Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

mambo ya binadamu hayo.....eheee sema jimwage leo...hii interview ilibidi ahojiwe na mchomvu na B12 na sudi mbea wetu
 
Hahah mwanaume gani atamuoa, juzi majay alilalamika kwamba hamisa bado anamng'ang'ania
Mtu unaambiwa tafuta biashara nitakusupport we upo busy kumrecord umuumize mke mkubwa, asee huyu dada mjinga ajabu
Familia ya bint walitaka kumtumia dai kujinufaisha lakini pia walitegemea kuzaa kwa hamisa dai ataachana na zeboslady....
 
Nyota yake haina shida,mushkeli uko kichwani mwake.demu wakawaida kama yule kuwa na umaarufu alionao ni nyota tosha.
Umaarufu wa nini that's the question..
Nyota gani kupata wanaume wenye hela ila kuishia kuzalishwa, mwenzetu anatumia kizazi chake kumuweka mjini lol
 
Hahah mwanaume gani atamuoa, juzi majay alilalamika kwamba hamisa bado anamng'ang'ania
Mtu unaambiwa tafuta biashara nitakusupport we upo busy kumrecord umuumize mke mkubwa, asee huyu dada mjinga ajabu
Brenda umeona ujinga wa hamisa sasa , mond bado utamlaum?
 
Hongera Hamisa usingevujisha picha, Diamond asingekubali. Finally kanyooka kama shati na sketi ya shule enzi zile.
Unamsikiliza Mondi? Hakukataa ila conditions alizowekewa ndio alikiuka! Nyinyi ndio mmemponza kuna ma side chick wa watu wakubwa nchi hii wanakula neema kwa sababu wako kimya na wana privacy, huyu demu angetulia angetoka kupitia mtoto sasa hivi atakua anakula child support tu
 
Familia ya bint walitaka kumtumia dai kujinufaisha lakini pia walitegemea kuzaa kwa hamisa dai ataachana na zeboslady....
To be specific ni mama wa binti, mdangaji basi na mwanae nae ndio kafundishwa azae ili kupata kitu,aibu kwao
 
Nlipitwa hiyo ya majay kulalamika..... ilikuaje?
Hahah mwanaume gani atamuoa, juzi majay alilalamika kwamba hamisa bado anamng'ang'ania
Mtu unaambiwa tafuta biashara nitakusupport we upo busy kumrecord umuumize mke mkubwa, asee huyu dada mjinga ajabu
 
Mbona ameshakubali mkuu eti shetani alimpitia dah shatani huyu anabebeshwa mizigo kweli aise
 
Word
 
Haya waliokuwa wanamtukana missa kiko wapi?
 
Ni muda tu,soon mtoto wa pili anakuja. Na kwa nini alitaka mwanae awe private ? Tofauti ya Dully na wa South Africa ni nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…