Rostam alitakiwa kuhojiwa na Dada yangu Mange Kimambi, Maria Sarungi au Polepole wengine hao ni maigizo mxiuuu
wangekuja hapa nchini basi wakapata kufanya hayo mahaojiano
Rostam alitakiwa kuhojiwa na Dada yangu Mange Kimambi, Maria Sarungi au Polepole wengine hao ni maigizo mxiuuu
Hyo tufanikiwe wote umechapia tu..anakulipa sh ngap kumpigia promo hiv.?iv unawajua waarabu,wahind na persian walivyo na ubinqfsi kwel?Nilivomskiliza ROSTAM,
Kwa jicho na kimaendeleo,
Rostam ndo wale marafiki uwa napenda Sana kua nao karibu, kuwaskiliza wakizungumza
Ndo Wale marafiki ambao wakizungumza, unaona kabisa uyu jamaa ni smart, Ana vision Kali ya fursa , na ana kiu Kali SANA ya kukua kiuchumi na kwenda mbali Sana kimaendeleo.
Pia ni mtu anaetaka tufanikiwe wote.
Shida kuu tuliyo nayo kama nchi, ni kwamba Ccm wamesha tuona sisi watanzania ni maboya.Kwanza jiulizeni kwanini interview imekwenda kurushwa UTV wakati aliyemhoji ni bwana Tido ambaye si mtangazaji wa UTV? Pili tambueni kabisa wanamtandao na wafanyabiashara wakubwa are very strategic. Wanapoona maslahi yao yanaguswa hurudi nyuma na kuset mipango kabambe ya kutuliza.
Tatu, interview yake amejitetea kila swali aliloulizwa ambalo lilikiwa negative kwenye maslahi yake. That is obvious ni yupi mjinga ambaye angeweza kusema Mimi kweli ni dalali na Huwa najenga ukaribu na serikali kupata kitonga. Hakuna mtu wa namna hiyo.
Pia amewaambia alipigiwa simu na Rais Magufuli tena wakaongea kisukuma. Magufuli yupi? Huyu aliyegundua channel ten kupigwa mnada kinyemela na kuirudisha?
Guys think critically. Kila mtu anatetea maslahi yake. Ni wewe kuchuja na kuchambua Kisha amua kama unauza nchi October au kuibakiza.
Kafanya nini kwamba Watanzania wamkatae kabisa?Shida kuu tuliyo nayo kama nchi, ni kwamba Ccm wamesha tuona sisi watanzania ni maboya.
Hivi Rostam ni mtu wa kusimama na kujitetea mbele ya uma wa watanzania? Haya ni matusi.. We need to act..
Kwa nini kauli kama hizi za sijui "Watanzania wanapenda umasikini, sijui umasikini ni sio sifa nzuri" nk hutolewa pale watu wanapohoji kuhusu uwepo wa matumizi binafsi au mabaya ya rasilimali za nchi yetu?
Watu wanapoona kuna wizi wa rasilimali za nchi kwa ajili ya kuwanufaisha watu wachache basi wanahaki ya kuhoji na ni vyema hoja zao zijibiwe kwa usahihi wala si kwa kejeli kwamba wanapenda umasikini.
Kauli ya Watanzania kupenda umasikini ni hoja dhaifu ambazo hutolewa na wale waliojaa ubinafsi, wezi na wanaodhulumu rasilimali za nchi yetu kwa manufaa yao.
Watanzania wangekuwa masikini basi hata wasingeweza kuona au kuhoji pale wezi wanapoiba rasilimali za nchi yetu.
Tatizo watu hawasomi majarida au kutizama tv kufuailia thamani ya hisa za makampuni duniani ktk masoko ya hisa Australia, Singapore, London, Zurich, Toronto, New York n.k
Una akili ndogo kama kisoda, Bakhresa ni tajiri, ni lini umesikia watu wanamnyooshea kidole au kumchukia? Why Rostam siku zote?Suala la mtandao,
Ambalo ndo lilikua linasubiriwa Kwa hamu, jamaa kalifafanua vema kabisa na kakiri kweli yeye ni mwanamtandao.
Tukubali tukatae, wanasiasa ndio nguzo za wafanyabiashara wengi duniani.
Nchi zinazojielewa, wafanyabiashara ni partners WA wanasiasa (yaani utengeneza mtandao) ili kukuza uchumi WA nchi na wananchi Kwa maendeleo ya nchi.
Suala la mfanyabiashara kua na mtandao na wanasiasa kipindi Cha kampeni Wala sio dhambi,
wengi mitaani tunachangia Sana kampeni za wanasiasa ili tuweze kunufaika na mifumo endapo wakifikia madarakani.
Mtanzania mwenzio akinufaika na mfumo, akapata pesa na kukuza miradi yake inayoajiri watz wengine, Wala sio dhambi.
Dhambi ni unufaike na mfumo afu ukafiche pesa ulaya huko, hiyo ni dhambi isiyosameheka daima
Wafanyabiashara wa madini waongelea upatikanaji wa mikopo nje ya Tanzania mfano mradi wa madini ya Graphite Mahenge Morogoro Tanzania :US$ bilionea Rostam Aziz afafanua changamoto kwa wafanyabiashara wazawa kutokana na ukosefu wa mikopo mikubwa kutoka benki za ndani
- Mabenki ya Tanzania yana mitaji midogo sana, sababu mabenki madogo yamekuwa mengi
- Mabenki ya Tanzania hayawezi kukopesha mkopo wa dola 100 milioni
- Mabenki ya Tanzania yaungane yawe machache yenye mitaji mikubwa
- Hivyo benki chache ziwe na uwezo wa kutoa mkopo wa dola milioni 100 hapa ndani badala ya kwenda kukopo nje