Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Kwani tatizo liko wapi zari kazaa watoto na wanaume wawili na mond na yeye kazaa watoto na wake wawili.. ...
Si kwa mashauzi yale lazima aumie Mganda alimrusha roho Ivan kajua kumuua mwenzake kwa presha maana si kwa kuzaa bandika bandua mtoto wa kwanza anazaliwa amekaa miezi mi3 anazaliwa wa2. Hapana chezea wanaume wandalae na wote pigeni keleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hivi kumkataa mtoto ni kutokumpost eeeh
ndio maanake humpost mtoto alaf unampost mama yake unamtukana kua malaya wewe sema ukweli mtaje aliekupa mimba na uyo mzazi mwenzako mnamshambulia mtu mmoja.
 
What is future ya mtoto ambae anakataliwa hadharani? Hivi unamjenga vipi huyo mtoto kisaikolojia katika jamii inayomfahamu kua amekataliwa hadharani? Tena huku mamake akiitwa Bitch !! Kisa tu watembelee Rav 4 na wale chakula kizuri etc.
Kupenda pesa kutawauwa future yoyote ya mtoto huanza kujengwa kwa kujiamini kwa mtoto mwenyewe, nitakupa mfanyo mmoja wakati tupo shule kuna kijana alikua akiitwa Ongala ni mtoto wa damu wa Remmy Ongala alikua akiishi maisha ya kimasikini sana maana Remmy alikua hamtunzi yule mtoto ila mtoto alikua akijisia fahari sana kua mtoto wa Remmy Ongala,pamoja na umasikini wake maisha duni anayoishi yeye na bibi yake (maana mamake aliolewa kwingine) lakini alikua haachi kujitambukisha kua yeye ni mtoto wa Remmy Ongala
Siku moja Remmy alikuja shuleni kwetu na Bendi yake ya Matimila katika kampeni za kuhamashisha mapambano dhidi ya ukimwi, na kipindi kile kilikua kuna ule wimbo wake ulikua unaitwa "mambo yote kwa soksi"
Huwezi amini Ongala alikua mtu wa kwanza kwenda kumkumbatia Remmy na kuita jina "baba" na kwa namna walivyokua wakifanana Remmy nae akamkumbatia na tangu hapo alianza kufatilia maisha ya mtoto wake mpaka kifo kilipomchukua.

Wewe nae embu sikiliza interview vizuri. Diamond alikua involved na mtoto sio matunzo tuu alikua anaenda kuona mtoto na anacheza nae na ana spend time nae. Makubaliano yalikua ni kutokutangaza in public kwamba wamezaa na Hamisa alikubali. Kama angeendelea na makubaliano mtoto angekua akimjua baba yake na tena angekua angekua na maisha normal kushinda akina Tiffa ambao wameshawekwa public kila mtu atakua anawawatch na privacy yao ingekua ngumu.
 
Wewe nae embu sikiliza interview vizuri. Diamond alikua involved na mtoto sio matunzo tuu alikua anaenda kuona mtoto na anacheza nae na ana spend time nae. Makubaliano yalikua ni kutokutangaza in public kwamba wamezaa na Hamisa alikubali. Kama angeendelea na makubaliano mtoto angekua akimjua baba yake na tena angekua angekua na maisha normal kushinda akina Tiffa ambao wameshawekwa public kila mtu atakua anawawatch na privacy yao ingekua ngumu.
Ila swali kwa nini mond alikua anamuita hamisa malaya anampost kabisa yeye na zar wanamtukana tena nakumbuka post iyo baada ya kujifungua tu kalud home baada ya siku 2. Kashaamua kunya amalizie na kujichamba tu hakuna jinsi
 
Kiukweli licha ya kutoipenda couple ya Dai na Mobeto lakini huyu Mobeto anaonekana ni mtamu sana kitandani kuliko mademu wote aliotoka nao Diamond.

Licha ya Mobeto kutokuwa na sifa ya wife material kutokana na ukweli kwamba ni mfujaji hodari wa mali , kupenda starehe kupindukia pia uswahili uliomjaa lakini ukweli unabaki pale pale huyu Mobeto ni moto wa kuotea mbali likija suala zima la kitandani .

f6b4e9e60d5bbe7b1c883c1e454ca087.jpg




f686264431872527f33f9b9203de5afa.jpg



e62b33de51bbaed380ee7f7d207c107b.jpg



Hawa wengine kama vile Wema,Wolper ,Zari ,Penny ,Jokate nk ni wazuri pia ila kwa Mobeto wanasubiri sana .

Ila yote kwa yote Mobeto ni msichana wa Ku eat and run si msichana wa kumuweka ndani kama mke.
 
Back
Top Bottom