Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Ngurudoto iliamrishwa wateja wake wahudhurie mkutano nayo iakakataa!!!!Hata kabla ya Corona hotel nyingi zilikuwa hoi na sio hotels tu biashara nyingi zilifungwa. Kungekuwa na utawala bora hotels zingesurvive. Hata ukiteteaje huyu jamaa hawezi kutetewa. Mtu unapora hela kwa kisingizio cha kodi kisa tu wanafunzi hawakuruhusiwa kuhudhuria kampeni yako
Si mnasema hamuwataki Mabeberu,Tuwe wakweli, ingawa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu lakini kuyumba kwa hotel nyingi ni sababu ya janga la Corona.
Wabongo wengi hawakuwa wateja wakubwa wa hizo hotel mfano wa Ngurudoto. Labda watumishi wa serikali na semina elekezi enzi za Kikwete.
Biashara yoyote inayotegemea watalii kama hotel na sekta ya anga zimeyumba sana.
Hapa tunakwepa kuzungumzia chanzo halisi cha tatizo tunakimbilia kufanya siasa, hatutafika namna hii!!
Hivi kwa nini mataifa yote yanayohangaika na janga LA Coronà zisituige Watanzania kwa kufanya sala na kumuomba Mungu kuwaepusha na janga hili?Wanatuonea gere? Aka ni mipango ya wale wale wabaya wetu kuendelea kuua raia wa nchi zao ilhali dawa yake ni maombi? Wanaendelea kutufanya tusifaidi uchumi wetu wa kati na ndege zetu zinaendelea kutudodea,hawatuonei hata huruma?Tuwe wakweli, ingawa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu lakini kuyumba kwa hotel nyingi ni sababu ya janga la Corona.
Wabongo wengi hawakuwa wateja wakubwa wa hizo hotel mfano wa Ngurudoto. Labda watumishi wa serikali na semina elekezi enzi za Kikwete.
Biashara yoyote inayotegemea watalii kama hotel na sekta ya anga zimeyumba sana.
Hapa tunakwepa kuzungumzia chanzo halisi cha tatizo tunakimbilia kufanya siasa, hatutafika namna hii!!
NDIOkwahiyo ngurudoto iliamrishwa wateja wake wahudhurie mkutano nayo iakakataa!!!!
Nchi hii ina Mo wangapi?Kwa hivyo mama lishe akaibe ili aweze kula na kupata pesa ya matibabu?
Mwenye hotel aboreshe huduma atapata wateja wenye uwezo na hadhi ya kula na kulala hotelini.
Unataka kuniambia MO akienda safari Arusha anakula kwa mama lishe? Au analala guest house za uchochoroni za short-time (waswahili wanaziita Showtime)?
Wewe naye hamnazo kama Jiwe/KichaaKwa hivyo mama lishe akaibe ili aweze kula na kupata pesa ya matibabu?
Mwenye hotel aboreshe huduma atapata wateja wenye uwezo na hadhi ya kula na kulala hotelini.
Unataka kuniambia MO akienda safari Arusha anakula kwa mama lishe? Au analala guest house za uchochoroni za short-time (waswahili wanaziita Showtime)?
Lkn Bongo hakuna korona na watalii walikua wanamwagika...au HK alituingiza chaka? Asa mbona madege yanaongezwa yatakua yanaenda wapi?Uchumi wa Kati ni mchakato wa muda mrefu na ni namba flani zimefikiwa.
Corona imekuja mwaka huu huu tena imeua utalii hapa nchini kuanzia March 2020.
Tuwe wakweli, ingawa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu lakini kuyumba kwa hotel nyingi ni sababu ya janga la Corona.
Wabongo wengi hawakuwa wateja wakubwa wa hizo hotel mfano wa Ngurudoto. Labda watumishi wa serikali na semina elekezi enzi za Kikwete.
Biashara yoyote inayotegemea watalii kama hotel na sekta ya anga zimeyumba sana.
Hapa tunakwepa kuzungumzia chanzo halisi cha tatizo tunakimbilia kufanya siasa, hatutafika namna hii!!
Labda huwa husafiri. Katika hotel kubwa zote, wageni wa nje ya nchi huwa hawafiki 50%.Tuwe wakweli, ingawa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu lakini kuyumba kwa hotel nyingi ni sababu ya janga la Corona.
Wabongo wengi hawakuwa wateja wakubwa wa hizo hotel mfano wa Ngurudoto. Labda watumishi wa serikali na semina elekezi enzi za Kikwete.
Biashara yoyote inayotegemea watalii kama hotel na sekta ya anga zimeyumba sana.
Hapa tunakwepa kuzungumzia chanzo halisi cha tatizo tunakimbilia kufanya siasa, hatutafika namna hii!!
Akina Mo wako wangapi nchi hii?Kwa hivyo mama lishe akaibe ili aweze kula na kupata pesa ya matibabu?
Mwenye hotel aboreshe huduma atapata wateja wenye uwezo na hadhi ya kula na kulala hotelini.
Unataka kuniambia MO akienda safari Arusha anakula kwa mama lishe? Au analala guest house za uchochoroni za short-time (waswahili wanaziita Showtime)?
Unataka tufike kwa namna gani kama wewe mwenyewe kwenye comment yako umekiri kuwa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu?Tuwe wakweli, ingawa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu lakini kuyumba kwa hotel nyingi ni sababu ya janga la Corona.
Wabongo wengi hawakuwa wateja wakubwa wa hizo hotel mfano wa Ngurudoto. Labda watumishi wa serikali na semina elekezi enzi za Kikwete.
Biashara yoyote inayotegemea watalii kama hotel na sekta ya anga zimeyumba sana.
Hapa tunakwepa kuzungumzia chanzo halisi cha tatizo tunakimbilia kufanya siasa, hatutafika namna hii!!
Hivi nyie mijitu mtatambua lini kwamba dunia yote iko kwenye lockdown isipokuwa Tz kwa sababu ya mdudu ambaye anaitwa SARS - COV 2 anayesababisha ugonjwa unaoitwa COVID-19? Duniani kote mahoteli yalishakuwa magofu. Huko kwa mabeberu ndiko balaa zaidi.Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda, sasa tumeambiwa pato litaendelea kupanda kila mwaka, yajayo yanafurahisha.
Pichani ni city lodge ipo mkabala na mahakama ya Kisutu Dar imefungwa na sasa inapangisha popo na buibui bure, hakuna wateja, miradi imesimama, cement na sukari imepanda, mafuta ya kula yamepanda, MATAGAView attachment 1642357View attachment 1642358
Kumbe wateja wa hizi hotel huwa ni mabeberu? Mi nikajua hatuwapendi mabeberu na mambo yao yoteJamani dunia nzima imezizima kwa ajili ya covid, kati ya sector zilizoathirika ni hospitality, transportation, entertainment na sports. Wazungu hawasafiri kwenda popote sasa mnategemea mahotel yatasurvive vp. Hata huko kwenye 1st world mahotel yanakufa kwa kasi kuliko hata huko Tz, kinachowasaidia wengine ni nchi kama US iliwalipa wamiliki ili waendelee na biashara lakini pesa ziliisha sasa wanalalamika wasipopewa zingine wanafunga, mashirika ya ndege walilipwa pesa kufidia gharama za uendeshaji, viwanja vya michezo, mahospitali nk nk zililipwa ili kusurvive otherwise dunia ingekuwa kwenye mess ya ajabu na bado kuna uwezekano wa mambo kuwa mabaya zaidi.
Kwa hiyo kwa Tanzania nchi inayotegemea Tourists nashangaa kwanza kwamba mahoteli ya kitalii bado yapo