Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni kushikiwa akili na mitandao ya kijamii badala ya kutumia akili... makosa yametokea tayari basi rekebisha kwa kutumia akili na kuhakikisha wewe na mwanao ni priority.We una akili sana!! Yaani huyu Hamisa angekuwa mjanja, angeendelea kuzitafuna za Chibu kwa miaka kadhaa ijayo! Na kwavile wanawake hupenda kutegeshea mimba penye pesa, am sure na mvuto ule alionao angetandikwa mimba ya pili very soon na hivyo kuendelea kula maisha bila stress kwa gia za watoto!!!
Na kama ulivyosema, there's no way mtoto wa Diamond na Hamisa anaweza kuwa siri kwa 3+ years, no way! Hata Diamond mwenyewe alifahamu kwamba it's just a matter of time lazima ingefahamika tu!!! Na huku mitaani wanaume ndivyo tunavyofanya! Unapiga mimba mchangani; unakubaliana na uliyempiga mimba kwamba "tufanye siri ili mama nanii asijue lakini na-take responsibility!"
Kwa mwanamke mjanja, anapiga kimya provided mwanaume anatimiza wajibu wake! Ukikutana na hawa akina dada zetu tuliokua nao huku Mbagala, hata kama mlikubaliana lazima atafute njia ya kufikisha ujumbe kwa wife!!
Kilichotokea kwa Hamisa ndo kile Waswahili wanasema "Mtaka yote kwa pupa, huko yote!"
Wewe uoni kwamba dai huyo mtoto angemfanya kama mtu ambae anamke alafu pembeni anamchepukoHawa wanawake balaa, mtu anataka upendo na recognition ya aina gani? Mtoto asimamie show toka mimba mpaka labour kisha una option ya kutoa wazo la biashara uwe funded. Ombi ni moja tu mambo yawe low profile kisha unang'ang'ania kupeleka stories kwenye media?
Ila Zari jamani anajionaga mzuri na Diamond hawezi tongoza mwanamke mwingine apa dunia...ila yamemkuta kiumbe mwenzangu mungu ampe uvumilivu nahisi leo atazidi kumkumbuka [HASHTAG]#IVAN[/HASHTAG] the DONE
Wewe uoni kwamba dai huyo mtoto angemfanya kama mtu ambae anamke alafu pembeni anamchepuko
Yule demu story zilizopo aliaidiwa ndoaTusi judge sana kwa kusikiliza stori upande mmoja ngoja Hamisa aitwe tubalance story tuone Nani mjinga kati Yao usikute ahadi zilikuwa hewa hazikutimilizwa je
Au aliahidiwa makubwa zaidi je tuliza munkari
Kwahiyo ww unaamini hamisa alibeba mimba ya diamond kwakuwa anampenda sana?!...je kwa majizo napo ilikuwa ni kwa mapenzi?!Kapoteza kipi kwenye makubaliano yao? Mnawaza tu mali, tena angekuwa privately ndo angezidi kujazwa material things ili asiseme, ila utu ni bora kuliko kosa. Afu washakuwa wazazi, mwisho wa siku watakaa chini watapatana just for the sake of their child na maisha yataendelea (sijasema kurudiana), huyu jini mkata kamba ataondoka tu kati yao. Afu ni vyema wamlee mtoto wao kwa uhuru
Maneno yako mazuri unajua wengine hayajawafika haya ndo maana wanachukulia kirahisirahisi ...inahitaji sana hekima kwa ku-handle haya mambo maana siku zote malezi ya mtoto yanatakiwa yaende sambamba mahusiano mema ya wazazi hata kama wameachana ama mmoja yupo kwenye mahusiano yakeHuyo mtoto asiye na hatia mama ake tu akili hana unadhani wapambe wa insta na jf tutaweza kumfanya awe na akili?
Mwanamke mwenye akili hata akitereza akazaa na mtu mwenye mahusiano yake atafanya namna mwanae asikose mahitaji ya msingi, atatumia akili nyingi kuzuia uadui kati ya baba na mtoto na mtoto na nduguze akikua huko mbele then ataangalia maisha yake anatokaje bila kufungwa na kurudishwa nyuma na makosa aliyofanya.
Mwisho wa siku kama huna namna utaharibu mahusiano yale mengine sababu mwanaume kashasema msijuane na huleti chokochoko ni rahisi mtoto wako kukubalika bila kinyongo na familia ya upande wa pili. Kukiwa na chokochoko nyingi hata mtoto atachukiwa.
For as long as ulianza kama main chick kuwa na mtoto sio guarantee wewe kuwa main.... watu wapambane na hali na kuacha kuparamia wanaume wakware
Anajua mwenyewe moyoni mwake coz kila aliyezaa ndo anajua kwa nini ameamua kuzaa.Kwahiyo ww unaamini hamisa alibeba mimba ya diamond kwakuwa anampenda sana?!...je kwa majizo napo ilikuwa ni kwa mapenzi?!
Basi tuache kusema kama hakufuata umaarufu na hela za diamond kama kweli tunaamini ukweli anao mwnyw moyoniAnajua mwenyewe moyoni mwake coz kila aliyezaa ndo anajua kwa nini ameamua kuzaa.
Ngoja tusubiri kesho part2cha muhimu kusikiliza pande zote.. dai anaangusha lawama zote kwa mwenzie. clouds wamuite na hamisa aeleze upande wake
Sawa nimeacha.Basi tuache kusema kama hakufuata umaarufu na hela za diamond kama kweli tunaamini ukweli anao mwnyw moyoni
Familia nzima wenyewe wanajuana eti hadi ampost kwenye page yake ndo anakua baba kamilihaya maisha ya mastaa ovyo tu,hivi mfano mimi nina mtoto wa mchepuko mama anajua ndg zangu wote wanajua ,mke wangu nishamwambia,sasa jamii inataka nini sasa ,haya mambo mengine ni vihelele vya watanzania kukosa kazi kuanza kujadili maisha ya watu,haya naona saivi kila mtu aliyempa mimba mchepuko ili mtoto akubalike muwe mnatoa matangazo kwenye gazeti au TV,kweli inchiii ya viwanda ni ndoto
Atakuwa mpumbavu kama aliamini! Na hata kama kweli, ndo hapo alipotakiwa kupeleka mambo kimya kimya! There's no way mwanaume mwenye familia anaweza kutangaza hadharani kirahisi rahisi tu kwamba kapiga mimba kwenye mechi za mchangani!!Yule demu story zilizopo aliaidiwa ndoa
Sina ana maduka south na ni director wa chuo kikuu miongoni mwa vyuo alianzisha mumewe rip ivanZarina hassan huwa anafanya biashara gani?
Ubinafsi na kukomoana ni ugonjwa mbaya sana.... Mama inabidi uwe makini sana katika maamuzi sababu mtoto wewe ndio unashinda nae na kadiri anavyozidi kukua unazidi kumuelewesha situation kulingana na umri wake.Maneno yako mazuri unajua wengine hayajawafika haya ndo maana wanachukulia kirahisirahisi ...inahitaji sana hekima kwa ku-handle haya mambo maana siku zote malezi ya mtoto yanatakiwa yaende sambamba mahusiano mema ya wazazi hata kama wameachana ama mmoja yupo kwenye mahusiano yake