Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Japo ni zinaa,kafanya vizuri kukubali!
At least ile dhambi yake ya kutekelezwa na baba yake imeishia hapo,maana angekataa dhambi ile ile ingeendelea!
Atubu kwa mola wake,na maisha yaendelee!
By the way,nashukuru tumepata damu ya kitanzania,wale waliokuwa wanasema wale watoto aliyozaa na Zari ni wa Ivan watakosa la kusema!
Atapata support kubwa ya wanawake watanzania waliokuwa wanamchukia kwa sababu ya Zari!
 
Unajua huo ni mpango wa familia ya dai wameusuka wenyewe ili kumnanga zari ukiangalia hiyo move
wanamzingua tu zari hapa.hakuna lolote...angekuwa na akili angemweleza zari tangu hiyo mimba ipo.ili waelewane ndani..Kitendo cha kuendelea kuficha hadi kuumbuliwa ni usaliti mkubwa kwa zari.
Infact imesemwa sana kuwa mama yake na familia nzima wanampenda huyo mobeto zaidi ya zari.Kuna tukio wote watatu walishona sare.Diamond inabidi amheshimu Mungu.Yule mwanamke wa Kiganda yuko very strong and very focused.Ni mtu ambaye mwanaume yoyote makini angependa kuwa naye
 
hakutumia busara katika hili kabisa amesahau mtoto ni wababa na mama kama baba kakubali na familia inalitambua ilo sijui aliwashwa nini ,,,nahisi alijua atamkomoa zari kumbe laah kajikomoa mwenyewe kujipost half naked nayo ni ufala tuu
 
afu mshikaji we zwazwa kweli..Ulitaka aache mali za wanawe zichukuliwe na watu wengine??? zari ni mwanamke strong na ndio maana amekuwa imara kuilea familia yake na hata wale watoto wake wakubwa
Kama umeelewa hapo nasi utakuwa unaelewa na 'kifuatacho'!
 
ile familia waswahili tuu lazima wamchague mswahili mwenzao ,,,ila zari wanamponda tuu ila wengi wao wanatamani kuwa na mwanamke strong tena anaye jielewa kama yule
 
hakutumia busara katika hili kabisa amesahau mtoto ni wababa na mama kama baba kakubali na familia inalitambua ilo sijui aliwashwa nini ,,,nahisi alijua atamkomoa zari kumbe laah kajikomoa mwenyewe kujipost half naked nayo ni ufala tuu
Kwa akili yake mtoto ni wa instagram ha ha ha atamlisha like na 200k ya kisheria sasa pumbavu!
 
.
HIVI NIPO JF AU FB MBONA SIELEWIELEWI AU JF IMEVAMIWA
 
ile familia waswahili tuu lazima wamchague mswahili mwenzao ,,,ila zari wanamponda tuu ila wengi wao wanatamani kuwa na mwanamke strong tena anaye jielewa kama yule
Zari bonge la mwanamke yani, nna imani pale ni focus tu amna ushoga wa kupiga umbea zaidi ya few friends wa kufanya nao business na maendeleo zaidi kumind her own business na familia kwanza.
Nahisi anapata shida sana ku cope na waswahili wa Tandale. Ndio maana Diamond hataki kuachia ngazi the woman is very different na wanawake wengi washamba washamba aliowahi kutokaga nao.
 
We una akili sana!! Yaani huyu Hamisa angekuwa mjanja, angeendelea kuzitafuna za Chibu kwa miaka kadhaa ijayo! Na kwavile wanawake hupenda kutegeshea mimba penye pesa, am sure na mvuto ule alionao angetandikwa mimba ya pili very soon na hivyo kuendelea kula maisha bila stress kwa gia za watoto!!!

Na kama ulivyosema, there's no way mtoto wa Diamond na Hamisa anaweza kuwa siri kwa 3+ years, no way! Hata Diamond mwenyewe alifahamu kwamba it's just a matter of time lazima ingefahamika tu!!! Na huku mitaani wanaume ndivyo tunavyofanya! Unapiga mimba mchangani; unakubaliana na uliyempiga mimba kwamba "tufanye siri ili mama nanii asijue lakini na-take responsibility!"

Kwa mwanamke mjanja, anapiga kimya provided mwanaume anatimiza wajibu wake! Ukikutana na hawa akina dada zetu tuliokua nao huku Mbagala, hata kama mlikubaliana lazima atafute njia ya kufikisha ujumbe kwa wife!!

Kilichotokea kwa Hamisa ndo kile Waswahili wanasema "Mtaka yote kwa pupa, huko yote!"
 
Aliona kupiga kazi ni ngumu... bora awe anapewa tu ili ashow off insta vizuri.... Yule ana nature ya kudanga sio kutafuta, kwa hela alizonazo majizzo sidhani kama angeomba mtaji angenyimwa
 
hakutumia busara katika hili kabisa amesahau mtoto ni wababa na mama kama baba kakubali na familia inalitambua ilo sijui aliwashwa nini ,,,nahisi alijua atamkomoa zari kumbe laah kajikomoa mwenyewe kujipost half naked nayo ni ufala tuu
Kunguru hafugiki hata mtoto wa kwanza unaweza kuta sio wa majey

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Zarina hassan huwa anafanya biashara gani?
 
True I stand with Kiba haumizwi na skendo za mahusiano hata akiachana na madem zake wala huoni mapovu wala kashfa kimya kimya kama jokate pamoja na kuwa wameachana ila bado alimsapoti alipotoa nyimbo yake
Wema bado anamsapoti Mondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…