Manchris Jbisd
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 691
- 494
Kwa kweli leo wambea wa online wamepata tuzo nyingine. Inaniuma sana kwamba mwisho wa siku wanakuwa sahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ohooooo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ikitokea kesho zari akasema Nilla si wa Dangote itakuwaje?
Hapa kwenyewe umemfuatiliaAaaghh,anawasimamisha nyie washamba wenzie msio na kazi kutwa kutafuta umbea mitandaoni.niache kutafuta vitabu vya kina G White na Ben Carson au Economics portals nitafute habari za watu kuzini.sucker?
Teh tehWe c ulikuwa unamsifu, au leo kakunyima karanga?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa kweli leo wambea wa online wamepata tuzo nyingine. Inaniuma sana kwamba mwisho wa siku wanakuwa sahihi.
Samahan iv picha inster huwa wana sevujeMbona kama huamini