Interview ya Lissu imeacha maswali mengi kuliko majibu.
Yaani Abdul awe na list ya kuwanunua watu, halafu atokee mtu amlete Abduli kwako "kukusaidia" kisha huyo mtu eti umuite mwema?- Hapa Lissu kapuyanga!. Au anajaribu kujikosha kwa kuwasafisha mafisadi walio katika Chama chake ila jumba bovu anamuangushia Abduli kwa sababu kwake ni easy target a.k.a bangusilo la kisiasa kujiongezea ujiko!