Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Wewe uoni kwamba dai huyo mtoto angemfanya kama mtu ambae anamke alafu pembeni anamchepuko
If this what you think upo Mars, duniani huwa mtoto hapotei kwa baba yake. As long as yupo hai wataonana tu na kwa mzee aliemridhia atampigisha bata tu kwa uwezo
 
Hamisa hamna kitu kichwa ni ziro kabisa.Hajui kula na kipofu atakuwa amepoteza vingi kwa Naseeb kwa kutaka sifa au kushinda na Zari.
Yeye alitakiwa apige kimya mpaka ajue msimamo wa mtoto wake atapata nini?
Tangu mimba alianza kujishaua,mwanaume mwenye familia yake huwa hawapendi ujinga wa hivyo hata kama amechepuka lkn huwa wanapenda mchepuko uwe na usiri na heshima kwa familia yake.
kuishi kwa kutegemea K kuna muda wake hata uwe mzuri kama pesa.

Kama alikua hataki uwo ujinga alimpa mimba ya nini kwanini asibaki na mama watoto wake ?!!! Kiranga chake Ndio kimempoza au umesahau alivyokua anamtukana hamisa ulikuo unaona sawa?!!!! Hamisa kamnyoosha jeuri mwenzie kiburi mbona haendelei kukana kama mwanza nini kimembadilisha?!'
 
Malaya haridhika wala hafugiki,hawara nae anataka jamii imjue sijui ndio maajabu wa mwanamke wa kiswahili.
Hivi angenyamaza tu angekula kimyakimya ila kakaa na wauzaji wenzie ndio wakamjaza maneno atoe picha

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Mshamba huyu demu, nimem devalue kwa kasi ya hisa za accacia toka world market
 
Yeye alifungua account ya mwanae akaweka majina yake na ya baba wabongo tukafanya yetu umbea. Na Mtu mwenye ukurasa akiandika na kupost mzazi wa mwanae sio mbaya
Any way hawa malaiika watakuja kutuuliza mengi na wakati huo ni watu wazima hatutakuwa na majibu
 
Atakuwa mpumbavu kama aliamini! Na hata kama kweli, ndo hapo alipotakiwa kupeleka mambo kimya kimya! There's no way mwanaume mwenye familia anaweza kutangaza hadharani kirahisi rahisi tu kwamba kapiga mimba kwenye mechi za mchangani!!

Nadhani alipobugi Hamisa ni ile kuona Zari sio mke wa ndoa kumbe ndoa sio makaratasi wala kiapo mbele ya sheikh au padri bali ni commitment! Hata kama ndo imefungwa kanisani au msikitini jana; kama haina commitment, hiyo sio ndoa compared na maisha ya uhawara yenye commitment ndani yake!
Maneno kuntu
 
kwa nguvu ulokuwa una unaitumia kumkataaa mtoto wa hamisa kiasi cha kumuimba kwenye nyimbo ya [HASHTAG]#fresh[/HASHTAG] remix then Leo unakuja kumkubali!!!!! Na kwa namna ulivyomkana hamisa kias cha ku tweet kwamba " bitches dyn for fame" na kuwafanya mashabiki zako waruke kwa nderemo but Leo hii umekubali mtoto n wako duh!, nataman nkupongeze kwa kukubali mtoto but nafsi inakataa coz had kumkubali kazi imefanyika kubwa mno so wasnt ur intention to agree but external forces, Kwangu nmejifunza some little things abt u let's go and check those things ..
1.MUONGO sikutegemea kwa kukataa kule kwa nguvu zote Leo ungekubali

2.MALAYA haiwezekan ukalala na mwanamke mwingine wakati tayari una mwanamke wako ambaye tayar public inamjua

3.SIFA/KUZUNGUMZIWA unapenda Ku trend hata kwa mambo ya kipuuz sikutegemea kama ungekuwa unajibizana na mwanamke vile wakati ukweli unaujua

Umenfanya niwe na mashaka na mambo mengi yanayokuhusu coz nimekujua unaweza kutunga uwongo na kuusimamia effectively, hatujajua kuhusu nyumba ya south kama n yako kweli au ya zari, hatujajua kama akaunt yako imetuna kweli kama unavyotuaminisha au unatamba na mzigo wa Ivan kupitia zari, na nna mashaka kama kweli humuhofii Ali Kiba kama unavyowaaminisha mashabiki zako coz nlichojifunza n kwamba ww n MUONGO HATARI.
 
Mambo ya ndoa ni mambo ya ndani, Uongo ni sehemu ya mahusiano
Kama wewe ni Mwanamke na hujawahi mdanganya mpenzi wako wa kiume basi bado hujaianza ndoa
 
Hapo unamlipia mtoto bima nzuri,unapeleka pampers na mavazi kila mwezi na mama anachukua hiyo laki 2 tusikie alalamike kitu.


Kwenye miti hamna wajenzi.
 
b9ef0da6001fafa48cfb22354c2b70f5.jpg


Nahisi hamisa hiki ndo alichokuwa anakitaka
Mkuu mpaka leo bado unatumia fb?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unatuaibisha wana JF wenzako.
 
Mhhh umeongea kwa nguvu adi cm imefanya vibration any way ukweli ndio kaunena
 
Back
Top Bottom