ashishi vidyat
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 207
- 287
Sawa Hussein bashe tumekuelewaNilichogundua,
Rostam aziz ni mtu humble na Yuko poa Sana tofauti na wengi wanavomzungumzia,
Nilitarajia atakua na kebehi na maneno ya shombo Kama wanasiasa wetu wanavokurupuka.
Jamaa Ana vision kubwa sana ya kimaendeleo, sio TU Kwa nchi, Bali Hata Kwa uchumi WA mmoja mmoja.
Kwa wafanyabiashara WA ndani na wawekezaji WA kitanzania.
Kama kweli mlipata kumsikiliza kipind Cha uzinduzi WA dira ya taifa, pia Leo kwenye mahojiano na Tido.
Mtangundua kua,
Sekta binafsi imepata mtu poa Sana WA kutuzungumzia na kutupigania tusonge mbele.
Binafsi,
FROM THE BOTTOM OF MY HEART,
NMEMWELEWA SANA ROSTAM AZIZ🙏
Ndo Tatizo lenu hilo wanasiasa, Kila anaeongea zuri Basi kalipwa.Umelipwa bei gani?
Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando 'ametumika' kufanya coverage, maswali yaliandaliwa na majibu yakaandaliwa na wahusika walifanya mazoezi ya pamoja ya mahojiano, ushahidi ni huu hapa.
1. Mahojiano hayakuwa live na yalikuwa na vipande vingi vilivyokatwa katwa na kuungwa ungwa kiufundi baada ya kuhaririwa kabla ya kurushwa hewani.
2. Maswali yote Tido alikuwa akiyasoma kwa mtitiriko kutoka kwenye notebook yake na Rostam alikuwa akiyajibu kwa mtiririko huku akionyesha kama anayajua maswali yote na mtiririko wake.
3. Kuna maswali kadhaa hayakuwa relevant kabisa na lengo la mahojiano yale lakini yaliulizwa kimakusudi ili kumpa Rostam public sympathy and positive attention (kwa mfano suala la bima ya Afya, utoaji misaada kwa jamii nk).
4. Katika maswali yote ya msingi ambayo Tido aliuliza hakuna hata swali moja Tido aliamua kumbananisha Rostam katika kona ya kumchimba. Yaani jibu la msingi la Rostam lilishindwa kuzaa swali la kukera kutoka kwa Tido Mhando. Kwa kifupi kabisa, Tido Mhando alilidhishwa na kila jibu la Rostam katika swali la msingi.
5. Kuna maswali mengi sana ya kimsingi ambayo Tido alikwepa kabisa kumuuliza Rostam Aziz. Ni kama vile Rostam alitaka kuulizwa yale maswali ambayo angependa tu kuulizwa na sio vinginevyo. Kwa mfano, utata wa kifo cha Magu nk.
NOTE:
Kwa wataalamu wa tasnia ya uandishi wa habari wakichunguza haya mahojiano wanaweza kumtazama Tido kama mwandishi asiyekuwa na chembe ya sifa za uandishi wowote wa habari ukiwa utamlinganisha na mwanafunzi yoyote wa ngazi ya cheti aliyejiunga na chuo cha uandishi wa habari na kukaa darasani nusu mwezi kujifunza uandishi wa habari. It was a poor interview!
Huu ni utetezi wa ajabu sana! Kwamba jambazi sio jambazi kama kuna majambazi wengine?Ishu ni ROSTAM kufanikiwa?
au ishu ni ROSTAM kufuja rasilimali za nchi?
Mbona wazungu wamenufaika na rasilimali zetu na hamjapiga KELELE?
Au ni dhambi mtanzania kumiliki migodi na biashara kubwa kubwa nchini?
Sasa sote tukiwa maskini,
Ni nani atamsaidia mwenzake?
Amerudi kuchukua pension yake kutoka kwa RA.Halafu Tido Mhando tuliambiwa amestaafu, kulikoni karudi kazini?
Wajinga wengi wanasema siasa haiwahusu, uwe na usiku mwema huko kwenu TanzaniaNdo Tatizo lenu hilo wanasiasa, Kila anaeongea zuri Basi kalipwa.
Mi sio mwanasiasa Wala uwezi kunikuta nikishabikia Wala kuchangia siasa zenu kule jukwaa la siasa.
Nmeongea Kama mtanzania WA kawaida mwenye mawazo chanya ya kimaendeleo
Eti anatupigania! What a joke! Unakumbuka mikataba ya EPA wewe? Au ulikuwa mdogo?Nilichogundua,
Rostam aziz ni mtu humble na Yuko poa Sana tofauti na wengi wanavomzungumzia,
Nilitarajia atakua na kebehi na maneno ya shombo Kama wanasiasa wetu wanavokurupuka.
Jamaa Ana vision kubwa sana ya kimaendeleo, sio TU Kwa nchi, Bali Hata Kwa uchumi WA mmoja mmoja.
Kwa wafanyabiashara WA ndani na wawekezaji WA kitanzania.
Kama kweli mlipata kumsikiliza kipind Cha uzinduzi WA dira ya taifa, pia Leo kwenye mahojiano na Tido.
Mtangundua kua,
Sekta binafsi imepata mtu poa Sana WA kutuzungumzia na kutupigania tusonge mbele.
Binafsi,
FROM THE BOTTOM OF MY HEART,
NMEMWELEWA SANA ROSTAM AZIZ🙏
EPA imefanyaje?..unajua hata EPA ni kitu gani?Eti anatupigania! What a joke! Unakumbuka mikataba ya EPA wewe? Au ulikuwa mdogo?
Odemba hizo siyo level zake,ni kiazi fulani hivi, nashangaa mnamuona wa maanaWampeleke Kwa Mtangazaji Chief Odemba
Ndio aibe na Kufanya dhulma? Btw Umasikini ni sifa na Utajiri pia ni sifa...ila Umasikini ni sifa mbayaBinafsi nmemwelewa Sana rostam,
Umaskini sio sifa, Wala ishara ya uzalendo
Nimeshangaa 😂😂😂😂Huu ni utetezi wa ajabu sana! Kwamba jambazi sio jambazi kama kuna majambazi wengine?
We unamiliki shingapi unakesha jamii forum kudiscuss watu?GT watakuwa wamemwelewa vizuri Rostam. Tatizo lenu vijana mnausujudu sana umaskini
saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando
Kwa hiyo umetoka front kumtetea Basha wako Rostam ?Vijana wanaroho za kimaskini sana
Kwamba unauliza, ina maana wewe ndio hujui hata EPA ni kitu gani. Sina muda wa kukueleza labda nikupe links hizi zingine fanya research mwenyewe.EPA imefanyaje?..unajua hata EPA ni kitu gani?
Haters mtasema nini' zaidi ya hiki ulichoongea?!!! Ilitarajiwa hili.Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando 'ametumika' kufanya coverage, maswali yaliandaliwa na majibu yakaandaliwa na wahusika walifanya mazoezi ya pamoja ya mahojiano, ushahidi ni huu hapa.
1. Mahojiano hayakuwa live na yalikuwa na vipande vingi vilivyokatwa katwa na kuungwa ungwa kiufundi baada ya kuhaririwa kabla ya kurushwa hewani.
2. Maswali yote Tido alikuwa akiyasoma kwa mtitiriko kutoka kwenye notebook yake na Rostam alikuwa akiyajibu kwa mtiririko huku akionyesha kama anayajua maswali yote na mtiririko wake.
3. Kuna maswali kadhaa hayakuwa relevant kabisa na lengo la mahojiano yale lakini yaliulizwa kimakusudi ili kumpa Rostam public sympathy and positive attention (kwa mfano suala la bima ya Afya, utoaji misaada kwa jamii nk).
4. Katika maswali yote ya msingi ambayo Tido aliuliza hakuna hata swali moja Tido aliamua kumbananisha Rostam katika kona ya kumchimba. Yaani jibu la msingi la Rostam lilishindwa kuzaa swali la kukera kutoka kwa Tido Mhando. Kwa kifupi kabisa, Tido Mhando alilidhishwa na kila jibu la Rostam katika swali la msingi.
5. Kuna maswali mengi sana ya kimsingi ambayo Tido alikwepa kabisa kumuuliza Rostam Aziz. Ni kama vile Rostam alitaka kuulizwa yale maswali ambayo angependa tu kuulizwa na sio vinginevyo. Kwa mfano, utata wa kifo cha Magu nk.
NOTE:
Kwa wataalamu wa tasnia ya uandishi wa habari wakichunguza haya mahojiano wanaweza kumtazama Tido kama mwandishi asiyekuwa na chembe ya sifa za uandishi wowote wa habari ukiwa utamlinganisha na mwanafunzi yoyote wa ngazi ya cheti aliyejiunga na chuo cha uandishi wa habari na kukaa darasani nusu mwezi kujifunza uandishi wa habari. It was a poor interview!
Bwahahahahahaaaaa!EPA imefanyaje?..unajua hata EPA ni kitu gani?