Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando 'ametumika' kufanya coverage, maswali yaliandaliwa na majibu yakaandaliwa na wahusika walifanya mazoezi ya pamoja ya mahojiano, ushahidi ni huu hapa.

1. Mahojiano hayakuwa live na yalikuwa na vipande vingi vilivyokatwa katwa na kuungwa ungwa kiufundi baada ya kuhaririwa kabla ya kurushwa hewani.

2. Maswali yote Tido alikuwa akiyasoma kwa mtitiriko kutoka kwenye notebook yake na Rostam alikuwa akiyajibu kwa mtiririko huku akionyesha kama anayajua maswali yote na mtiririko wake.

3. Kuna maswali kadhaa hayakuwa relevant kabisa na lengo la mahojiano yale lakini yaliulizwa kimakusudi ili kumpa Rostam public sympathy and positive attention (kwa mfano suala la bima ya Afya, utoaji misaada kwa jamii nk).

4. Katika maswali yote ya msingi ambayo Tido aliuliza hakuna hata swali moja Tido aliamua kumbananisha Rostam katika kona ya kumchimba. Yaani jibu la msingi la Rostam lilishindwa kuzaa swali la kukera kutoka kwa Tido Mhando. Kwa kifupi kabisa, Tido Mhando alilidhishwa na kila jibu la Rostam katika swali la msingi.

5. Kuna maswali mengi sana ya kimsingi ambayo Tido alikwepa kabisa kumuuliza Rostam Aziz. Ni kama vile Rostam alitaka kuulizwa yale maswali ambayo angependa tu kuulizwa na sio vinginevyo. Kwa mfano, utata wa kifo cha Magu nk.

NOTE:
Kwa wataalamu wa tasnia ya uandishi wa habari wakichunguza haya mahojiano wanaweza kumtazama Tido kama mwandishi asiyekuwa na chembe ya sifa za uandishi wowote wa habari ukiwa utamlinganisha na mwanafunzi yoyote wa ngazi ya cheti aliyejiunga na chuo cha uandishi wa habari na kukaa darasani nusu mwezi kujifunza uandishi wa habari. It was a poor interview!
Tido anazeeka na ameanza kuonesha upumbavu kiwango cha SGR
 
Rostam anatumia njaa za waja na kuwatengeneza kuwa chawa, hata humu JF yeye pamoja na wahuni wenzake wameshatengeneza chawa wa kutosha. Tido Mhando anapigania pension na protection from all possible angles hivyo msimshangae, this version of Tido Mhando contradicts the BBC old version.
 
Kuna habari watanganyika wenzetu wamelipwa mapesa baada y interview hii kuanza kumsafisha bwana mkubwa n genge lake.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwa majibu ya wengi kuhusiana na mahojiano ya RA na TM inaonyesha kuwa Tanzania bado tunasafari ndefu ya kuzuia ufisadi na wizi wa mali za umma. RA hata angekuwa tajiri vipi lakini kama ananufaika kupitia kuiba na kufisadi rasilimali zetu akishirikiana na uongozi wa nchi ulioko madarakani kwakweli hastahili kutetewa kusifiwa.
Lakini hata wewe umeweka neno kama ameiba; maana yake unafanya speculations kama wanavyofanya wengine... by the way utajiri wa Rostam uko wazi sana kuliko matajiri wengi hapa Bongo.... jiulize kwann hata mzee Bakhresa utajiri wake hauko waziii????
 
wewe acha nongwa nenda kamfanyie wewe interview ndio umuulize hayo maswali yako ya hovyo.
Unamasiriko kisa Rostam kaweka wazi fikra zote za kipumbavu mlizopewa na huyo mpumbavu polepole.
 
  • Mindset ya watanzania ibadilike
  • Tukatae kuona ufahari ya umasikini na kusherehekea ufukara

Kwa nini kauli kama hizi za sijui "Watanzania wanapenda umasikini, sijui umasikini ni sio sifa nzuri" nk hutolewa pale watu wanapohoji kuhusu uwepo wa matumizi binafsi au mabaya ya rasilimali za nchi yetu?

Watu wanapoona kuna wizi wa rasilimali za nchi kwa ajili ya kuwanufaisha watu wachache basi wanahaki ya kuhoji na ni vyema hoja zao zijibiwe kwa usahihi wala si kwa kejeli kwamba wanapenda umasikini.

Kauli ya Watanzania kupenda umasikini ni hoja dhaifu ambazo hutolewa na wale waliojaa ubinafsi, wezi na wanaodhulumu rasilimali za nchi yetu kwa manufaa yao.

Watanzania wangekuwa masikini basi hata wasingeweza kuona au kuhoji pale wezi wanapoiba rasilimali za nchi yetu.
 
Zuzu kumbe, wewe mtu mashuhuli kabla ya kumhoji lazima ueleze unahoja Gani..
 
Binafsi nmemwelewa Sana rostam,
Umaskini sio sifa, Wala ishara ya uzalendo
Awe Mzalishaji, siyo Mwizi.

Mbona Azam anauza Ice Cream.

Ponjoro kazi yake ni kuvizia tender tu, na kuibia umma.
 
Nilichogundua,
Rostam aziz ni mtu humble na Yuko poa Sana tofauti na wengi wanavomzungumzia,

Nilitarajia atakua na kebehi na maneno ya shombo Kama wanasiasa wetu wanavokurupuka.

Jamaa Ana vision kubwa sana ya kimaendeleo, sio TU Kwa nchi, Bali Hata Kwa uchumi WA mmoja mmoja.

Kwa wafanyabiashara WA ndani na wawekezaji WA kitanzania.

Kama kweli mlipata kumsikiliza kipind Cha uzinduzi WA dira ya taifa, pia Leo kwenye mahojiano na Tido.

Mtangundua kua,
Sekta binafsi imepata mtu poa Sana WA kutuzungumzia na kutupigania tusonge mbele.

Binafsi,
FROM THE BOTTOM OF MY HEART,
NMEMWELEWA SANA ROSTAM AZIZ🙏
Humu JF tulishawahi kufikiriaga wewe ndio huyo jamaa.
 
Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando 'ametumika' kufanya coverage, maswali yaliandaliwa na majibu yakaandaliwa na wahusika walifanya mazoezi ya pamoja ya mahojiano, ushahidi ni huu hapa.

1. Mahojiano hayakuwa live na yalikuwa na vipande vingi vilivyokatwa katwa na kuungwa ungwa kiufundi baada ya kuhaririwa kabla ya kurushwa hewani.

2. Maswali yote Tido alikuwa akiyasoma kwa mtitiriko kutoka kwenye notebook yake na Rostam alikuwa akiyajibu kwa mtiririko huku akionyesha kama anayajua maswali yote na mtiririko wake.

3. Kuna maswali kadhaa hayakuwa relevant kabisa na lengo la mahojiano yale lakini yaliulizwa kimakusudi ili kumpa Rostam public sympathy and positive attention (kwa mfano suala la bima ya Afya, utoaji misaada kwa jamii nk).

4. Katika maswali yote ya msingi ambayo Tido aliuliza hakuna hata swali moja Tido aliamua kumbananisha Rostam katika kona ya kumchimba. Yaani jibu la msingi la Rostam lilishindwa kuzaa swali la kukera kutoka kwa Tido Mhando. Kwa kifupi kabisa, Tido Mhando alilidhishwa na kila jibu la Rostam katika swali la msingi.

5. Kuna maswali mengi sana ya kimsingi ambayo Tido alikwepa kabisa kumuuliza Rostam Aziz. Ni kama vile Rostam alitaka kuulizwa yale maswali ambayo angependa tu kuulizwa na sio vinginevyo. Kwa mfano, utata wa kifo cha Magu nk.

NOTE:
Kwa wataalamu wa tasnia ya uandishi wa habari wakichunguza haya mahojiano wanaweza kumtazama Tido kama mwandishi asiyekuwa na chembe ya sifa za uandishi wowote wa habari ukiwa utamlinganisha na mwanafunzi yoyote wa ngazi ya cheti aliyejiunga na chuo cha uandishi wa habari na kukaa darasani nusu mwezi kujifunza uandishi wa habari. It was a poor interview!
Asante kwa maoni yako, ukitumua haki ya Raia mwema kikatiba. Sasa tusubiri na wengine waliomsje, mko wengi Raia wema.
 
Ishu ni ROSTAM kufanikiwa?

au ishu ni ROSTAM kufuja rasilimali za nchi?

Mbona wazungu wamenufaika na rasilimali zetu na hamjapiga KELELE?

Au ni dhambi mtanzania kumiliki migodi na biashara kubwa kubwa nchini?

Sasa sote tukiwa maskini,
Ni nani atamsaidia mwenzake?

Issue sio ROSTAM kufanikiwa au kutokufanikiwa.

Tatizo ni pale Wanapo lazimisha ku influence Siasa, Kusimika Viongozi wanao wataka wao kwa maslai yao.

Wakiendelea hivi they become too Rich and Un controllable, na hii ni mbaya kwa viongozi na wanasiasa wanao kuja.

Hivyo ni lazima wadhibitiwe kuondoa mtandao wao kwenye siasa wabaki kufanya biashara tu, na hicho ndo alikua anapambana JPM its so sad walimuwai.
 
Nilichogundua,
Rostam aziz ni mtu humble na Yuko poa Sana tofauti na wengi wanavomzungumzia,

Nilitarajia atakua na kebehi na maneno ya shombo Kama wanasiasa wetu wanavokurupuka.

Jamaa Ana vision kubwa sana ya kimaendeleo, sio TU Kwa nchi, Bali Hata Kwa uchumi WA mmoja mmoja.

Kwa wafanyabiashara WA ndani na wawekezaji WA kitanzania.

Kama kweli mlipata kumsikiliza kipind Cha uzinduzi WA dira ya taifa, pia Leo kwenye mahojiano na Tido.

Mtangundua kua,
Sekta binafsi imepata mtu poa Sana WA kutuzungumzia na kutupigania tusonge mbele.

Binafsi,
FROM THE BOTTOM OF MY HEART,
NMEMWELEWA SANA ROSTAM AZIZ🙏
Ukitaka kula na kipofu... Rostam yupo sana na mipango ya muda mrefu so usitegemee atatoa maneno ya shombo kama ya Mramba, Chenge, au Tibaijuka.
 
Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando 'ametumika' kufanya coverage, maswali yaliandaliwa na majibu yakaandaliwa na wahusika walifanya mazoezi ya pamoja ya mahojiano, ushahidi ni huu hapa.

1. Mahojiano hayakuwa live na yalikuwa na vipande vingi vilivyokatwa katwa na kuungwa ungwa kiufundi baada ya kuhaririwa kabla ya kurushwa hewani.

2. Maswali yote Tido alikuwa akiyasoma kwa mtitiriko kutoka kwenye notebook yake na Rostam alikuwa akiyajibu kwa mtiririko huku akionyesha kama anayajua maswali yote na mtiririko wake.

3. Kuna maswali kadhaa hayakuwa relevant kabisa na lengo la mahojiano yale lakini yaliulizwa kimakusudi ili kumpa Rostam public sympathy and positive attention (kwa mfano suala la bima ya Afya, utoaji misaada kwa jamii nk).

4. Katika maswali yote ya msingi ambayo Tido aliuliza hakuna hata swali moja Tido aliamua kumbananisha Rostam katika kona ya kumchimba. Yaani jibu la msingi la Rostam lilishindwa kuzaa swali la kukera kutoka kwa Tido Mhando. Kwa kifupi kabisa, Tido Mhando alilidhishwa na kila jibu la Rostam katika swali la msingi.

5. Kuna maswali mengi sana ya kimsingi ambayo Tido alikwepa kabisa kumuuliza Rostam Aziz. Ni kama vile Rostam alitaka kuulizwa yale maswali ambayo angependa tu kuulizwa na sio vinginevyo. Kwa mfano, utata wa kifo cha Magu nk.

NOTE:
Kwa wataalamu wa tasnia ya uandishi wa habari wakichunguza haya mahojiano wanaweza kumtazama Tido kama mwandishi asiyekuwa na chembe ya sifa za uandishi wowote wa habari ukiwa utamlinganisha na mwanafunzi yoyote wa ngazi ya cheti aliyejiunga na chuo cha uandishi wa habari na kukaa darasani nusu mwezi kujifunza uandishi wa habari. It was a poor interview!
Huyu bwana unaweza kumchukua vyovyote vile,lakini wengi humchukua kwa kufata mkumbo,wakizuka watu kumsema mwizi bali fata mkumbo mwite mwizi,lakini huyu jamaa ni mpambanaji na amefanya mengi mazuri,mfano:
1.ameajiri watanzania 7000 niambie familia ngapi zinapata rizki?
2.anamiliki kampuni ya yas je watanzania wangapi wanapata riziki?
3.alipokuwa mbunge kwenye jimbo lake la igunga alianzisha mfumo wa bima ya afya na ulifanya kazi vizuri tu na hata marehemu mkapa alienda igunga kwenye kujionea mfumo huo
4.Hivi sasa wataalamu wake wanafanya utafiti kupanua shirikia lake la ndege.

Tujifunze kutoka kwake na sio sawa kumtuingia uongo usio na maana
 
Rostam aziz Yuko smart Sana,
Ile interview kiukweli imenimotivate Sana,
Inabidi watz tuache roho za Kwanini,
Ifike hatua tufurahie mafanikio ta mtanzania mwenzetu, na sio kujenga chuki.
Wewe juzi juzi hapa si ulikuwa unajifanya ati ni jasusi uchwara unaongea kwa "codes" za TISS!

Acha ushamba, migodi inaibiwa unajifanya unaongea kwa codes na kuwaabudu majambazi?

Ati Jasusi! Jinga kabisa!
 
Back
Top Bottom