Ila watanzania tuna roho za chuki na wivu sana! Pia tuna akili ndogo sana ya uelewa wa mambo! Nimemsikiliza vizuri sana jamaa hakuna mahali kaelezea akaacha sintofahamu hakuna!!Binafsi nmemwelewa Sana rostam,
Umaskini sio sifa, Wala ishara ya uzalendo
Ni kweli kabisa umasikini si jambo la kujisifia na wala hatupaswi utukuza wala onea huruma umasikini.Binafsi nmemwelewa Sana rostam,
Umaskini sio sifa, Wala ishara ya uzalendo
Wewe na zamwamwa zumbukuku mzungu wa reli!! Nyie mashwaini ni ya kukanyaga tu vichwa!Huyu fisadi anapataje airtime kwenye media
Huyu ni wa kupiga Pini kutoka hata nje ya Tanzania sema tu nchi yetu vyombo vya usalama vimekufa!!
Bakherasa sio tajiri? Kwa nini watu hawamchukii Bakherasa?Tatizo wengi mna chuki zisizo na mashiko,
Kumchukia tajiri haiwezi kukuondolea umaskini ulionao
WaTanzania tunapaswa kubalisha Sana hii mindset
Heshima kutoka kwenu? Mlivyo na fitina na uchawi?Mnazidi kuomekana watu wa hovyo wakati mlikua na heshima zenu humu jukwaani
Sasà wewe na yeye si mnafanana , wote ponjoroBinafsi nmemwelewa Sana rostam,
Umaskini sio sifa, Wala ishara ya uzalendo
Umesikiliza kipindi hadi mwisho? Ila wabongo aisee hatari haya yote unayoongea kayaelezea mule Yaani unakuja na hukumu na interview hujaangalia?Ata mimi nilitegemea ahojiwe kuhusu umilikibwa mgodi wa makaa ya mawe na ulipaji kodi
Lakini pia mhandishi alitakiwa amuulize rostam kuhusu madai ya polepole kuwa yeye ni mmoja katii ya wanamtandao
Mhandisi alipangwa mapema nimeshitukia hilo
Bakhresa hajajiweka wazi wazi kwenye siasa japo huko ndo wanasiasa wengi sana wamejikita hasa wanaotokea ZanzibarBakherasa sio tajiri? Kwa nini watu hawamchukii Bakherasa?
Ndio neno lao wanatumia kama ngao kujitetea, ila tukianza kuhoji upatikanaji wa utajiri na wengine kama hawa wanajulikana kama wezi wa rasilimali za Taifa inakuwa nongwa.Binafsi nmemwelewa Sana rostam,
Umaskini sio sifa, Wala ishara ya uzalendo
Leteni Full Video na sie Tumsikie Huyu PonjoroNimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando 'ametumika' kufanya coverage, maswali yaliandaliwa na majibu yakaandaliwa na wahusika walifanya mazoezi ya pamoja ya mahojiano, ushahidi ni huu hapa.
1. Mahojiano hayakuwa live na yalikuwa na vipande vingi vilivyokatwa katwa na kuungwa ungwa kiufundi baada ya kuhaririwa kabla ya kurushwa hewani.
2. Maswali yote Tido alikuwa akiyasoma kwa mtitiriko kutoka kwenye notebook yake na Rostam alikuwa akiyajibu kwa mtiririko huku akionyesha kama anayajua maswali yote na mtiririko wake.
3. Kuna maswali kadhaa hayakuwa relevant kabisa na lengo la mahojiano yale lakini yaliulizwa kimakusudi ili kumpa Rostam public sympathy and positive attention (kwa mfano suala la bima ya Afya, utoaji misaada kwa jamii nk).
4. Katika maswali yote ya msingi ambayo Tido aliuliza hakuna hata swali moja Tido aliamua kumbananisha Rostam katika kona ya kumchimba. Yaani jibu la msingi la Rostam lilishindwa kuzaa swali la kukera kutoka kwa Tido Mhando. Kwa kifupi kabisa, Tido Mhando alilidhishwa na kila jibu la Rostam katika swali la msingi.
5. Kuna maswali mengi sana ya kimsingi ambayo Tido alikwepa kabisa kumuuliza Rostam Aziz. Ni kama vile Rostam alitaka kuulizwa yale maswali ambayo angependa tu kuulizwa na sio vinginevyo. Kwa mfano, utata wa kifo cha Magu nk.
NOTE:
Kwa wataalamu wa tasnia ya uandishi wa habari wakichunguza haya mahojiano wanaweza kumtazama Tido kama mwandishi asiyekuwa na chembe ya sifa za uandishi wowote wa habari ukiwa utamlinganisha na mwanafunzi yoyote wa ngazi ya cheti aliyejiunga na chuo cha uandishi wa habari na kukaa darasani nusu mwezi kujifunza uandishi wa habari. It was a poor interview!
EPA ni akaunti iliyoundwa na mzee mwinyi kulipa madeni ya nje,waliozitwanga hizo pesa wali-acqire company zilizokua zikiidai serikaliKwamba unauliza, ina maana wewe ndio hujui hata EPA ni kitu gani. Sina muda wa kukueleza labda nikupe links hizi zingine fanya research mwenyewe.
![]()
Former President Benjamin Mkapa opens up on EPA scandal in ‘My Life, My Purpose’
Dar es Salaam. Tanzania’s former president Benjamin William Mkapa has opened up on the EPA scandal in his book ‘My Life, My Purpose’ saying that one of his biggest regrets as President was to...www.thecitizen.co.tz
Nakuongezea na hii link
![]()
How corruption rocked Kikwete's govt in the past decade
A political consultant Mr Erick Mwakibete says the government has failed to create a system that will ensure corruption is tackled and corrupt individuals are dealt with once unveiled.www.thecitizen.co.tz
Hakuna substances kwenye hizo news,hazielezi EPA ni nini haswaKwamba unauliza, ina maana wewe ndio hujui hata EPA ni kitu gani. Sina muda wa kukueleza labda nikupe links hizi zingine fanya research mwenyewe.
![]()
Former President Benjamin Mkapa opens up on EPA scandal in ‘My Life, My Purpose’
Dar es Salaam. Tanzania’s former president Benjamin William Mkapa has opened up on the EPA scandal in his book ‘My Life, My Purpose’ saying that one of his biggest regrets as President was to...www.thecitizen.co.tz
Nakuongezea na hii link
![]()
How corruption rocked Kikwete's govt in the past decade
A political consultant Mr Erick Mwakibete says the government has failed to create a system that will ensure corruption is tackled and corrupt individuals are dealt with once unveiled.www.thecitizen.co.tz
I discuss ideas not people as you do!We unamiliki shingapi unakesha jamii forum kudiscuss watu?
Wacha ubaguzi WA rangi mkuuSasà wewe na yeye si mnafanana , wote ponjoro
Huenda Wewe ndio humchukii bakhresa, Ila wapo wengi humu, Kila aliefanikiwa ni adui yaoBakherasa sio tajiri? Kwa nini watu hawamchukii Bakherasa?
Tatizo liko wapi mtanzania mwenzetu akifanikiwa na akatamani tufanikiwe sote?Wewe juzi juzi hapa si ulikuwa unajifanya ati ni jasusi uchwara unaongea kwa "codes" za TISS!
Acha ushamba, migodi inaibiwa unajifanya unaongea kwa codes na kuwaabudu majambazi?
Ati Jasusi! Jinga kabisa!
Rostam Ni mpambanaji haswa,Huyu bwana unaweza kumchukua vyovyote vile,lakini wengi humchukua kwa kufata mkumbo,wakizuka watu kumsema mwizi bali fata mkumbo mwite mwizi,lakini huyu jamaa ni mpambanaji na amefanya mengi mazuri,mfano:
1.ameajiri watanzania 7000 niambie familia ngapi zinapata rizki?
2.anamiliki kampuni ya yas je watanzania wangapi wanapata riziki?
3.alipokuwa mbunge kwenye jimbo lake la igunga alianzisha mfumo wa bima ya afya na ulifanya kazi vizuri tu na hata marehemu mkapa alienda igunga kwenye kujionea mfumo huo
4.Hivi sasa wataalamu wake wanafanya utafiti kupanua shirikia lake la ndege.
Tujifunze kutoka kwake na sio sawa kumtuingia uongo usio na maana