Mahojiano yangu na washirika wa FDLR kuhusu uhasama wao na RPF- Inkotanyi

Mahojiano yangu na washirika wa FDLR kuhusu uhasama wao na RPF- Inkotanyi

Mpunguze ujuaji humu huyu jamaa asipopost mimi na wanangu huwa tunamfuata mpaka anaposhindia kubishana huko jukwaa la hezbooolah na kina Hamas ,akija hapa mtu anaanza kutoa vitisho mara utauliwa mara hiki ina maana huyu jamaa kwa taarifa hii anayotoa hapa hajui kama kuna madhara? Muacheni atiririke na hajapost mpaka muda huu subirini hapa hapa najua alipo
 
Mpunguze ujuaji humu huyu jamaa asipopost mimi na wanangu huwa tunamfuata mpaka anaposhindia kubishana huko jukwaa la hezbooolah na kina Hamas ,akija hapa mtu anaanza kutoa vitisho mara utauliwa mara hiki ina maana huyu jamaa kwa taarifa hii anayotoa hapa hajui kama kuna madhara? Muacheni atiririke na hajapost mpaka muda huu subirini hapa hapa najua alipo

Dah JF bana

Sawa mkubwa nenda kamchomoe uje naye huko kwenye mitaaa ya hamas mwambie aje tutamlinda.. asikimbie huku

Sie tu asubiria hapa hapa
 
Safi sana mkuu,nimesoma sana historia ya hawa ndugu zetu tokea kipindi cha mwami kabla ya uhuru toka Belgien.
Ni historia ndeefu sana mpk kufikia genocide badae sana.
Weka vitu
 
Rwigyema akafutika kw style ile nadhani angekuja kuwa mwiba kwa pk Baadae kisiasa na
Rwigema alikua ndio awepo pale kwenye kiti mpk kesho.
Modern na mstaarabu,na kamanda haswa ,akachapwa za kuviziwa na wenzie.
Risasi haina rafiki ikigonga imeingia ni kuzima tu.
Na baada ya msala wa Fred na huku ndio ikaanza inkontanyi.
Na huku interahamwe,ikawa piga nikupige.
Watu walikua wanauana kwa jembe,shoka,marungu,
Wahutu walikimbia ambapo ni km vita ya muisraili saa hii.
Walikua na raia wa kawaida tu wamejichanganya nao.
Sasa mkiongea mziki wa Gaza.
Hiyo cha mtoto,
Kibeho.
Walioambiwa wakimbie
Huku vita ndio imeiva..
Wakajaa kibeho.
Pigwa sana pale mpk vumbi tu,si mtoto mama mzee fdlr walikuwemo ila wachache tu wengine walikua maporini.
Kayumba Nyamwasa aliongoza hiyo kazi.
Sa hii hana hamu
 
SASA TUENDELEEE...................!!!
SAFARI YA KANALI""F"" KURUDI NYUMA MPAKA MJI WA KAMEMBE NEAR ZIWA KIVU.
Haikua kitu rahisi kwa kanali f kurudi nyuma mpaka mji wa Kamembe.
Kwanza alikua na uchungu mkubwa moyoni katika vitu vikuu vitatu.
MOSI: Yeye aliamini kua rwanda imetumbikizwa kwenye vita na mauaji na wanasiasa wenye uchu wa madaraka.Na aliamini kabisa wakuu wake wa kijeshi walimgeuka hasa katika yale makubaliano ya Arusha Tanzania ya kusitisha vita.
PILI: Kanali au afande"f"aliamini kua waasi wa RPF wamemsaliti kwa yale yote waliyokubaliana mwaka 1987 na 1992 na nia yao ilikua ni kuchukua nchi na kumfukuza yeye na wahutu wwngine nao wakaonje adha ya kua wakimbizi ughaibuni.
TATU: Aliamini wafaransa walihusika na kupanga mauaji ya kimbari kwa kuwashawishi wakuu wake wa kijeshi kutekekeza mauaji hayo na vivile walihusika na kumuua raisi Juvenal ambae alikua bosi wake na alikua anamlinda mpaka siku ile aliyosafiri kwenda nchini Tanzania.
NB: KUMBUKA YEYE KANALI ALIKUA ANAMLINDA RAISI AKIWA ARDHINI NA SIO ANGANI...JUKUMU LA KUMLINDA RAISI AKIWA ANGANI HALIKUA LAKE YEYE.
Anasema raisi Juvenal alimwambia maneno haya kabla hajapanda ndege kwenda mjini Dar es salaam nchini Tanzania.
""""""""NAMNUKUUU""""""""""""""
JUVENAL : Kanali kama unavyoona hii hali ya kivita sio nzuri upande wetu na hata hawa wanajeshi 600 wa RPF waliopo hapa Kigali mimi siwaamini kabisa katika lolote,,,,maana wapo karibu na uwanja wa ndege,hivyo wanaweza kuniua wakati wowote.
AFANDE""F"": Mkuu najua na ningekushauri ukirudi kutoka Tanzania basi makao yako makuu yahamishie mjini Gitarama.
JUVENAL: Sawa Kanali nimekuelewa na nikirudi tutajadili hili suala kwa kina.
AFANDE""F"": Nikutakie safari njema mkuu
JUVENAL: Ilinde familia yangu kwa gharama yoyote ile Kanali sawa.
JUVENAL: Ni aibu sisi kushindwa na RPF na sura yangu nitaiweka wapi.
JUVENAL: Tafadhali Kanali ilinde familia yangu kwa gharama yoyote ile.
JUVENAL: Najua wewe na Aghata mna tofauti zenu,,lakini usisahau yule ni mke wangu na usisahau pia wewe ni mdogo wangu Kanali.
JUVENAL: Na tumetoka mbali sana mdogo wangu toka nilipokutoa jeshini miaka ile
AFANDE""F"": Sawa Mkuu (copied) huku akipiga saluti na hiyo ndio ilikua saluti yake ya mwisho na mazungumzo yake ya mwisho na raisi Habyarimana akiwa hai ikulu.
Afande anasema na hili lilikua linamuuma sana sababu alijua mkuu wa vikosi vya kulinda wanadplomasia wa RPF waliokua Kigali kwa mujibu wa makubaliano ya amani ya Arusha.
Brigedia Rwegema alihusika na mauaji ya Rais Juvenal.
NB: Brigedia Rwegema na yeye aliuawa katika mazingira ya kutatanisha wakati waasi wa RPF wanaichukua na kuidhibiti Kigali.
Basi afande""f""aliendelea na utaratibu wa kujihami huku akirudi nyuma mpaka mji wa Kamembe akiwa na askari makomandoo 1800 na malori ya kijeshi 116 na magari ya deraya 66 na maroli ya kawaida 75 na vifaru 14 na askari wa miguu wasiokua makomandoo zaidi ya 3000,hapa ukijumuisha na vikosi vya wanamgambo wa kiraia ambao ni tofauti na intarehamwe militias.
Hakutaka kupigana au kuzuia waasi wa RPF kuchukua miji ya Rulamba na Kitabi sababu aliona hakuna sababu ya kupoteza nguvu kazi kwa jambo lisilowezekana kwa namna yoyote ile iwe kiualisia au kidhaaniana maana tayari kimahesabu walikua wameshashindwa vita na RPF.
Mnamo tarehe 26 january 1994 ilimkuta afande ""f"" akiwa mjini Kamembe akiwa amechoka na amepoteza mawasiliano kati yake na wakuu wake wa kijeshi.
NA WAZO KUU LILIKUA NI KUVUKA ZIWA KIVU NA KUINGIA ZAIRE NA KUJIPANGA UPYA KIJESHI NA KUANZISHA UPYA MAPIGANO ILI KURUDISHA NYUMA VIKOSI VYA RPF VILIVYOKUA VIMETAMALAKI NCHI NZIMA YA RWANDA MPAKA WAKATI HUO JANUARY 26 1994
Na alichukua simu ya upepo na kumpigia rafiki yake wa zamanj na adui yake kwa sasa PAULO mjini Kigali na kusema maneno haya.
AFANDE: PAULO UMENISALITI
PAULO: KANALI WALIOKUSALITI NI RDF WOTE KWA KUSHINDWA KUPIGANA KWENYE UWANJA WA MAPAMBANO NA KUISHIA KUUA RAIA WA KITUSI
AFANDE: HUKUTIMIZA WAJIBU WAKO
PAULO: NI KWELI ILA NDIO SIASA HIZO
AFANDE: NA ULIBUNI MAUAJI YA HALAIKI
PAULO: UNA USHAHIDI KANALI??
AFANDE NDIO PAULO NINAO
PAULO:UR DEAD KABLA HAUJAONEKANA
AFANDE: NIFE MARA NGAPI PAULO?
PAULO: UNANIJIBU KWA UJEURI SABABU YA HUYO MZEE MOBUTU?
NINA VIKOSI HUKO KIVU NA VINASUBIRI TU AMRI YANGU KUMSHAMBULIA HUYO MZEE MLA RUSHWA
AFANDE: WE ARE ENEMIES NAKUJIBU HOW I FEEL TOWARDS YOU
AFANDE: KWA SABABU ULINISALITI BASI HAUTOKAA KWA AMANI TAKE THAT CARD YOU PLAYED ONCE.
PAULO: HABARI ZA RWEGEMA UNAZO?
PAULO: BAS NA WEWE UTAISHIA HIVYO
AFANDE: NIMEKUPIGIA SIMU KUKUAMBIA BADO SIJAFA NIPO NA NINAONDOKA NDANI YA RWANDA KWA SASA ILA NITARUDI MDA SI MREFU NA WEWE UNAJUA HILO.
NA KAMA ULIMUUA REGWEMA,HUO NI UOGA WAKO NA TAMAA ZAKO ZA MADARAKA PAULO NA MIMI HILO HALINIHUSU.
BAS AFANDE"F""AKAKATA SIMU YAKE YA UPEPO NA IKUMBUKWE HAPO ALIKUA MJINI KAMEMBE NJE KIDOGO YA ZIWA KIVU NA HIYO ILIKUA JANUARY 26 1994.
NA HII SIKU NDIO WAZO LA FDLR LILIPOZALIWA KICHWANI MWA KANALI AU AFANDE""F"""
ITAENDELEA...............!!!!!!!!!!
Kwann huyu afande F ,aliweza kuwasiliana na poo kagame mojakwamoja uwanja wa vita na kuombana nafasi ya mapumziko
 
Rwigema alikua ndio awepo pale kwenye kiti mpk kesho.
Modern na mstaarabu,na kamanda haswa ,akachapwa za kuviziwa na wenzie.
Risasi haina rafiki ikigonga imeingia ni kuzima tu.
Na baada ya msala wa Fred na huku ndio ikaanza inkontanyi.
Na huku interahamwe,ikawa piga nikupige.
Watu walikua wanauana kwa jembe,shoka,marungu,
Wahutu walikimbia ambapo ni km vita ya muisraili saa hii.
Walikua na raia wa kawaida tu wamejichanganya nao.
Sasa mkiongea mziki wa Gaza.
Hiyo cha mtoto,
Kibeho.
Walioambiwa wakimbie
Huku vita ndio imeiva..
Wakajaa kibeho.
Pigwa sana pale mpk vumbi tu,si mtoto mama mzee fdlr walikuwemo ila wachache tu wengine walikua maporini.
Kayumba Nyamwasa aliongoza hiyo kazi.
Sa hii hana hamu
Nyamwasa ni wanted FDLR wanatoa dola 20,000 kwa kichwa chake.
Na RPF wanatoa vyeo jeshini na pesa kwa atakaeleta kichwa chake pia.
Source : Mahojiano yangu na FDLR
 
Back
Top Bottom