Mahojiano ya Godbless Lema na Clouds FM yamehairishwa

Mahojiano ya Godbless Lema na Clouds FM yamehairishwa

1710161574565.png
katoa
 
Wasafi lini mtamuita.Lis
Clouds FM imetangaza kuwa yale Mahojiano yao na Godbless Lema yamehairishwa.

Clouds FM wamsema mahojiano hayo yamehairishwa baada ya Godbless Lema kupatwa na dharura hivyo kuomba mahojiano hayo yasogezwe mbele

View attachment 2930946

Pia Soma: Godbless Lema kutikisa Power Breakfast
Ajabu hamuulizi kwa nini wasafi hawamuita Lisu mpaka leo!! Hivi vyombo vya habari ambavyo vingi ni mateka wa ccm, nini utaamini kutoka kwao? Kama maandamano ya Chadema ambayo yaliruhusiwa na serikali hata TBC chombo cha umma hakikuonyesha hamshangai na hamlalamiki, kweli nyie ni kuhurumiwa sana.
 
Lakini dharula jambo la kawaida ila somo limeeleweka kwamba Watanzania huwa wana hamu kubwa kuwasikiliza hawa wasio ogopa kuikosoa serikali.
Leo kuanzia saa 12 asubuhi watu wengi wali tune Clouds FM ili wamsikie Lema, kuliko hata ingetangazwa Majaliwa au Makamba atakuwepo hapo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwa mara ya kwanza ningesikiliza mahojiano
 
Kwa kiswahili poa, yasiwe sawa na yale alihohojiwa huko Kenya akiwa na Msigwa. Actually zilikuwa nyingi sana.
 
Back
Top Bottom