Mahoteli kufungwa kila mkoa: Uchumi wa Kati, utalii wa Ndani

Utadhani kuna wabongo huwa wanaenda hapo[emoji16][emoji16][emoji16].

Yaani jukwaa la siasa lina watu viazi kweli kweli.
 
Kwahiyo Ngurudoto iliamrishwa wateja wake wahudhurie mkutano nayo iakakataa!!!!
 
Si mnasema hamuwataki Mabeberu,
Nendeni wenyewe mkatarii na mhaze hizo Hotel.
 
Hii nchi uchumi ulishaanza kuporomoka hata kabla ya hiyo Covid-19 na ndio serikali ikaanza kupika zaidi takwimu ili kuhadaa wananchi kuwa uchumi unakua.

Lakini ujinga moja walionao hawa watawala hawajui kuwa wananchi hawapimi ukuaji wa uchumi kwa kufuata takwimu zao hizo.

Wananchi wana vigezo vyao na ndio maana walipanga kumuwajibisha Magufuli kwenye uchaguzi baada ya kuchoka na utapeli wake kabla ya yeye kuamua kuhujumu uchaguzi.
 
Hivi kwa nini mataifa yote yanayohangaika na janga LA CoronΓ  zisituige Watanzania kwa kufanya sala na kumuomba Mungu kuwaepusha na janga hili?Wanatuonea gere? Aka ni mipango ya wale wale wabaya wetu kuendelea kuua raia wa nchi zao ilhali dawa yake ni maombi? Wanaendelea kutufanya tusifaidi uchumi wetu wa kati na ndege zetu zinaendelea kutudodea,hawatuonei hata huruma?
 
Nchi hii ina Mo wangapi?
 
Wewe naye hamnazo kama Jiwe/Kichaa
 
Uchumi wa Kati ni mchakato wa muda mrefu na ni namba flani zimefikiwa.
Corona imekuja mwaka huu huu tena imeua utalii hapa nchini kuanzia March 2020.
Lkn Bongo hakuna korona na watalii walikua wanamwagika...au HK alituingiza chaka? Asa mbona madege yanaongezwa yatakua yanaenda wapi?
 
Jamani dunia nzima imezizima kwa ajili ya covid, kati ya sector zilizoathirika ni hospitality, transportation, entertainment na sports. Wazungu hawasafiri kwenda popote sasa mnategemea mahotel yatasurvive vp. Hata huko kwenye 1st world mahotel yanakufa kwa kasi kuliko hata huko Tz, kinachowasaidia wengine ni nchi kama US iliwalipa wamiliki ili waendelee na biashara lakini pesa ziliisha sasa wanalalamika wasipopewa zingine wanafunga, mashirika ya ndege walilipwa pesa kufidia gharama za uendeshaji, viwanja vya michezo, mahospitali nk nk zililipwa ili kusurvive otherwise dunia ingekuwa kwenye mess ya ajabu na bado kuna uwezekano wa mambo kuwa mabaya zaidi.
Kwa hiyo kwa Tanzania nchi inayotegemea Tourists nashangaa kwanza kwamba mahoteli ya kitalii bado yapo
 
Niliwaambia hii Ni serikali ya wanyonge Ngurdoto mtalala kwa buku 2
 

Hali alishaanza kuwa mbaya, ila corona imekuja kuweka chumvi kwenye kidonda. Lakini ugumu ulishaanza.
 
Labda huwa husafiri. Katika hotel kubwa zote, wageni wa nje ya nchi huwa hawafiki 50%.

Mwaka 2015, nilikaa Kibo Palace wiki 2, katika siku zote sikuona mgeni mzungu hata mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akina Mo wako wangapi nchi hii?
 
Unataka tufike kwa namna gani kama wewe mwenyewe kwenye comment yako umekiri kuwa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu?
 
Hivi nyie mijitu mtatambua lini kwamba dunia yote iko kwenye lockdown isipokuwa Tz kwa sababu ya mdudu ambaye anaitwa SARS - COV 2 anayesababisha ugonjwa unaoitwa COVID-19? Duniani kote mahoteli yalishakuwa magofu. Huko kwa mabeberu ndiko balaa zaidi.

Biashara ya utalii haipo tena duniani kote hadi janga hili litakapoisha. Kwa bahati nzuri kwetu janga hili limesababisha bei ya dhahabu duniani kupanda mara kumi. Hivyo pengo la biashara ya utalii kwetu limezibwa mara dufu na biashara ya dhahabu. Sheria yetu ya natural resources imesaidia sana. Hivyo uchumi wetu haujateteleka kwa ujio wa covid 19, badala yake umeneemeka na ujio huo. Vichwa vyenu vilitambue hili.
 
Unajua Mtanichefua Hapa 😏😏😏😏😏
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Kumbe wateja wa hizi hotel huwa ni mabeberu? Mi nikajua hatuwapendi mabeberu na mambo yao yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…