Tatizo la CHADEMA ni Mbowe full stop
Niliandikaga Uzi Hapa siku moja watu wote wa JF wakanisimamga
Retired Tindo na wengine wanaofuatilia Tanzania na uozo wake na wanataka mabadiliko ya kweli walinikaanga sana bila kugundua na muda huu washagundua kitambo
Uzi ulikuwa hivi (niliambiwa na mtu mzito kwamba kamati kuu inakaa tu CHADEMA hawana ubavu wa kuwafukuza COVID 19 Bungeni mpango ni toka 2020 na Mbowe anajua Dana Dana zoote ni hadi 2025 na hakuna atakaye watoa) na trend inekuwa ileile
Niliandika makusudi na kimkakati na nyuzi zilikuwa mfululizo kutokana na aina ya navyopataga Habari,
Kuna mtu Mzito tu ndani ya Chama cha Mapinduzi Ana ukaribu mno na mzito mmoja ndani ya Taasisi ya CHADEMA
Alinipa mchongo Mzima ambavyo MWENYEKITI ameshirikiana na Idara za juu kabisa za Uongozi wa nchi kutoa Baraka za Wabunge 19 wa CHADEMA kuwa Bungeni, walikuwa na Baraka za mwenyekiti, nikaandika Uzi kwamba
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari. Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika). Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box. Britannica
Watu wakaupuuza huu Uzi
Nikaleta uzi Mwingine kwamba
BUFA * Halima mdee kwa code Hiyo kulingana na sauti yake ,
UJIRA MWIHA * Rushwa
Soma uzi humu
ya Beelzebuli yalimpata Mkuu wa Makuhani kwasababu ya Ujira mwiha , naye bufa aliahidiwa kwamba ntafanya ya beelzebuli Kwa makuhani watakao kuja madhali umeonesha commitment Kwa hili, katika furaha na faraja Mwanasabufa akajifariji kwamba yangeisha kwakua latili zishatangulia, akashangaa ya...
Kwakweli matukio ya kufifisha harakati za Tanzania ni makubwa sana na wanaofifisha ni tunaowaamini,
Lakin ili Tanzania ipate ukombozi na upinzani wa kweli ni kwanza vyama vyote Vife hivi sijui CHADEMA , ACT au TLP na CCM yenyewe ndo tutaweza Kwenda Sawa!
Yaan miaka 20 ijayo kila upande utaheshimu mwingine yaan anayetawala na anayetawaliwa watakuwa wanaheshimiana sana
Siasa za Tanzania zimejaa uhuni mwingi
When it comes kwa ishu ya Lowassa 2015, wanachadema wajinga wengi na wapuuzi hawakujua kwamba pale wamepigwa changa la macho
Mtu ambaye ndo kijiji kizima kina uthibitisho wa kuua watoto na kuwala nyama alafu wakaja wasamaria wanauliza mnahisi ni Nani anaweza kuwa na uwezo wa kupewa kijiti cha kuwalinda watoto wachanga hawa mnampendekeza huyo huyo ambaye mmembrand hivo siku zote !
Na Hilo lilitufunza mengi kwamba wanasiasa wote zile ni ajira tu! Ukitia mzigo wa kutosha mezan unapindua maamuzi ya wengi! Ndo maana hata Slaa Mwanzoni nilimsifu kwa msimamo wake Ila akaja kuvuruga heshima yake kwa kurudi CCM ambako ndo wezi watupu! Angeachana n siasa akastaafu basi ingekuwa ni heshima kubwa !
CHADEMA imejikita katika kufanya biashara kwa ngazi za juu Ila hawa wachini wanakanyaga twende mbele people’s power bila kujua kuwa wanacho nia si wanacho nia viongozi wao 100%
Huyu alompeleka Dula kwa Lissu ni mtu wenu mzito Yule aliye Chana Chana barua ya Dr Slaa kujiuzulu na kuiweka mfukoni , Huku maelekezo yakipewa kutoka kwa mbowe na Lissu inabidi awe mkweli zaidi
Hata simu Zilipigwa toka kwa mbowe kushawishi upokeaji wa bahasha Hiyo !
Asubuhi tunahangaika kuwachangia wanachama wa CHADEMA na viongozi wanaopatwa na matatizo, wananchi wana imani sana na Chama hicho Ila msiporekebika mapema watavunjika moyo sana
Ila mna faida watanzania mi Mi ng’ombe inayosahau haraka
Wameshasahau suala la kutoka gerezan Kwenda kwenye maridhiano! Nilishajua hapo baaaasii
Nikaandika Uzi “mlete haraka atatusaidia mambo yetu kitaifa na kimataifa kuliko kumuacha gerezani atakuwa ameshapata somo hata wapinzani wenye nia ya kushindana wataogopa” ilikuwa ni kauli nzito sana
Namba mbili wamesahau uongo na hadaa za Lowassa kwamba ana Mawaziri 20 na viongozi 70 wazito wanahamia Cdm kumfuata! Na pia mpunga alitoa !!
Tatu wakasahau mambo ya hawa wabunge 19 Bungeni ambao wako kimakosa hakuna mbunge akomae mwenyewe mle na amkatalie mbowe ! Maana wale wanashirikiana na Mbowe na CCM kuonesha Taswira ya Tanzania iko vema kisiasa
Wajinga wenye techno za shangazi zao wa hapo Namanyere can not believe this!
TATIZO LA MABADILIKO YA WATANZANIA NI CHADEMA ambalo Tatizo ndani ya CHADEMA NI MBOWE
KWANINI TUNAISEMA CHADEMA TUNATAKA MADUDU WAYAMALIZE ILI UKOMBOZI WA KWELI UJE SIYO KUKOMALIA CCM, Mi ni CCM ambaye mwaka 2020 Nilimpigia Lissu Kura!
Mwaka 1995 Nilimpigia Mrema kura
Kuhusu wabunge siangaliagi CHAMA maana wabunge Wengine wa CCM vilaza!
Kwanini siwataji ACT WAZALENDO HAPA? Hao ni chama cha kwenye flash hakifiki hata 2035 hicho
Ukimuondoa Zitto tu wote waliobaki ni Kelele Kama darasa la tano mwalimu wa hesabu asipokuwa darasani !
Britanicca