Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #241
Kiukweli Lutaganda ana historia ndeeefu katika hili suala la rwandaNa vipi yule Georges Lutaganda..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli Lutaganda ana historia ndeeefu katika hili suala la rwandaNa vipi yule Georges Lutaganda..
Tupe na hiyo historia....maana ni mtu mbaya sana piaKiukweli Lutaganda ana historia ndeeefu katika hili suala la rwanda
Nitajitahidi mkuuTupe na hiyo historia....maana ni mtu mbaya sana pia
Hata Mimi,nimepata mwanga ila Mungu awasaidie hii nchi kwani wamepitia historia ngumu lakini Bado wapo safari yennye mabonde na milima,nionavyo bila kukaa mezani na hao walikimbilia Kongo itakuwa mwiba kwa Taifa hiloKwa mara ya kwanza naelewa historian ya rwanda toka miaka ya 80, uhasama wa FDLR vs RPF... Lakini nishapata picha chimbuko la M23 na Mengineyo. Kimsingi niseme ahsante kwa mtoa huu Uzi. Umetufungua wengi macho hasa sisi kizazi Cha 90's
Upo sahii kabisa mkuuHata Mimi,nimepata mwanga ila Mungu awasaidie hii nchi kwani wamepitia historia ngumu lakini Bado wapo safari yennye mabonde na milima,nionavyo bila kukaa mezani na hao walikimbilia Kongo itakuwa mwiba kwa Taifa hilo
Shukrani mkuu...namba 5 naijua hiyo story vyema makomandoo wetu walikua hapo...nafkiri pia raia wetu Tuliwaokoa...thanksNakujibu mkuu kama ifuatavyo
1: RWIGEMA WAS SOROUNDED WITH CON PEOPLE WHO ONLY CARE FOR POWER
2:SHE ESCAPE TO FRANCE
3: THERE'S NOTHING HE CAN DO
4:THEY USED TO BE COMRADE IN FRONTLINE 1996 TO 1998
5:FEW ELITE UNIT WAS THERE TO PROTECT EMBASSY.
TO INTERFERE NO BECAUSE OF FRANCE MILITARY PRESENCE UP THERE
Upo sahii mkuuShukrani mkuu...namba 5 naijua hiyo story vyema makomandoo wetu walikua hapo...nafkiri pia raia wetu Tuliwaokoa...thanks
PamojaShusha vitu mkuu
Mkuu lengo ni kuelimisha...Kaka mbona upo taratibu sana kushusha vitu?
Mkuu ulishawahi kufikiri kutunga kitabu kaka...kuna hela hapa kubwa tu..!Mkuu lengo ni kuelimisha...
Hizi sio adithi za kubuni bali matukio ya kweli
Vitabu vipo ila sijapeleka script sokoni tu!!Mkuu ulishawahi kufikiri kutunga kitabu kaka...kuna hela hapa kubwa tu..!
DRC sijui tatizo niniYeah mpaka leo DRC mipaka yake ipo wazi sana
Chanzo cha Nyamwasa na Kagame kukosana ni kipi ?....Nyamwasa ni wanted FDLR wanatoa dola 20,000 kwa kichwa chake.
Na RPF wanatoa vyeo jeshini na pesa kwa atakaeleta kichwa chake pia.
Source : Mahojiano yangu na FDLR
Uchu wa madarakaChanzo cha Nyamwasa na Kagame kukosana ni kipi ?....
Kuna huyo felix kabuga lakini kuna mwingine ROBERT KAJUGA. It is all white truth that KAJUGA ROBERT alikuwa royal kwa inkontanyi ya PK. How Kajuga the tutsi tycoon in Kigal funded Intarahamwe ya wahutu. And all missions za intarahamwe ambazo zilikuwa funded na KAJUGA zilikuwa open book kwa PK at his finger tips.
Kajuga alikuwa chawa wa PK.
Nitaelezea huko mbelekuna consipiray theory moja inasema PK, ali egineer mauji hata ya watu wake ( tutsi ) ili kutengeneza sympathy.. maana alihisi ikiwa vita itabaki jeshi kwa jesh raia wa kawaida bila kujali kabila wanaweza ku side na serikali ya hybirimana kwa kuleta utaifa hasa ukizingatia kuwa PK alikuwa supported na UG.. ni kama congo wanavyopig akelele warwanda waondoke Goma na maeneo jirani wakidai wanaleta vita . so haishangazi unachosema chawa wake walikuwa wanafadhili hizo vurugu kutokea ndani..
so PK akaona ngoja atengeneze mauji.. ni kama theiry ya Hitler kuwa myahudi ila aliengineer wayahudi wauawe ili kuwa force warudi wakatengeneze nchi yao
ni "hear say" na theories tu
regards