Mahoteli kufungwa kila mkoa: Uchumi wa Kati, utalii wa Ndani

Mahoteli kufungwa kila mkoa: Uchumi wa Kati, utalii wa Ndani

Tunaita uchumi wa kati Mkuu. Ukishamiri mambo huwa hivi na huu ni mwanzo tu tusishangae pale mtu atakapoikimbia Ikulu.
"nasema kweli dhati ya moyo wangu" huku anacheka na vimzuzu vyake, ...kumbe...! joka
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hotel zimefungwa kwa sababu ya upinzani kukwamisha shughuli za maendeleo[emoji40][emoji40]
 
Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda, sasa tumeambiwa pato litaendelea kupanda kila mwaka, yajayo yanafurahisha.

Blue Pearl iliypokuwa Ubungo Plaza imefungwa, Sapphire ya Nyerere Rd imefungwa, dah huu mwaka mpaka tufike 2020 wanafunzi wa sekondari watahamishiwa hizo hoteli

Pichani ni city lodge ipo mkabala na mahakama ya Kisutu Dar imefungwa na sasa inapangisha popo na buibui bure, hakuna wateja, miradi imesimama, cement na sukari imepanda, mafuta ya kula yamepanda, MATAGAView attachment 1642357View attachment 1642358
City lodge haijafungwa. Inaoperate vizuri tu. Tulikuwa hapo kwa siku tatu wiki iliyopita.
 
Back
Top Bottom