Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Anadanganya mchana kweupeKwamaba Mbowe baada ya ule uchafuzi wa Magufuli alikaa meza moja na magufuli kuunda covid 19??
Hapa Britanica umetupiga on broad Daylight
Mbowe anamapungufu yake ila chadema wanamuhitaji mbowe kuliko mbowe anavyowahitaji
Mtu mwingine kuvaa viatu vya mbowe atachukua masaa 72 ccm watakua wameshamnunua sababu ccm nchi hii wapo juu ya sheria