Manchris Jbisd
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 691
- 494
ohooooo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ikitokea kesho zari akasema Nilla si wa Dangote itakuwaje?
Hapa kwenyewe umemfuatiliaAaaghh,anawasimamisha nyie washamba wenzie msio na kazi kutwa kutafuta umbea mitandaoni.niache kutafuta vitabu vya kina G White na Ben Carson au Economics portals nitafute habari za watu kuzini.sucker?
Teh tehWe c ulikuwa unamsifu, au leo kakunyima karanga?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa kweli leo wambea wa online wamepata tuzo nyingine. Inaniuma sana kwamba mwisho wa siku wanakuwa sahihi.
Samahan iv picha inster huwa wana sevujeMbona kama huamini