Mahondaw mpenzi wangu, kitandani usishuke zima taa kabisa

Mahondaw mpenzi wangu, kitandani usishuke zima taa kabisa

Status
Not open for further replies.
Mapenzi/uhusiano wenu na uheshimiwe na watu wote .
JF Kuna challenge nyingi sana... Nimepata tabu sana kumuweka mahondaw kwenye mstari...

Humu ndani bhana watu akili zao wanazijua wenyewe.. Wengine wavurugaji tu makusudi.. Ukiwa na roho nyepesi mnagombana kila siku...

Mimi am always calm and cool...
Ndiyo maana mtu akiamua kumtongoza mahondaw hata kama anajua yupo na Smart911... Mimi i deal with mahondaw kwa njia amani...

Cc: mahondaw
 
Wewe unaichukuliaje??

Jf inahitaji umakini sana coz kuna watu wa kila aina uijuayo wewe ipo humu anyway binafsi niseme tu
I just thank God for bringing this kijana Smart911 into my life sijutii na namjivunia sana
I Lavyuuuuu Smart911 super Dear
Love you more Super dear... Nashukuru kwa kunielewa na kuniamini love...
 
JF Kuna challenge nyingi sana... Nimepata tabu sana kumuweka mahondaw kwenye mstari...

Humu ndani bhana watu akili zao wanazijua wenyewe.. Wengine wavurugaji tu makusudi.. Ukiwa na roho nyepesi mnagombana kila siku...

Mimi am always calm and cool...
Ndiyo maana mtu akiamua kumtongoza mahondaw hata kama anajua yupo na Smart911... Mimi i deal with mahondaw kwa njia amani...

Cc: mahondaw
Izi Movie Za Kihindi Hizi Aya Buana
 
Prepare for lots of sweet surprises love.. You mean a lot to me... I love you with whole of my heart... Words peke yake are not enough to express how i love you even more mahondaw wangu..
I know you Smart911 king mutu ya sapriz kwa sanaaaaa yani nivile tu mahondaw wako nae.... khakhaakhaa you know her

And I love you even more Smart911 wamie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom