Mahojiano yangu na washirika wa FDLR kuhusu uhasama wao na RPF- Inkotanyi

Mahojiano yangu na washirika wa FDLR kuhusu uhasama wao na RPF- Inkotanyi

Kwa mara ya kwanza naelewa historian ya rwanda toka miaka ya 80, uhasama wa FDLR vs RPF... Lakini nishapata picha chimbuko la M23 na Mengineyo. Kimsingi niseme ahsante kwa mtoa huu Uzi. Umetufungua wengi macho hasa sisi kizazi Cha 90's
Hata Mimi,nimepata mwanga ila Mungu awasaidie hii nchi kwani wamepitia historia ngumu lakini Bado wapo safari yennye mabonde na milima,nionavyo bila kukaa mezani na hao walikimbilia Kongo itakuwa mwiba kwa Taifa hilo
 
Hata Mimi,nimepata mwanga ila Mungu awasaidie hii nchi kwani wamepitia historia ngumu lakini Bado wapo safari yennye mabonde na milima,nionavyo bila kukaa mezani na hao walikimbilia Kongo itakuwa mwiba kwa Taifa hilo
Upo sahii kabisa mkuu
 
Nakujibu mkuu kama ifuatavyo
1: RWIGEMA WAS SOROUNDED WITH CON PEOPLE WHO ONLY CARE FOR POWER
2:SHE ESCAPE TO FRANCE
3: THERE'S NOTHING HE CAN DO
4:THEY USED TO BE COMRADE IN FRONTLINE 1996 TO 1998
5:FEW ELITE UNIT WAS THERE TO PROTECT EMBASSY.
TO INTERFERE NO BECAUSE OF FRANCE MILITARY PRESENCE UP THERE
Shukrani mkuu...namba 5 naijua hiyo story vyema makomandoo wetu walikua hapo...nafkiri pia raia wetu Tuliwaokoa...thanks
 
INAENDELEA..........!!!
SECRET LOCATION NEAR GOMA.
Afande""f"" baada ya kufika kwenye secret location karibu na mji wa Goma,alifanya mkutano na makamanda wote waliokimbilia Zaire ambao walikua na mlengo kama wake kisiasa.
Na hakutaka kabisa kuwashilikisha viongozi wa serikali ya mpito iliyokua mjini Bukavu.
Sababu kuu ya kutowashilikisha ni kwamba,kulikua na hali kubwa ya kutoaminiana kati ya viongozi wa serikali iliyopinduliwa.
Kulikua na viongozi wa kisiasa na makamanda ambao walikua toka mwanzo hawakuyaunga mkono mauaji ya kimbari ya Watusi,na mmojawapo alikua Afande""f"".
Mkutano wenyewe ulifanyika porini na kulikua na temporary head quarter iliyotengenezwa kwa maturubai ya kijeshi na kuzungukwa na vichaka vingi vingi pembeni ya mlima Goma.
Waliofika walikua makamanda wa kijeshi waliovalia kiraia na makamanda wa vikundi vya intarehamwe ambao walikua hawajui hatima yao ya siku zijazo.
Na mkutano hata kabla hujaanza kulikua na vurugu tayari,na makamanda wa intarehamwe walikua wamekuja na silaha zao walipokimbia Rwanda.Walikua na hasira na huku wakitishia kwenda Mjini Bukavu kuwaua viongozi wa serikali ya mpito iliyopinduliwa na RPF.
Madai yao yalikua ni kwamba viongozi wa serikali ya Rwanda iliyopinduliwa na RPF walikua wamewatelekeza na kukimbilia sehemu salama,wao na familia zao,huku wakiwaacha wao intarehamwe katika makambi ya wakimbizi mjini Goma na kua wahanga wa visasi vya RPF na Watusi waliochukua madaraka.
VURUGU MKUTANONI.
Mmoja wa makamanda muhimu wa wanamgambo wa intarehamwe aliyejulikana kwa jina la NDIMBATI alikua na hasira sana kiasi cha kujiapiza mbele ya Afande""f"" kua ni bora arudi Rwanda akauawe na RPF kuliko kukubali usaliti alofanyiwa na Mzee Theodore.
Nje ya chumba cha mkutano kulikua na makundi ya makomandoo wa Afande""f"""waliokua wanalinda usalama na kuwatuliza munkari viongozi wa wanamgambo wa intarehamwe.
Matokeo yake mkutano huo ulioandaliwa na Afande""f"" haukua na matokeo chanya,badala yake ulitawaliwa na kulaumiana na kutukanana na kukejeliana kati yao.
Viongozi wa kisiasa waliwalaumu viongozi wa kijeshi na viongozi wa kijeshi waliwalaumu viongozi wa kisiasa.
Mvutano mkubwa ulikua kwa kila upande kujidai na kujiona upo sahii zaidi ya upande mwingine na kila upande haukutaka kukosolewa.
Kwa kifupi ni kwamba******MAKUNDI YOTE YA KISIASA YA WAHUTU WALIOKUA WANASHIKA MADARAKA NA KUTEKELEZA MAUAJI YA KINYAMA DHIDI YA WATUSI HAYAKUA NA USHIRIKIANO.
BAADA YA KUWABAGUA WATUSI NA KUWAUA,BASI YALIANZA KUBAGUANA YENYEWE KWA MISINGI YA KIKANDA NA MILENGO YA VYAMA VYAO TOFAUTI VYA KISIASA**********
Afande""f"" anasema mkutano ulikua na vurugu na akawa hana jinsi ila kufuta huo mkutano na kupanga siku nyingine ya kikao.
Namnukuu Afande""f"""ifuatavyo
BADALA YA KUA NA KAULI MOJA DHABITI YA KISIASA NA KIJESHI,NASHANGAA KUONA KULIKUA NA MGAWANYIKO MKUBWA WA KISIASA NA KULAUMIANA NA KUTOKUAMINIANA MIONGONI MWETU.NINA HAKIKA ZILE DAMU ZA WATUSI RAIA WA KAWAIDA KULE RWANDA MLIOWAUA BILA HATIA ZIMEANZA KUWAPANDA VICHWANI**
Mwisho wa kumunukuu Afande.
Afande""f""anasema kua jambo hilo lilimvunja moyo sana akaanza kukumbuka maneno ya RWIGEMA kua wanasiasa na viongozi wa kijeshi wa wanyarwanda ni watu wenye kujali maslahi yao tu.
Na aliwaona wote kama vichaa waliomtumia tu na hata akakaribia kifo kwenye uwanja wa vita,kumbe wakuu wake kijeshi na kiraia ni viongozi wasiojali maslahi ya wengine.
Walikua ni aina ya viongozi wanaojijali wao tu na matumbo yao.
Afande""f"" anakiri waziwazi kua jambo hili lilimtia hasira na hata kutamani kuwaua wote,ila alitumia busara za kisiasa na kimazingira kuachana na mawazo hayo ya hasira.
Bas kikao kikavunjwa na wale makamanda wa intarehamwe wakaambiwa warudi makambini mjini Goma na watulie wasijaribu kwenda mjini Bukavu kumshambulia mzee Theodore Sindikubwayo na serikali yake ya mpito.
Na alitoa. baadhi ya makomando wa vikosi vyake waende mjini Bukavu kuwalinda kwa mda viongozi wa serikali ya mpito na kuwashawishi pia wakimbilie mjini Kinshasa au Kisangani kwa wakati huo,ili kuwakwepa wanamgambo wa intarehamwe na asikari jeshi la Rwanda RDF lililopinduliwa na RPF,ambao walikua na hasira za kutekelezwa kwenye makambi ya wakimbizi mjini Goma.
Afande""f""anasema kuanzia hapo basi akawa na plan B ya kuona anaanzishaje yeye mwenyewe vikosi vya kijeshi ili kupambana na RPF na hakutaka kabisa tena kushirikiana na Mzee Theodore na serikali yake wala vikundi vya wauaji wa intarehamwe.
Anasema na aliamua kwa dhati kabisa kuyaanza mspambano yake kama alivyoshauriana na*FRED MNAMO MWAKA 1987 JUNE KULE KAMPALA***KWA MAONO YA KISIASA YA SWAHIBA WAKE FRED
Afande""F""anasema kua yeye na fred na paulo na Gwitima walikua na maono ya rwanda mpya isyo na ukabila wala ubaguzi wa kisiasa huo 1987 na anasikitika kusema kua lengo hilo halikufikiwa na hapo katikati usaliti ukatokea baina yao uliopelekea vifo vya watu zaidi ya milioni mbili,ndani ya nchi za Rwanda na Zaire na Burundi.
"""""""Namnukuuu"""""""""""
******TULIUA WATU WASIO NA HATIA ZAIDI YA MILIONI MBILI,NDANI YA RWANDA NA BURUNDI NA ZAIRE KWA SABABU YA TAMAA ZETU ZA MADARAKA NA UTAWALA.HADI LEO ROHO YANGU INANIUMA SANA KWA KUJIHISI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE SIKUZUIA WATU KUUANA KIKATILI
TULISABABISHA MAAFA MAKUBWA SANA SISI SOTE VIONGOZI WA KIJESHI NA KISIASA PANDE ZOTE MBILI KATIKA NCHI ZA BURUNDI NA RWANDA NA ZAIRE*****
""""""""Mwisho wa kunukuu""""""""
Afande ""f""anasema kutokana na hali hizo,ndipo alipoamua kuja na plan b ya mpango kazi wake.
SECRET LOCATION NEAR GOMA.
Hizi picha TATU na zina maelezo makubwa MATATU.
1:VURUGU NA JEURI ZA INTAREHAMWE KATIKA MAUAJI YA WATUSI
2:JINSI AMBAVYO VIKOSI VYA UFARANSA VILIVYOKUA VINATELEKEZA RAIA WA KIHUTU WAUAWE NA RPF WAKITUHUMIWA KUA NI MEMBER WA VIKOSI VYA INTAREHAMWE.
3: RAIS KABILA ENZI HIZO AKIWA NA MASTER MIND WA RPF JAMES KABAREBE LINAPOKUJA SUALA LA MAUAJI YA KIMBARI KWA ADUI
Screenshot_20231116-111857.png
Screenshot_20231116-111551.png
Screenshot_20231116-164943.png
 
Nyamwasa ni wanted FDLR wanatoa dola 20,000 kwa kichwa chake.
Na RPF wanatoa vyeo jeshini na pesa kwa atakaeleta kichwa chake pia.
Source : Mahojiano yangu na FDLR
Chanzo cha Nyamwasa na Kagame kukosana ni kipi ?....
 
Kuna huyo felix kabuga lakini kuna mwingine ROBERT KAJUGA. It is all white truth that KAJUGA ROBERT alikuwa royal kwa inkontanyi ya PK. How Kajuga the tutsi tycoon in Kigal funded Intarahamwe ya wahutu. And all missions za intarahamwe ambazo zilikuwa funded na KAJUGA zilikuwa open book kwa PK at his finger tips.
Kajuga alikuwa chawa wa PK.

kuna consipiray theory moja inasema PK, ali egineer mauji hata ya watu wake ( tutsi ) ili kutengeneza sympathy.. maana alihisi ikiwa vita itabaki jeshi kwa jesh raia wa kawaida bila kujali kabila wanaweza ku side na serikali ya hybirimana kwa kuleta utaifa hasa ukizingatia kuwa PK alikuwa supported na UG.. ni kama congo wanavyopig akelele warwanda waondoke Goma na maeneo jirani wakidai wanaleta vita . so haishangazi unachosema chawa wake walikuwa wanafadhili hizo vurugu kutokea ndani..

so PK akaona ngoja atengeneze mauji.. ni kama theiry ya Hitler kuwa myahudi ila aliengineer wayahudi wauawe ili kuwa force warudi wakatengeneze nchi yao

ni "hear say" na theories tu

regards
 
kuna consipiray theory moja inasema PK, ali egineer mauji hata ya watu wake ( tutsi ) ili kutengeneza sympathy.. maana alihisi ikiwa vita itabaki jeshi kwa jesh raia wa kawaida bila kujali kabila wanaweza ku side na serikali ya hybirimana kwa kuleta utaifa hasa ukizingatia kuwa PK alikuwa supported na UG.. ni kama congo wanavyopig akelele warwanda waondoke Goma na maeneo jirani wakidai wanaleta vita . so haishangazi unachosema chawa wake walikuwa wanafadhili hizo vurugu kutokea ndani..

so PK akaona ngoja atengeneze mauji.. ni kama theiry ya Hitler kuwa myahudi ila aliengineer wayahudi wauawe ili kuwa force warudi wakatengeneze nchi yao

ni "hear say" na theories tu

regards
Nitaelezea huko mbele
 
Back
Top Bottom