndo status ambayo haiwezi kubadilika na "mchumba" wa mtu kidogoo makes sense japo na wenyewe unaweza kuvunjika anytime. Ila hakunaga "main chick" wa mtu, unaweza kupinduliwa anytime. Hizo rules sijui nini nini sio za msingi hata, cha msingi tulieni na main chicks zenu sijui wake zenu
Kwa sheria za ndoa za kitanzania Zari anatambulika ni mke kama ulikua haujui
 
Ndo mama wa mtoto wake aliyemchagua na ndo atamuhusu for the rest of his life as wana mtoto tayari. So next time watu wawe makini kabla ya kufungua zipu zao. Ila to be honest, dai ndo alimuongelea mwenzie vibaya, Hamissa was just a desperate side kick ila kumuongelea dai vibaya, hajawahi
Mm nahis mond alimuongelea hamisa vile kwa hasira baada ya kuona amevunja ahadi yao
 
Kilichopelekea kumkana publicly ni nini? Kwa maelezo ya diamond yeye ndo alianza chokochoko za chini chini kutaka kujulikana na kumkomoa zari (tusubiri maelezo yake akihojiwa) pili baba kakataa kuendeleza mahusiano na wewe rather kutunza mtoto ndo ikamuumiza zaidi (makubaliano yao toka wanaanza kwani ilikua public relationship?) Picha zilizovuja zote kapiga yeye that means yeye ndio amevujisha.
Angekua na akili angetuliza mshono baba awepo kwenye maisha ya mtoto as usual since familia zinajua since alikua anapewa pesa nyingi zaidi angejiwekea mazingira mazuri kifedha with time huku ukiwa na reputation unajiachia tu na mtoto wako huku ukikuabaliana na matokeo am sure diamond asingekataa mtoto publicly kama mama angetumia akili for the sake of the baby.
Sababu Hamisa hana cha maana mjini anategemea child support ya majizzo career yake ya modelling haieleweki hivi unadhani Yule mtoto wa majizzo anakua katika mazingira gani? Nenda mbele rudi nyuma una mtoto wa kike unaenda kuingilia uhusiano unaojulikana east africa nzima na mimba juu una akili kweli???
Angalia AKA na dj zenhle... Mama kapigwa chini baba yupo kwenye maisha ya mtoto as usual na mama anajituma mnoo juzi tu katoka kumaliza nyumba yake for the sake of the baby... sasa huyu bi dada ni malaya asie na akili watakaopata tabu ni watoto especially yule wa kike na nna mashaka na mama yake mzazi kama akili zake zinamtosha
Jamani hayo maisha ya hamissa atajijua mwenyewe, me sipo hapa kumsupport any of them, ila tu mtoto asiye na hatia. Kama hao wazazi wenzie wanaona hamissa hana akili, basi ndo wahakikishe wao ndo wanasimama kwa ajili ya watoto wao
 
Sasa kama makubaliano ni hivyo kwanini Dai alikuja kumtukana na kumita Malaya anatafuta Jina?
Pili kwako pesa ni bora kuliko utu?
So bora udhalilike upate 5,000,000/-

Nadhani Diamond alipanick baada ya kuona Mabeto anaanza kufanya vitu kuwa wazi, baada ya mtoto kuzaliwa Mabeto hakuweza tena kufanya siri, kwanza kwa kumwita mtoto jina linaloshahabiana na Diamond, so Diamond akaona soon mambo yatakuwa hadharani
 
Kwa sheria za ndoa za kitanzania Zari anatambulika ni mke kama ulikua haujui
Me naijua ya kanisani na msikitini teh, afu uzuri Dai ni muislam so ana ruhusa ya kuoa wake wanne. Me shida yangu ni mtoto tu awe recognised publicly, hayo mengine watajuana tu, waoane wasioane shauri zaoooooooooo
 
Hata Mabeto alishaikana hadharani kuwa hiyo Mimba sio ya Diamond, na akaleta na mtu kumwonyesha kuwa ndio mwenye Mimba, so Looks like makubaliano yalikiwepo
Na sio dhambi kubadili maamuzi ukiona makubaliano hayaserve interest bora za mwanao, right?
 
Me naijua ya kanisani na msikitini teh, afu uzuri Dai ni muislam so ana ruhusa ya kuoa wake wanne. Me shida yangu ni mtoto tu awe recognised publicly, hayo mengine watajuana tu, waoane wasioane shauri zaoooooooooo
Angestruggle yeye kuwa public kwanza kabla ya kulilia mtoto awe public tena kwa strategies ambazo hazina kichwa wala miguu
 
Yani nashindwa kuelewa watu kuchagua pesa kuliko utu. Baki na pesa zako niachie utu wangu Dhambi tufanye wote then unakuja kwenye public Eti Malaya anata Kiki, Ningekua Hamisa hivyo vi milioni mbili vyake kwa mwezi nisingepokea.Zinaweza kua nyingi ila utu wangu na zaidi ya hizo aisee
Jamani me mtoto kakubalika, basi ndo raha yangu tu, hela kitu gani pyeeeee
 
  • Thanks
Reactions: kdc
Hapo me ndo kanichosha.... aliacha kutafuta kuwa main chick kwanza ndo ajizalishe karudia yale yale..... akili itamkaa sawa
Si ajifunze hata kwa lulu kidogo , yaani nahis hapo kwa majizzo kameshajiwezesha na kanaendelea kale katoto kana akili nahis ndo maana majizzo amekuwa nae kwa miaka 2 sasa ila hamisa na ujinga wake alikimbilia kubeba mimba akijua ataolewa
 
Na sio dhambi kubadili maamuzi ukiona makubaliano hayaserve interest bora za mwanao, right?

Hapo ndio atapata nini sasa?, lengo lake kuwa public ni kwamba awe part ya Diamond ili apate chochote, au hicho anachokisema Diamond 5mil kwa mwezi,
Lakini mwisho wa siku amejulikana yeye kazaa na Diamond na kapoteza hata kidogo kilichokuwa kwenye makubaliano yao,
Narudia tena , hao wasanii wa Kitanzania wana upeo mdogo sana sana, kama lengo lilikiwa ni kumchuna Diamond si angenyamaza tu na kila kitu kingeendelea?
 
Nadhani Diamond alipanick baada ya kuona Mabeto anaanza kufanya vitu kuwa wazi, baada ya mtoto kuzaliwa Mabeto hakuweza tena kufanya siri, kwanza kwa kumwita mtoto jina linaloshahabiana na Diamond, so Diamond akaona soon mambo yatakuwa hadharani
Unakumbuka vizuri ni wakati gani alitukanwa?
 
Back
Top Bottom