Mahojiano ya Lissu: Hoja tatu kuhusu Abdul kumtembelea nyumbani kwake

Abdul alipokutana na Rais wa Uganda, nlimsema sana kwenye mikutano yangu, Abdul alitaka kujua kwa nini nilimsema, nilimwambia hii sio nchi ya kifalme au kimalkia hadi wewe ukaiwakilishe nchi, Mama yako ni Rais sio Malkia, wa hiyo wewe sio wa kuiwakilisha nchi popote.

1. Kuhusu hoja ya Abdul kupelekwa kwa Lissu na watu wema ama Wasamaria kama alivyowaita.

Kwanza, lazima mhusika ajiulize, huyo au hao watu wema/wasamaria ni nani/akina nani?

Automatically, kama alivyosema ni wenzake na kwa uthibitisho nilionao ni wakubwa wenzake na Lissu ndani ya Chadema.

Sasa kama hao WEMA ni wenzake, huwezi kuona ni kwa kiwango gani Lissu analitumia jina la wema ama wasamaria kinafiki,kama kweli ni watu wema, kwa nini aliukataa huo mpango wa wema wao!?

Kama kweli ni wema, mbona wameingia mahusiano ya kufuatana na Mtoto wa Mama ambaye anaongoza Chama ambacho ni adui namba moja wa Chadema.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

Kama kweli mhusika/wahusika ni wema mbele ya Lissu kama huyu anavyomaanisha, mbona Chadema ipo vipande viwili sasa na hakuna maelewano totally?

Kama kweli aliye/waliompeleka Abdul ni wema, mbona wamepeleka Rushwa/Hongo kwa Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani?

Kama kweli Lissu anamaanisha huyo/hao ni mwema/wema mbona aliamua KUTEMBEA hadharani akiomba michango ya kununuliwa gari na akaacha fedha za wema waliotaka akanunue gari jipya?

2. Kuhusu hoja ya Mama za Barua za Lissu kulipwa gharama zake za matibabu.

Kimsingi huu ndio uliokuwa msimamo wa Lissu kwamba, sitaki hizi fedha haramu mlizoniletea, badala yake kama kweli mnanionea huruma, nenda umwambie mama yako anilipe zile gharama zangu za hospital.

Abdul akasema, Mama anasema hujaandika Barua, naye Lissu akamjibu, nilishaandika mpaka sasa zimefika Barua 2 na hapo hapo Video inaonyesha Lissu akimpa nakala ya Barua mojawapo ili Abdul ampelekee Mama yake.

Wakati, hilo jinga lingine la Chadema lilikuwa limezubaa jinsi Lissu anavyoweka msimamo.

3. Hoja ya tatu ni kuhusu assumptions za mtoa hoja kwamba, huenda Abdul alimdanganya mkubwa wa CHADEMA kwamba anampelekea hela za matibabu.

Kwa jinsi ambavyo Tundu Lissu ameelezea kwamba kuna watu wema ndani ya Chadema walimpeleka Abdul nyumbani kwake, basi Chadema kuna watu wajinga na hizi ndio aina ya akili za baadhi yao.

Yaani fedha za malipo ya matibabu ya Lissu zipekekwe kwa Lissu sebuleni zikiwa kwenye bahasha; tena Kiongozi wa juu ndani ya chadema asijue kwamba, malipo ya fedha za serikali yanafanyika kwa mujibu wa Sheria na sio mkononi.

Lakini pia, kama sio akili za kijinga, unawezaje kufikiria jambo kama hili hata usijiulize kwamba, kama kweli yale yalikuwa malipo ya matibabu ya Lissu;

1. Kwa nini yapelekwe kwa Lissu yakiwa kwenye bahasha?
2. Kwa yapelekwe kwa Lissu na Mtoto wa Mama asiye na cheo chochote Serikalini? Huyu kiongozi wa juu wa Chadema alikuwa Bogus kiasi gani mpaka aamini zile ni fedha za malipo ya aliyekuwa Mbunge? Hata sio Waziri, Kiongozi wa Bunge, Mkuu wa Wilaya wala hata (Abdul) sio Mfagizi wala Shamba Boy kwenye Ofisi yoyote ya Serikali.

Punguzeni ujinga huu wa rejareja mkisaidie Chama chenu kinaelekea kufa.
Kwa nini unaandika ujinga badala ya kuachia watu wenye uwezo kuhoji?
 
Tatizo la CHADEMA ni Mbowe full stop

Niliandikaga Uzi Hapa siku moja watu wote wa JF wakanisimamga Retired Tindo na wengine wanaofuatilia Tanzania na uozo wake na wanataka mabadiliko ya kweli walinikaanga sana bila kugundua na muda huu washagundua kitambo

Uzi ulikuwa hivi (niliambiwa na mtu mzito kwamba kamati kuu inakaa tu CHADEMA hawana ubavu wa kuwafukuza COVID 19 Bungeni mpango ni toka 2020 na Mbowe anajua Dana Dana zoote ni hadi 2025 na hakuna atakaye watoa) na trend inekuwa ileile

Niliandika makusudi na kimkakati na nyuzi zilikuwa mfululizo kutokana na aina ya navyopataga Habari,

Kuna mtu Mzito tu ndani ya Chama cha Mapinduzi Ana ukaribu mno na mzito mmoja ndani ya Taasisi ya CHADEMA

Alinipa mchongo Mzima ambavyo MWENYEKITI ameshirikiana na Idara za juu kabisa za Uongozi wa nchi kutoa Baraka za Wabunge 19 wa CHADEMA kuwa Bungeni, walikuwa na Baraka za mwenyekiti, nikaandika Uzi kwamba

Watu wakaupuuza huu Uzi

Nikaleta uzi Mwingine kwamba
BUFA * Halima mdee kwa code Hiyo kulingana na sauti yake ,
UJIRA MWIHA * Rushwa

Soma uzi humu

Kwakweli matukio ya kufifisha harakati za Tanzania ni makubwa sana na wanaofifisha ni tunaowaamini,

Lakin ili Tanzania ipate ukombozi na upinzani wa kweli ni kwanza vyama vyote Vife hivi sijui CHADEMA , ACT au TLP na CCM yenyewe ndo tutaweza Kwenda Sawa!

Yaan miaka 20 ijayo kila upande utaheshimu mwingine yaan anayetawala na anayetawaliwa watakuwa wanaheshimiana sana

Siasa za Tanzania zimejaa uhuni mwingi
When it comes kwa ishu ya Lowassa 2015, wanachadema wajinga wengi na wapuuzi hawakujua kwamba pale wamepigwa changa la macho

Mtu ambaye ndo kijiji kizima kina uthibitisho wa kuua watoto na kuwala nyama alafu wakaja wasamaria wanauliza mnahisi ni Nani anaweza kuwa na uwezo wa kupewa kijiti cha kuwalinda watoto wachanga hawa mnampendekeza huyo huyo ambaye mmembrand hivo siku zote !

Na Hilo lilitufunza mengi kwamba wanasiasa wote zile ni ajira tu! Ukitia mzigo wa kutosha mezan unapindua maamuzi ya wengi! Ndo maana hata Slaa Mwanzoni nilimsifu kwa msimamo wake Ila akaja kuvuruga heshima yake kwa kurudi CCM ambako ndo wezi watupu! Angeachana n siasa akastaafu basi ingekuwa ni heshima kubwa !

CHADEMA imejikita katika kufanya biashara kwa ngazi za juu Ila hawa wachini wanakanyaga twende mbele people’s power bila kujua kuwa wanacho nia si wanacho nia viongozi wao 100%

Huyu alompeleka Dula kwa Lissu ni mtu wenu mzito Yule aliye Chana Chana barua ya Dr Slaa kujiuzulu na kuiweka mfukoni , Huku maelekezo yakipewa kutoka kwa mbowe na Lissu inabidi awe mkweli zaidi
Hata simu Zilipigwa toka kwa mbowe kushawishi upokeaji wa bahasha Hiyo !

Asubuhi tunahangaika kuwachangia wanachama wa CHADEMA na viongozi wanaopatwa na matatizo, wananchi wana imani sana na Chama hicho Ila msiporekebika mapema watavunjika moyo sana

Ila mna faida watanzania mi Mi ng’ombe inayosahau haraka

Wameshasahau suala la kutoka gerezan Kwenda kwenye maridhiano! Nilishajua hapo baaaasii

Nikaandika Uzi “mlete haraka atatusaidia mambo yetu kitaifa na kimataifa kuliko kumuacha gerezani atakuwa ameshapata somo hata wapinzani wenye nia ya kushindana wataogopa” ilikuwa ni kauli nzito sana

Namba mbili wamesahau uongo na hadaa za Lowassa kwamba ana Mawaziri 20 na viongozi 70 wazito wanahamia Cdm kumfuata! Na pia mpunga alitoa !!

Tatu wakasahau mambo ya hawa wabunge 19 Bungeni ambao wako kimakosa hakuna mbunge akomae mwenyewe mle na amkatalie mbowe ! Maana wale wanashirikiana na Mbowe na CCM kuonesha Taswira ya Tanzania iko vema kisiasa

Wajinga wenye techno za shangazi zao wa hapo Namanyere can not believe this!

TATIZO LA MABADILIKO YA WATANZANIA NI CHADEMA ambalo Tatizo ndani ya CHADEMA NI MBOWE

KWANINI TUNAISEMA CHADEMA TUNATAKA MADUDU WAYAMALIZE ILI UKOMBOZI WA KWELI UJE SIYO KUKOMALIA CCM, Mi ni CCM ambaye mwaka 2020 Nilimpigia Lissu Kura!
Mwaka 1995 Nilimpigia Mrema kura
Kuhusu wabunge siangaliagi CHAMA maana wabunge Wengine wa CCM vilaza!

Kwanini siwataji ACT WAZALENDO HAPA? Hao ni chama cha kwenye flash hakifiki hata 2035 hicho

Ukimuondoa Zitto tu wote waliobaki ni Kelele Kama darasa la tano mwalimu wa hesabu asipokuwa darasani !

Britanicca
Ni Kweli makengezeza hakatai bahasha ilio nona. Pia ni selfish kwenye mgao. Coz yy ni Mtoto wa mjini hawezi kuishi kifala. Japo ni mwenye kuwapa promo madogo janja Wengi hivyo kajijengea u godfather flan Ivi.
Na hawezi kuachia ngazi Hata DK 1, coz Ndio anaitumia kama fimbo.
Ni mwenye kuvunja makubaliano Muda wowote, anaponusa harufu ya Ankara ,
 
Halafu eti alidai "risiti"!

Toka lini mlipaji ndiye mtowaji risiti?
 
Abdul alipokutana na Rais wa Uganda, nlimsema sana kwenye mikutano yangu, Abdul alitaka kujua kwa nini nilimsema, nilimwambia hii sio nchi ya kifalme au kimalkia hadi wewe ukaiwakilishe nchi, Mama yako ni Rais sio Malkia, wa hiyo wewe sio wa kuiwakilisha nchi popote.

1. Kuhusu hoja ya Abdul kupelekwa kwa Lissu na watu wema ama Wasamaria kama alivyowaita.

Kwanza, lazima mhusika ajiulize, huyo au hao watu wema/wasamaria ni nani/akina nani?

Automatically, kama alivyosema ni wenzake na kwa uthibitisho nilionao ni wakubwa wenzake na Lissu ndani ya Chadema.

Sasa kama hao WEMA ni wenzake, huwezi kuona ni kwa kiwango gani Lissu analitumia jina la wema ama wasamaria kinafiki,kama kweli ni watu wema, kwa nini aliukataa huo mpango wa wema wao!?

Kama kweli ni wema, mbona wameingia mahusiano ya kufuatana na Mtoto wa Mama ambaye anaongoza Chama ambacho ni adui namba moja wa Chadema.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

Kama kweli mhusika/wahusika ni wema mbele ya Lissu kama huyu anavyomaanisha, mbona Chadema ipo vipande viwili sasa na hakuna maelewano totally?

Kama kweli aliye/waliompeleka Abdul ni wema, mbona wamepeleka Rushwa/Hongo kwa Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani?

Kama kweli Lissu anamaanisha huyo/hao ni mwema/wema mbona aliamua KUTEMBEA hadharani akiomba michango ya kununuliwa gari na akaacha fedha za wema waliotaka akanunue gari jipya?

2. Kuhusu hoja ya Mama za Barua za Lissu kulipwa gharama zake za matibabu.

Kimsingi huu ndio uliokuwa msimamo wa Lissu kwamba, sitaki hizi fedha haramu mlizoniletea, badala yake kama kweli mnanionea huruma, nenda umwambie mama yako anilipe zile gharama zangu za hospital.

Abdul akasema, Mama anasema hujaandika Barua, naye Lissu akamjibu, nilishaandika mpaka sasa zimefika Barua 2 na hapo hapo Video inaonyesha Lissu akimpa nakala ya Barua mojawapo ili Abdul ampelekee Mama yake.

Wakati, hilo jinga lingine la Chadema lilikuwa limezubaa jinsi Lissu anavyoweka msimamo.

3. Hoja ya tatu ni kuhusu assumptions za mtoa hoja kwamba, huenda Abdul alimdanganya mkubwa wa CHADEMA kwamba anampelekea hela za matibabu.

Kwa jinsi ambavyo Tundu Lissu ameelezea kwamba kuna watu wema ndani ya Chadema walimpeleka Abdul nyumbani kwake, basi Chadema kuna watu wajinga na hizi ndio aina ya akili za baadhi yao.

Yaani fedha za malipo ya matibabu ya Lissu zipekekwe kwa Lissu sebuleni zikiwa kwenye bahasha; tena Kiongozi wa juu ndani ya chadema asijue kwamba, malipo ya fedha za serikali yanafanyika kwa mujibu wa Sheria na sio mkononi.

Lakini pia, kama sio akili za kijinga, unawezaje kufikiria jambo kama hili hata usijiulize kwamba, kama kweli yale yalikuwa malipo ya matibabu ya Lissu;

1. Kwa nini yapelekwe kwa Lissu yakiwa kwenye bahasha?
2. Kwa yapelekwe kwa Lissu na Mtoto wa Mama asiye na cheo chochote Serikalini? Huyu kiongozi wa juu wa Chadema alikuwa Bogus kiasi gani mpaka aamini zile ni fedha za malipo ya aliyekuwa Mbunge? Hata sio Waziri, Kiongozi wa Bunge, Mkuu wa Wilaya wala hata (Abdul) sio Mfagizi wala Shamba Boy kwenye Ofisi yoyote ya Serikali.

Punguzeni ujinga huu wa rejareja mkisaidie Chama chenu kinaelekea kufa.
Jambo pekee la maana nililo soma kwenye mada yako hi imbovu ni moja tu -Matatizo makubwa yanayoikumba CHADEMA sasa hivi.
Mengine yote ni takataka tupu.
Ukitaka nipoteze muda kukuonyesha takataka zilipo nitakuonyesha.
 
Kama ningeambiwa haya maneno na mtu/watu; hakika ningepuuza kama ambavyo nilikuwa napuuza mengi huko nyuma.

Lakini naona kabisa VIDEO ya mhusika ndani ya Chama akiwataja wenzake mbele ya Lissu ili Lissu naye achukue mgao wake, halafu;

Hapo hapo, Lissu mwenyewe tena ambaye ni Kiongozi wa juu wa Chama na Role model wangu kwenye masuala ya kisiasa na kisheria anazungumza hadharani;

Bado niendelee kuona kama ninachokifanya ni sahihi na kitatoa matokeo chanya; kama huo sio ushenzi ni nini?
Nisaidie kuipata video uliyoizungumzia hapa tafadhali.
 
Tatizo la CHADEMA ni Mbowe full stop

Niliandikaga Uzi Hapa siku moja watu wote wa JF wakanisimamga Retired Tindo na wengine wanaofuatilia Tanzania na uozo wake na wanataka mabadiliko ya kweli walinikaanga sana bila kugundua na muda huu washagundua kitambo

Uzi ulikuwa hivi (niliambiwa na mtu mzito kwamba kamati kuu inakaa tu CHADEMA hawana ubavu wa kuwafukuza COVID 19 Bungeni mpango ni toka 2020 na Mbowe anajua Dana Dana zoote ni hadi 2025 na hakuna atakaye watoa) na trend inekuwa ileile

Niliandika makusudi na kimkakati na nyuzi zilikuwa mfululizo kutokana na aina ya navyopataga Habari,

Kuna mtu Mzito tu ndani ya Chama cha Mapinduzi Ana ukaribu mno na mzito mmoja ndani ya Taasisi ya CHADEMA

Alinipa mchongo Mzima ambavyo MWENYEKITI ameshirikiana na Idara za juu kabisa za Uongozi wa nchi kutoa Baraka za Wabunge 19 wa CHADEMA kuwa Bungeni, walikuwa na Baraka za mwenyekiti, nikaandika Uzi kwamba

Watu wakaupuuza huu Uzi

Nikaleta uzi Mwingine kwamba
BUFA * Halima mdee kwa code Hiyo kulingana na sauti yake ,
UJIRA MWIHA * Rushwa

Soma uzi humu

Kwakweli matukio ya kufifisha harakati za Tanzania ni makubwa sana na wanaofifisha ni tunaowaamini,

Lakin ili Tanzania ipate ukombozi na upinzani wa kweli ni kwanza vyama vyote Vife hivi sijui CHADEMA , ACT au TLP na CCM yenyewe ndo tutaweza Kwenda Sawa!

Yaan miaka 20 ijayo kila upande utaheshimu mwingine yaan anayetawala na anayetawaliwa watakuwa wanaheshimiana sana

Siasa za Tanzania zimejaa uhuni mwingi
When it comes kwa ishu ya Lowassa 2015, wanachadema wajinga wengi na wapuuzi hawakujua kwamba pale wamepigwa changa la macho

Mtu ambaye ndo kijiji kizima kina uthibitisho wa kuua watoto na kuwala nyama alafu wakaja wasamaria wanauliza mnahisi ni Nani anaweza kuwa na uwezo wa kupewa kijiti cha kuwalinda watoto wachanga hawa mnampendekeza huyo huyo ambaye mmembrand hivo siku zote !

Na Hilo lilitufunza mengi kwamba wanasiasa wote zile ni ajira tu! Ukitia mzigo wa kutosha mezan unapindua maamuzi ya wengi! Ndo maana hata Slaa Mwanzoni nilimsifu kwa msimamo wake Ila akaja kuvuruga heshima yake kwa kurudi CCM ambako ndo wezi watupu! Angeachana n siasa akastaafu basi ingekuwa ni heshima kubwa !

CHADEMA imejikita katika kufanya biashara kwa ngazi za juu Ila hawa wachini wanakanyaga twende mbele people’s power bila kujua kuwa wanacho nia si wanacho nia viongozi wao 100%

Huyu alompeleka Dula kwa Lissu ni mtu wenu mzito Yule aliye Chana Chana barua ya Dr Slaa kujiuzulu na kuiweka mfukoni , Huku maelekezo yakipewa kutoka kwa mbowe na Lissu inabidi awe mkweli zaidi
Hata simu Zilipigwa toka kwa mbowe kushawishi upokeaji wa bahasha Hiyo !

Asubuhi tunahangaika kuwachangia wanachama wa CHADEMA na viongozi wanaopatwa na matatizo, wananchi wana imani sana na Chama hicho Ila msiporekebika mapema watavunjika moyo sana

Ila mna faida watanzania mi Mi ng’ombe inayosahau haraka

Wameshasahau suala la kutoka gerezan Kwenda kwenye maridhiano! Nilishajua hapo baaaasii

Nikaandika Uzi “mlete haraka atatusaidia mambo yetu kitaifa na kimataifa kuliko kumuacha gerezani atakuwa ameshapata somo hata wapinzani wenye nia ya kushindana wataogopa” ilikuwa ni kauli nzito sana

Namba mbili wamesahau uongo na hadaa za Lowassa kwamba ana Mawaziri 20 na viongozi 70 wazito wanahamia Cdm kumfuata! Na pia mpunga alitoa !!

Tatu wakasahau mambo ya hawa wabunge 19 Bungeni ambao wako kimakosa hakuna mbunge akomae mwenyewe mle na amkatalie mbowe ! Maana wale wanashirikiana na Mbowe na CCM kuonesha Taswira ya Tanzania iko vema kisiasa

Wajinga wenye techno za shangazi zao wa hapo Namanyere can not believe this!

TATIZO LA MABADILIKO YA WATANZANIA NI CHADEMA ambalo Tatizo ndani ya CHADEMA NI MBOWE

KWANINI TUNAISEMA CHADEMA TUNATAKA MADUDU WAYAMALIZE ILI UKOMBOZI WA KWELI UJE SIYO KUKOMALIA CCM, Mi ni CCM ambaye mwaka 2020 Nilimpigia Lissu Kura!
Mwaka 1995 Nilimpigia Mrema kura
Kuhusu wabunge siangaliagi CHAMA maana wabunge Wengine wa CCM vilaza!

Kwanini siwataji ACT WAZALENDO HAPA? Hao ni chama cha kwenye flash hakifiki hata 2035 hicho

Ukimuondoa Zitto tu wote waliobaki ni Kelele Kama darasa la tano mwalimu wa hesabu asipokuwa darasani !

Britanicca
Umeandika pumba nyingi sana hapa, kuhusu Covid 19 kila mtu ameona wanavyolindwa na Bunge la Spika Tulia, pamoja na mahakama za Samia, hapo Mbowe anahusika vipi?

Leta connection ya uhusika wa Mbowe kwenye bunge na mahakama kuwahusu hao Covid 19.
 
Hivi ulienda Shule ? Mlijifunza somo la ufahamu ?
 
Kuna watu tumekuwa tukikipambania Chama hiki kwa kuweka rehani roho zetu kwa sababu tuliamini kina nia njema na sahihi ya kuiondoa CCM madarakani kumbe ni Biashara za watu kupiga fedha.

Mkuu! Ukiwa Kiongozi Mstaafu wa Chama hiki kwenye level fulani, hata ukistaafu, unapaswa ku-support chama kwa kila hali na mali ikiwemo michango ya hapa na pale ili kujenga chama.
Sa

Just Imagine, huku chini watu tunajikamua na kutumia muda mwingi kuhakikisha chama kinaonekana ili hali huko juu ni full maushenzi.

Yaani ni watu kadhaa pekee wanaonekane kuwa strong na kusimama katika kweli.
Wewe Lumumba Fc acha uongo.

Chadema is here to stay.

Haters mtapata shida sana mwaka huu.
 
Tatizo la CHADEMA ni Mbowe full stop

Niliandikaga Uzi Hapa siku moja watu wote wa JF wakanisimamga Retired Tindo na wengine wanaofuatilia Tanzania na uozo wake na wanataka mabadiliko ya kweli walinikaanga sana bila kugundua na muda huu washagundua kitambo

Uzi ulikuwa hivi (niliambiwa na mtu mzito kwamba kamati kuu inakaa tu CHADEMA hawana ubavu wa kuwafukuza COVID 19 Bungeni mpango ni toka 2020 na Mbowe anajua Dana Dana zoote ni hadi 2025 na hakuna atakaye watoa) na trend inekuwa ileile

Niliandika makusudi na kimkakati na nyuzi zilikuwa mfululizo kutokana na aina ya navyopataga Habari,

Kuna mtu Mzito tu ndani ya Chama cha Mapinduzi Ana ukaribu mno na mzito mmoja ndani ya Taasisi ya CHADEMA

Alinipa mchongo Mzima ambavyo MWENYEKITI ameshirikiana na Idara za juu kabisa za Uongozi wa nchi kutoa Baraka za Wabunge 19 wa CHADEMA kuwa Bungeni, walikuwa na Baraka za mwenyekiti, nikaandika Uzi kwamba

Watu wakaupuuza huu Uzi

Nikaleta uzi Mwingine kwamba
BUFA * Halima mdee kwa code Hiyo kulingana na sauti yake ,
UJIRA MWIHA * Rushwa

Soma uzi humu

Kwakweli matukio ya kufifisha harakati za Tanzania ni makubwa sana na wanaofifisha ni tunaowaamini,

Lakin ili Tanzania ipate ukombozi na upinzani wa kweli ni kwanza vyama vyote Vife hivi sijui CHADEMA , ACT au TLP na CCM yenyewe ndo tutaweza Kwenda Sawa!

Yaan miaka 20 ijayo kila upande utaheshimu mwingine yaan anayetawala na anayetawaliwa watakuwa wanaheshimiana sana

Siasa za Tanzania zimejaa uhuni mwingi
When it comes kwa ishu ya Lowassa 2015, wanachadema wajinga wengi na wapuuzi hawakujua kwamba pale wamepigwa changa la macho

Mtu ambaye ndo kijiji kizima kina uthibitisho wa kuua watoto na kuwala nyama alafu wakaja wasamaria wanauliza mnahisi ni Nani anaweza kuwa na uwezo wa kupewa kijiti cha kuwalinda watoto wachanga hawa mnampendekeza huyo huyo ambaye mmembrand hivo siku zote !

Na Hilo lilitufunza mengi kwamba wanasiasa wote zile ni ajira tu! Ukitia mzigo wa kutosha mezan unapindua maamuzi ya wengi! Ndo maana hata Slaa Mwanzoni nilimsifu kwa msimamo wake Ila akaja kuvuruga heshima yake kwa kurudi CCM ambako ndo wezi watupu! Angeachana n siasa akastaafu basi ingekuwa ni heshima kubwa !

CHADEMA imejikita katika kufanya biashara kwa ngazi za juu Ila hawa wachini wanakanyaga twende mbele people’s power bila kujua kuwa wanacho nia si wanacho nia viongozi wao 100%

Huyu alompeleka Dula kwa Lissu ni mtu wenu mzito Yule aliye Chana Chana barua ya Dr Slaa kujiuzulu na kuiweka mfukoni , Huku maelekezo yakipewa kutoka kwa mbowe na Lissu inabidi awe mkweli zaidi
Hata simu Zilipigwa toka kwa mbowe kushawishi upokeaji wa bahasha Hiyo !

Asubuhi tunahangaika kuwachangia wanachama wa CHADEMA na viongozi wanaopatwa na matatizo, wananchi wana imani sana na Chama hicho Ila msiporekebika mapema watavunjika moyo sana

Ila mna faida watanzania mi Mi ng’ombe inayosahau haraka

Wameshasahau suala la kutoka gerezan Kwenda kwenye maridhiano! Nilishajua hapo baaaasii

Nikaandika Uzi “mlete haraka atatusaidia mambo yetu kitaifa na kimataifa kuliko kumuacha gerezani atakuwa ameshapata somo hata wapinzani wenye nia ya kushindana wataogopa” ilikuwa ni kauli nzito sana

Namba mbili wamesahau uongo na hadaa za Lowassa kwamba ana Mawaziri 20 na viongozi 70 wazito wanahamia Cdm kumfuata! Na pia mpunga alitoa !!

Tatu wakasahau mambo ya hawa wabunge 19 Bungeni ambao wako kimakosa hakuna mbunge akomae mwenyewe mle na amkatalie mbowe ! Maana wale wanashirikiana na Mbowe na CCM kuonesha Taswira ya Tanzania iko vema kisiasa

Wajinga wenye techno za shangazi zao wa hapo Namanyere can not believe this!

TATIZO LA MABADILIKO YA WATANZANIA NI CHADEMA ambalo Tatizo ndani ya CHADEMA NI MBOWE

KWANINI TUNAISEMA CHADEMA TUNATAKA MADUDU WAYAMALIZE ILI UKOMBOZI WA KWELI UJE SIYO KUKOMALIA CCM, Mi ni CCM ambaye mwaka 2020 Nilimpigia Lissu Kura!
Mwaka 1995 Nilimpigia Mrema kura
Kuhusu wabunge siangaliagi CHAMA maana wabunge Wengine wa CCM vilaza!

Kwanini siwataji ACT WAZALENDO HAPA? Hao ni chama cha kwenye flash hakifiki hata 2035 hicho

Ukimuondoa Zitto tu wote waliobaki ni Kelele Kama darasa la tano mwalimu wa hesabu asipokuwa darasani !

Britanicca
Kwamaba Mbowe baada ya ule uchafuzi wa Magufuli alikaa meza moja na magufuli kuunda covid 19??

Hapa Britanica umetupiga on broad Daylight
 
Yaani ukamuhonge Tundu Lissu, ingekuwa rahisi hivyo angeshahongwa kitambo. Hata hivyo naona ni Mungu kaamua kuwaumbua ili Tanzania ipone kutoka mikononi mwa watu hao ifikapo uchaguzi hawataaminika tena.
Absolutely, Yes..

Taratibu wanakuwa dismantled..
 
Umenitaja ili kujipatia umaarufu nini? Mimi toka Mbowe amempokea Lowassa msimamo wangu uko wazi kuwa hastahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm. Tunaweza kupishana kwenye uwasilishaji maana mimi sitoi maoni yangu kwa utashi wako.
 
Abdul alipokutana na Rais wa Uganda, nlimsema sana kwenye mikutano yangu, Abdul alitaka kujua kwa nini nilimsema, nilimwambia hii sio nchi ya kifalme au kimalkia hadi wewe ukaiwakilishe nchi, Mama yako ni Rais sio Malkia, wa hiyo wewe sio wa kuiwakilisha nchi popote.

1. Kuhusu hoja ya Abdul kupelekwa kwa Lissu na watu wema ama Wasamaria kama alivyowaita.

Kwanza, lazima mhusika ajiulize, huyo au hao watu wema/wasamaria ni nani/akina nani?

Automatically, kama alivyosema ni wenzake na kwa uthibitisho nilionao ni wakubwa wenzake na Lissu ndani ya Chadema.

Sasa kama hao WEMA ni wenzake, huwezi kuona ni kwa kiwango gani Lissu analitumia jina la wema ama wasamaria kinafiki,kama kweli ni watu wema, kwa nini aliukataa huo mpango wa wema wao!?

Kama kweli ni wema, mbona wameingia mahusiano ya kufuatana na Mtoto wa Mama ambaye anaongoza Chama ambacho ni adui namba moja wa Chadema.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

Kama kweli mhusika/wahusika ni wema mbele ya Lissu kama huyu anavyomaanisha, mbona Chadema ipo vipande viwili sasa na hakuna maelewano totally?

Kama kweli aliye/waliompeleka Abdul ni wema, mbona wamepeleka Rushwa/Hongo kwa Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani?

Kama kweli Lissu anamaanisha huyo/hao ni mwema/wema mbona aliamua KUTEMBEA hadharani akiomba michango ya kununuliwa gari na akaacha fedha za wema waliotaka akanunue gari jipya?

2. Kuhusu hoja ya Mama za Barua za Lissu kulipwa gharama zake za matibabu.

Kimsingi huu ndio uliokuwa msimamo wa Lissu kwamba, sitaki hizi fedha haramu mlizoniletea, badala yake kama kweli mnanionea huruma, nenda umwambie mama yako anilipe zile gharama zangu za hospital.

Abdul akasema, Mama anasema hujaandika Barua, naye Lissu akamjibu, nilishaandika mpaka sasa zimefika Barua 2 na hapo hapo Video inaonyesha Lissu akimpa nakala ya Barua mojawapo ili Abdul ampelekee Mama yake.

Wakati, hilo jinga lingine la Chadema lilikuwa limezubaa jinsi Lissu anavyoweka msimamo.

3. Hoja ya tatu ni kuhusu assumptions za mtoa hoja kwamba, huenda Abdul alimdanganya mkubwa wa CHADEMA kwamba anampelekea hela za matibabu.

Kwa jinsi ambavyo Tundu Lissu ameelezea kwamba kuna watu wema ndani ya Chadema walimpeleka Abdul nyumbani kwake, basi Chadema kuna watu wajinga na hizi ndio aina ya akili za baadhi yao.

Yaani fedha za malipo ya matibabu ya Lissu zipekekwe kwa Lissu sebuleni zikiwa kwenye bahasha; tena Kiongozi wa juu ndani ya chadema asijue kwamba, malipo ya fedha za serikali yanafanyika kwa mujibu wa Sheria na sio mkononi.

Lakini pia, kama sio akili za kijinga, unawezaje kufikiria jambo kama hili hata usijiulize kwamba, kama kweli yale yalikuwa malipo ya matibabu ya Lissu;

1. Kwa nini yapelekwe kwa Lissu yakiwa kwenye bahasha?
2. Kwa yapelekwe kwa Lissu na Mtoto wa Mama asiye na cheo chochote Serikalini? Huyu kiongozi wa juu wa Chadema alikuwa Bogus kiasi gani mpaka aamini zile ni fedha za malipo ya aliyekuwa Mbunge? Hata sio Waziri, Kiongozi wa Bunge, Mkuu wa Wilaya wala hata (Abdul) sio Mfagizi wala Shamba Boy kwenye Ofisi yoyote ya Serikali.

Punguzeni ujinga huu wa rejareja mkisaidie Chama chenu kinaelekea kufa.
Siku hiyo haiwezekani Abdul awe alibeba pesa za kumpelekea Lissu kwa sababu kiwango walikuwa hawajakubaliana. Je angebeba pesa kiasi gani bila kuafikiana dau. Kwa uelewa wangu siku hiyo ilikuwa ni mazungumzo ya kuwekana sawa wakishakubaliana kiwango cha rushwa ndio sasa Abdul angerudisha ripoti na utaratibu ungefanyika wa Lissu kupewa hizo pesa.

Kwa thamani ya Lissu kwa sasa pesa isingepungua shilingi bilioni moja na pengine angehitaji alipwe kwa dola na angeelekeza alipwe kwa njia gani. Na hapa madalali au akaunti za siri nje ya nchi hutumika.

Kuhusu kupelekwa na huyo kiongozi wa CHADEMA hilo sio kosa kwa sababu ni kawaida ukiwa na maelewano ya karibu na mtu unaweza kuombwa umuunganishe huyo mtu na mwingine kwa mazungumzo hasa yanapokuwa ya mahasimu wawili na sio busara kukataa. Watu hawakatai wito wanakataa ujumbe. Hivyo kumlaumu huyo kiongozi ni ufinyu wa uelewa..
 
Umenitaja ili kujipatia umaarufu nini? Mimi toka Mbowe amempokea Lowassa msimamo wangu uko wazi kuwa hastahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm. Tunaweza kupishana kwenye uwasilishaji maana mimi sitoi maoni yangu kwa utashi wako.
Nakukubali sana kamanda mwenzangu. Una msimamo thabiti kama mimi.
 
Abdul alipokutana na Rais wa Uganda, nlimsema sana kwenye mikutano yangu, Abdul alitaka kujua kwa nini nilimsema, nilimwambia hii sio nchi ya kifalme au kimalkia hadi wewe ukaiwakilishe nchi, Mama yako ni Rais sio Malkia, wa hiyo wewe sio wa kuiwakilisha nchi popote.

1. Kuhusu hoja ya Abdul kupelekwa kwa Lissu na watu wema ama Wasamaria kama alivyowaita.

Kwanza, lazima mhusika ajiulize, huyo au hao watu wema/wasamaria ni nani/akina nani?

Automatically, kama alivyosema ni wenzake na kwa uthibitisho nilionao ni wakubwa wenzake na Lissu ndani ya Chadema.

Sasa kama hao WEMA ni wenzake, huwezi kuona ni kwa kiwango gani Lissu analitumia jina la wema ama wasamaria kinafiki,kama kweli ni watu wema, kwa nini aliukataa huo mpango wa wema wao!?

Kama kweli ni wema, mbona wameingia mahusiano ya kufuatana na Mtoto wa Mama ambaye anaongoza Chama ambacho ni adui namba moja wa Chadema.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

Kama kweli mhusika/wahusika ni wema mbele ya Lissu kama huyu anavyomaanisha, mbona Chadema ipo vipande viwili sasa na hakuna maelewano totally?

Kama kweli aliye/waliompeleka Abdul ni wema, mbona wamepeleka Rushwa/Hongo kwa Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani?

Kama kweli Lissu anamaanisha huyo/hao ni mwema/wema mbona aliamua KUTEMBEA hadharani akiomba michango ya kununuliwa gari na akaacha fedha za wema waliotaka akanunue gari jipya?

2. Kuhusu hoja ya Mama za Barua za Lissu kulipwa gharama zake za matibabu.

Kimsingi huu ndio uliokuwa msimamo wa Lissu kwamba, sitaki hizi fedha haramu mlizoniletea, badala yake kama kweli mnanionea huruma, nenda umwambie mama yako anilipe zile gharama zangu za hospital.

Abdul akasema, Mama anasema hujaandika Barua, naye Lissu akamjibu, nilishaandika mpaka sasa zimefika Barua 2 na hapo hapo Video inaonyesha Lissu akimpa nakala ya Barua mojawapo ili Abdul ampelekee Mama yake.

Wakati, hilo jinga lingine la Chadema lilikuwa limezubaa jinsi Lissu anavyoweka msimamo.

3. Hoja ya tatu ni kuhusu assumptions za mtoa hoja kwamba, huenda Abdul alimdanganya mkubwa wa CHADEMA kwamba anampelekea hela za matibabu.

Kwa jinsi ambavyo Tundu Lissu ameelezea kwamba kuna watu wema ndani ya Chadema walimpeleka Abdul nyumbani kwake, basi Chadema kuna watu wajinga na hizi ndio aina ya akili za baadhi yao.

Yaani fedha za malipo ya matibabu ya Lissu zipekekwe kwa Lissu sebuleni zikiwa kwenye bahasha; tena Kiongozi wa juu ndani ya chadema asijue kwamba, malipo ya fedha za serikali yanafanyika kwa mujibu wa Sheria na sio mkononi.

Lakini pia, kama sio akili za kijinga, unawezaje kufikiria jambo kama hili hata usijiulize kwamba, kama kweli yale yalikuwa malipo ya matibabu ya Lissu;

1. Kwa nini yapelekwe kwa Lissu yakiwa kwenye bahasha?
2. Kwa yapelekwe kwa Lissu na Mtoto wa Mama asiye na cheo chochote Serikalini? Huyu kiongozi wa juu wa Chadema alikuwa Bogus kiasi gani mpaka aamini zile ni fedha za malipo ya aliyekuwa Mbunge? Hata sio Waziri, Kiongozi wa Bunge, Mkuu wa Wilaya wala hata (Abdul) sio Mfagizi wala Shamba Boy kwenye Ofisi yoyote ya Serikali.

Punguzeni ujinga huu wa rejareja mkisaidie Chama chenu kinaelekea kufa.

Akili ikiwekwa kando una ruksa ya kuandika chochote.
Abdul hajasena amemleta hela ya matibabu ila alikuwa na hoja ya kutaka kumsaidia hela na Lisu akasema msaada si muhimu kwake labda amwamvie mama yake amlipe hela yake halali ya matibabu.
Propaganda siku hizi siyo dili ya teuzi. Uliza waliokutangulia.
 
Kama ningeambiwa haya maneno na mtu/watu; hakika ningepuuza kama ambavyo nilikuwa napuuza mengi huko nyuma.

Lakini naona kabisa VIDEO ya mhusika ndani ya Chama akiwataja wenzake mbele ya Lissu ili Lissu naye achukue mgao wake, halafu;

Hapo hapo, Lissu mwenyewe tena ambaye ni Kiongozi wa juu wa Chama na Role model wangu kwenye masuala ya kisiasa na kisheria anazungumza hadharani;

Bado niendelee kuona kama ninachokifanya ni sahihi na kitatoa matokeo chanya; kama huo sio ushenzi ni nini?
We ni mnafki sana na ndo tatizo la watanzania wengi sana ikiwemo wewe

Kipindi cha magufuli madiwani wa chadema na wabunge wengi walinunuliwa wazi wazi unashangaa hilo la lissu hii nchi inatatizo kubwa la unafki
 
Tatizo la CHADEMA ni Mbowe full stop

Niliandikaga Uzi Hapa siku moja watu wote wa JF wakanisimamga Retired Tindo na wengine wanaofuatilia Tanzania na uozo wake na wanataka mabadiliko ya kweli walinikaanga sana bila kugundua na muda huu washagundua kitambo

Uzi ulikuwa hivi (niliambiwa na mtu mzito kwamba kamati kuu inakaa tu CHADEMA hawana ubavu wa kuwafukuza COVID 19 Bungeni mpango ni toka 2020 na Mbowe anajua Dana Dana zoote ni hadi 2025 na hakuna atakaye watoa) na trend inekuwa ileile

Niliandika makusudi na kimkakati na nyuzi zilikuwa mfululizo kutokana na aina ya navyopataga Habari,

Kuna mtu Mzito tu ndani ya Chama cha Mapinduzi Ana ukaribu mno na mzito mmoja ndani ya Taasisi ya CHADEMA

Alinipa mchongo Mzima ambavyo MWENYEKITI ameshirikiana na Idara za juu kabisa za Uongozi wa nchi kutoa Baraka za Wabunge 19 wa CHADEMA kuwa Bungeni, walikuwa na Baraka za mwenyekiti, nikaandika Uzi kwamba

Watu wakaupuuza huu Uzi

Nikaleta uzi Mwingine kwamba
BUFA * Halima mdee kwa code Hiyo kulingana na sauti yake ,
UJIRA MWIHA * Rushwa

Soma uzi humu

Kwakweli matukio ya kufifisha harakati za Tanzania ni makubwa sana na wanaofifisha ni tunaowaamini,

Lakin ili Tanzania ipate ukombozi na upinzani wa kweli ni kwanza vyama vyote Vife hivi sijui CHADEMA , ACT au TLP na CCM yenyewe ndo tutaweza Kwenda Sawa!

Yaan miaka 20 ijayo kila upande utaheshimu mwingine yaan anayetawala na anayetawaliwa watakuwa wanaheshimiana sana

Siasa za Tanzania zimejaa uhuni mwingi
When it comes kwa ishu ya Lowassa 2015, wanachadema wajinga wengi na wapuuzi hawakujua kwamba pale wamepigwa changa la macho

Mtu ambaye ndo kijiji kizima kina uthibitisho wa kuua watoto na kuwala nyama alafu wakaja wasamaria wanauliza mnahisi ni Nani anaweza kuwa na uwezo wa kupewa kijiti cha kuwalinda watoto wachanga hawa mnampendekeza huyo huyo ambaye mmembrand hivo siku zote !

Na Hilo lilitufunza mengi kwamba wanasiasa wote zile ni ajira tu! Ukitia mzigo wa kutosha mezan unapindua maamuzi ya wengi! Ndo maana hata Slaa Mwanzoni nilimsifu kwa msimamo wake Ila akaja kuvuruga heshima yake kwa kurudi CCM ambako ndo wezi watupu! Angeachana n siasa akastaafu basi ingekuwa ni heshima kubwa !

CHADEMA imejikita katika kufanya biashara kwa ngazi za juu Ila hawa wachini wanakanyaga twende mbele people’s power bila kujua kuwa wanacho nia si wanacho nia viongozi wao 100%

Huyu alompeleka Dula kwa Lissu ni mtu wenu mzito Yule aliye Chana Chana barua ya Dr Slaa kujiuzulu na kuiweka mfukoni , Huku maelekezo yakipewa kutoka kwa mbowe na Lissu inabidi awe mkweli zaidi
Hata simu Zilipigwa toka kwa mbowe kushawishi upokeaji wa bahasha Hiyo !

Asubuhi tunahangaika kuwachangia wanachama wa CHADEMA na viongozi wanaopatwa na matatizo, wananchi wana imani sana na Chama hicho Ila msiporekebika mapema watavunjika moyo sana

Ila mna faida watanzania mi Mi ng’ombe inayosahau haraka

Wameshasahau suala la kutoka gerezan Kwenda kwenye maridhiano! Nilishajua hapo baaaasii

Nikaandika Uzi “mlete haraka atatusaidia mambo yetu kitaifa na kimataifa kuliko kumuacha gerezani atakuwa ameshapata somo hata wapinzani wenye nia ya kushindana wataogopa” ilikuwa ni kauli nzito sana

Namba mbili wamesahau uongo na hadaa za Lowassa kwamba ana Mawaziri 20 na viongozi 70 wazito wanahamia Cdm kumfuata! Na pia mpunga alitoa !!

Tatu wakasahau mambo ya hawa wabunge 19 Bungeni ambao wako kimakosa hakuna mbunge akomae mwenyewe mle na amkatalie mbowe ! Maana wale wanashirikiana na Mbowe na CCM kuonesha Taswira ya Tanzania iko vema kisiasa

Wajinga wenye techno za shangazi zao wa hapo Namanyere can not believe this!

TATIZO LA MABADILIKO YA WATANZANIA NI CHADEMA ambalo Tatizo ndani ya CHADEMA NI MBOWE

KWANINI TUNAISEMA CHADEMA TUNATAKA MADUDU WAYAMALIZE ILI UKOMBOZI WA KWELI UJE SIYO KUKOMALIA CCM, Mi ni CCM ambaye mwaka 2020 Nilimpigia Lissu Kura!
Mwaka 1995 Nilimpigia Mrema kura
Kuhusu wabunge siangaliagi CHAMA maana wabunge Wengine wa CCM vilaza!

Kwanini siwataji ACT WAZALENDO HAPA? Hao ni chama cha kwenye flash hakifiki hata 2035 hicho

Ukimuondoa Zitto tu wote waliobaki ni Kelele Kama darasa la tano mwalimu wa hesabu asipokuwa darasani !

Britanicca
Na wewe ni wale wale
Tatizo la nchi hii ni ccm ambao wanaweza mhonga mtu wazi wazi na wasichukuliwe hatua zozote zile ilianza kipindi cha magufuli na sasa kipindi cha samia

Mbowe kipindi cha magufuli kataifishwa mali zake nyingine zimeharibiwa account zake zemefungwa zimekuja kufunguliwa baada ya magufuli kufariki na bado unasema tatizo ni mbowe nchi hii tunasafari ndefu sana hatujui adui yetu ni nani

Jaribu kuvaa viatu vya mbowe kama mwenyekiti w chadema uone kama ni kazi rahisi
 
Back
Top Bottom