Mahoteli kufungwa kila mkoa: Uchumi wa Kati, utalii wa Ndani

Mahoteli kufungwa kila mkoa: Uchumi wa Kati, utalii wa Ndani

Hata kabla ya Corona hotel nyingi zilikuwa hoi na sio hotels tu biashara nyingi zilifungwa. Kungekuwa na utawala bora hotels zingesurvive. Hata ukiteteaje huyu jamaa hawezi kutetewa. Mtu unapora hela kwa kisingizio cha kodi kisa tu wanafunzi hawakuruhusiwa kuhudhuria kampeni yako

Wapi huko kafanya hivyo?
 
Mabeberu hayaji, Hoteli nyingi tuliwalenga wao.
 
COVID 19 ni tatizo la dunia. Mahotel kukosa wageni si Tanzania pekee. Tofauti ni kuwa nchi zinazojitambua zinatoa fidia ya hasara kwa watu wao badala ya kuendelea kuwaumiza kwa kuwadai kodi
Na ndege zinaendelea kununuliwa.
 
Si mnasema hamuwataki Mabeberu,
Nendeni wenyewe mkatarii na mhaze hizo Hotel.
Kweli hawatakiwi mabeberu, siyo kila mzungu ni beberu, na watalii wote siyo
Labda huwa husafiri. Katika hotel kubwa zote, wageni wa nje ya nchi huwa hawafiki 50%.

Mwaka 2015, nilikaa Kibo Palace wiki 2, katika siku zote sikuona mgeni mzungu hata mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kila mtu mweusi ni mtanzania.
 
Mitano imefanya Wanafunzi wa IAA wapate hostel kali sana Ngurdoto
 
Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda, sasa tumeambiwa pato litaendelea kupanda kila mwaka, yajayo yanafurahisha.

Pichani ni city lodge ipo mkabala na mahakama ya Kisutu Dar imefungwa na sasa inapangisha popo na buibui bure, hakuna wateja, miradi imesimama, cement na sukari imepanda, mafuta ya kula yamepanda, MATAGAView attachment 1642357View attachment 1642358
Fasionable assets, flexibility ya structure designing, kwa sababu sio miradi pendwa ya wakosha itaonekana kawaida tutatoka droo soon anafanya ujeuri bila money circulation ya kutosha mtaani, ndugu zimwi mpango amegeuka mdundiko sie twaangalia tu wagawiza!!
 
Tuwe wakweli, ingawa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu lakini kuyumba kwa hotel nyingi ni sababu ya janga la Corona.

Wabongo wengi hawakuwa wateja wakubwa wa hizo hotel mfano wa Ngurudoto. Labda watumishi wa serikali na semina elekezi enzi za Kikwete.

Biashara yoyote inayotegemea watalii kama hotel na sekta ya anga zimeyumba sana.

Hapa tunakwepa kuzungumzia chanzo halisi cha tatizo tunakimbilia kufanya siasa, hatutafika namna hii!!
Umetumia nguvu nyingi kuelewesha wahafidhina kama Kinyungu na denooJ . Wanamchungu ya kupigwa kwenye uchaguzi.
 
Zaidi ya aliyekuwa mmiliki wa Ngurdoto ambaye alikuwa kwenye biashara ya hotel miaka mingi kabla ya kujenga Ngurdoto.
Hao wengine walipata pesa kwenye biashara nyingine wakawekeza kwenye kujenga hoteli. Hizo hotel zikawa bado zinaendeshwa na pesa kutoka kwenye biashara nyingine. Magu alipobana njia za panya wakakosa pesa za kuendesha hoteli!!
Hoteli hizi za kutegemea watalii inabidi uwe na connection kutoka nje ya afrika!!
Mahoteli mengi Tanzania yamejengwa kwa pesa za magendo!!
 
Hivi athari za COVID 19 katika tasnia ya utalii tunazipuuza eee?!!

2019 Tanzania ilipigiwa kura na kuwa nchi bora kutembelewa na WATALII na katika Afrika ilifuatia afrika ya kusini.....
👆👆👆👆
NI UTAWALA HUUHUU WA AWAMU YA 5....

Kwa hiyo hoja inabaki TUMEKOSA SANA WATALII KUFIKIA HIZO HOTELI kwa sababu ya hii pandemic COVID-19.
 
Tuwe wakweli, ingawa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu lakini kuyumba kwa hotel nyingi ni sababu ya janga la Corona.

Wabongo wengi hawakuwa wateja wakubwa wa hizo hotel mfano wa Ngurudoto. Labda watumishi wa serikali na semina elekezi enzi za Kikwete.

Biashara yoyote inayotegemea watalii kama hotel na sekta ya anga zimeyumba sana.

Hapa tunakwepa kuzungumzia chanzo halisi cha tatizo tunakimbilia kufanya siasa, hatutafika namna hii!!
Bravo Sana poleni mnaokaa mirengo ya kushoto tu kila siku kusubiri habari mbaya za mgonjwa mtaishi kama nyumbu na Nchi ni ya kwenu
 
Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda, sasa tumeambiwa pato litaendelea kupanda kila mwaka, yajayo yanafurahisha.

Pichani ni city lodge ipo mkabala na mahakama ya Kisutu Dar imefungwa na sasa inapangisha popo na buibui bure, hakuna wateja, miradi imesimama, cement na sukari imepanda, mafuta ya kula yamepanda, MATAGAView attachment 1642357View attachment 1642358
Iyo city lodge sidhani hata miaka mitano imefikisha
 
Tuwe wakweli, ingawa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu lakini kuyumba kwa hotel nyingi ni sababu ya janga la Corona.

Wabongo wengi hawakuwa wateja wakubwa wa hizo hotel mfano wa Ngurudoto. Labda watumishi wa serikali na semina elekezi enzi za Kikwete.

Biashara yoyote inayotegemea watalii kama hotel na sekta ya anga zimeyumba sana.

Hapa tunakwepa kuzungumzia chanzo halisi cha tatizo tunakimbilia kufanya siasa, hatutafika namna hii!!
Kwanini ujenge hotel kwa ajili ya watalii tu kwanini usijenge kwa ajili ya kuaccomodate watu wote na wa hali zote
 
Tunaita uchumi wa kati Mkuu. Ukishamiri mambo huwa hivi na huu ni mwanzo tu tusishangae pale mtu atakapoikimbia Ikulu.
Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda, sasa tumeambiwa pato litaendelea kupanda kila mwaka, yajayo yanafurahisha.

Pichani ni city lodge ipo mkabala na mahakama ya Kisutu Dar imefungwa na sasa inapangisha popo na buibui bure, hakuna wateja, miradi imesimama, cement na sukari imepanda, mafuta ya kula yamepanda, MATAGAView attachment 1642357View attachment 1642358
 
Hapo atakuja wale afisa kipenyo mmoja ataandika uharo mreeeefuuuu halafu asifie tu. Jingaz sana
 
Hivi "TO LET" maana yake nini wandugu?

Nauliza maana naona majengo mengi jijini Dar yaliyoandikwa hivi (mapya na ya zamani) yamekuwa yakiongezeka kwa kasi ya roketi siku hizi!
Maana yake.....amekosa waangaji wa uhakika ,anaeaita hata wenzangu na Mimi ukapange,!Ni kweli kuanzia Victoria mpaka Bamaga To Let zio nyingi Sana!
 
Wenye hizi hoteli wawe wabunifu. Wazifanye hostail au apartment
 
Hizo ni effects za Covid 19 ina maana hamuelewi athari za Covid 19 katika Global economy?

U.S.A mwenyewe anasuffer maana watu wengi wamepoteza ajira zao na mpaka sasa uchumi wake bado haujarudi katika hali ya kawaida.

Wateja wakubwa wa hizo hotels ni watalii na hali ya utalii bado haijaimarika Duniani, sasa mlitakaje jamani?
 
Hivi Tanzania huwa tuna mfumo wa stimulus package kwa ajili ya kuokoa sector binafasi au tumebase kwenye kukusanya kodi tu na sio kuwezesha sector binafsi kuservive..
Ushauri wa bure:
Serikali ipunguze mrundikano wa makodi kwenye sector binafsi hasa hawa mahotel maana sasa hivi kuna kodi mpaka sehemu utakayokwenda kupigia bao.
Hotel wapunguze gharama ili mtu mwenye kipato kidogo pia haweze kumudu kwenda kupumzika na family yake...wasihitaji super profit..
 
Back
Top Bottom