Si kwa mashauzi yale lazima aumie Mganda alimrusha roho Ivan kajua kumuua mwenzake kwa presha maana si kwa kuzaa bandika bandua mtoto wa kwanza anazaliwa amekaa miezi mi3 anazaliwa wa2. Hapana chezea wanaume wandalae na wote pigeni keleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeKwani tatizo liko wapi zari kazaa watoto na wanaume wawili na mond na yeye kazaa watoto na wake wawili.. ...
ndio maanake humpost mtoto alaf unampost mama yake unamtukana kua malaya wewe sema ukweli mtaje aliekupa mimba na uyo mzazi mwenzako mnamshambulia mtu mmoja.Hivi kumkataa mtoto ni kutokumpost eeeh
What is future ya mtoto ambae anakataliwa hadharani? Hivi unamjenga vipi huyo mtoto kisaikolojia katika jamii inayomfahamu kua amekataliwa hadharani? Tena huku mamake akiitwa Bitch !! Kisa tu watembelee Rav 4 na wale chakula kizuri etc.
Kupenda pesa kutawauwa future yoyote ya mtoto huanza kujengwa kwa kujiamini kwa mtoto mwenyewe, nitakupa mfanyo mmoja wakati tupo shule kuna kijana alikua akiitwa Ongala ni mtoto wa damu wa Remmy Ongala alikua akiishi maisha ya kimasikini sana maana Remmy alikua hamtunzi yule mtoto ila mtoto alikua akijisia fahari sana kua mtoto wa Remmy Ongala,pamoja na umasikini wake maisha duni anayoishi yeye na bibi yake (maana mamake aliolewa kwingine) lakini alikua haachi kujitambukisha kua yeye ni mtoto wa Remmy Ongala
Siku moja Remmy alikuja shuleni kwetu na Bendi yake ya Matimila katika kampeni za kuhamashisha mapambano dhidi ya ukimwi, na kipindi kile kilikua kuna ule wimbo wake ulikua unaitwa "mambo yote kwa soksi"
Huwezi amini Ongala alikua mtu wa kwanza kwenda kumkumbatia Remmy na kuita jina "baba" na kwa namna walivyokua wakifanana Remmy nae akamkumbatia na tangu hapo alianza kufatilia maisha ya mtoto wake mpaka kifo kilipomchukua.
Hujaongopa swadaktaaa mimi mwenyew FB nipo napost nashare na nakoment piaAu nimeongopa mkuu
Social networks zote hizo sijui insta, cjui snap cjui Jf cjui upupu gani zote zimeikuta fb nasi tunaienziHujaongopa swadaktaaa mimi mwenyew FB nipo napost nashare na nakoment pia
Ila swali kwa nini mond alikua anamuita hamisa malaya anampost kabisa yeye na zar wanamtukana tena nakumbuka post iyo baada ya kujifungua tu kalud home baada ya siku 2. Kashaamua kunya amalizie na kujichamba tu hakuna jinsiWewe nae embu sikiliza interview vizuri. Diamond alikua involved na mtoto sio matunzo tuu alikua anaenda kuona mtoto na anacheza nae na ana spend time nae. Makubaliano yalikua ni kutokutangaza in public kwamba wamezaa na Hamisa alikubali. Kama angeendelea na makubaliano mtoto angekua akimjua baba yake na tena angekua angekua na maisha normal kushinda akina Tiffa ambao wameshawekwa public kila mtu atakua anawawatch na privacy yao ingekua ngumu.
Sijui mieKwani si kweli?
Unaachaje kumtomba Hamisa sasa..!!!!!??Alichokifanya diamond ni kitu ambacho Mtu yoyote angefanya kama yangemkuta. ..ila nakuambia dai hawezi acha kumt.omb.a hamisa huu ni upepo tu unapita
We nione tuu jamaniiHahaaaa....
Kama nakuona
[emoji3][emoji3][emoji3]We nione tuu jamanii
Kwa mfano😛Unaachaje kumtomba Hamisa sasa..!!!!!??
Hahahaaaa mshaaara wa mbunge duuuuPesa ya matumizi, milioni 5 kwa mwezi. Uyo mtoto anakula makinikia?
Hahahaaaa mshaaara wa mbunge duuuuPesa ya matumizi, milioni 5 kwa mwezi. Uyo mtoto anakula makinikia?
Kaleta tumekula,na mtoto tunamlea afu hakuna time nayeUnaachaje kumtomba Hamisa sasa..!!!!!??
Huwezi jua.Unajua aje ni mtamu kitandani kuliko wengine? Au kila anapopita diamond na wewe unapita?