Hata kabla ya Corona hotel nyingi zilikuwa hoi na sio hotels tu biashara nyingi zilifungwa. Kungekuwa na utawala bora hotels zingesurvive. Hata ukiteteaje huyu jamaa hawezi kutetewa. Mtu unapora hela kwa kisingizio cha kodi kisa tu wanafunzi hawakuruhusiwa kuhudhuria kampeni yako
Na ndege zinaendelea kununuliwa.COVID 19 ni tatizo la dunia. Mahotel kukosa wageni si Tanzania pekee. Tofauti ni kuwa nchi zinazojitambua zinatoa fidia ya hasara kwa watu wao badala ya kuendelea kuwaumiza kwa kuwadai kodi
St Jude ArushaWapi huko kafanya hivyo?
Kweli hawatakiwi mabeberu, siyo kila mzungu ni beberu, na watalii wote siyoSi mnasema hamuwataki Mabeberu,
Nendeni wenyewe mkatarii na mhaze hizo Hotel.
Siyo kila mtu mweusi ni mtanzania.Labda huwa husafiri. Katika hotel kubwa zote, wageni wa nje ya nchi huwa hawafiki 50%.
Mwaka 2015, nilikaa Kibo Palace wiki 2, katika siku zote sikuona mgeni mzungu hata mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fasionable assets, flexibility ya structure designing, kwa sababu sio miradi pendwa ya wakosha itaonekana kawaida tutatoka droo soon anafanya ujeuri bila money circulation ya kutosha mtaani, ndugu zimwi mpango amegeuka mdundiko sie twaangalia tu wagawiza!!Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda, sasa tumeambiwa pato litaendelea kupanda kila mwaka, yajayo yanafurahisha.
Pichani ni city lodge ipo mkabala na mahakama ya Kisutu Dar imefungwa na sasa inapangisha popo na buibui bure, hakuna wateja, miradi imesimama, cement na sukari imepanda, mafuta ya kula yamepanda, MATAGAView attachment 1642357View attachment 1642358
Umetumia nguvu nyingi kuelewesha wahafidhina kama Kinyungu na denooJ . Wanamchungu ya kupigwa kwenye uchaguzi.Tuwe wakweli, ingawa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu lakini kuyumba kwa hotel nyingi ni sababu ya janga la Corona.
Wabongo wengi hawakuwa wateja wakubwa wa hizo hotel mfano wa Ngurudoto. Labda watumishi wa serikali na semina elekezi enzi za Kikwete.
Biashara yoyote inayotegemea watalii kama hotel na sekta ya anga zimeyumba sana.
Hapa tunakwepa kuzungumzia chanzo halisi cha tatizo tunakimbilia kufanya siasa, hatutafika namna hii!!
St Jude Arusha
Bravo Sana poleni mnaokaa mirengo ya kushoto tu kila siku kusubiri habari mbaya za mgonjwa mtaishi kama nyumbu na Nchi ni ya kwenuTuwe wakweli, ingawa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu lakini kuyumba kwa hotel nyingi ni sababu ya janga la Corona.
Wabongo wengi hawakuwa wateja wakubwa wa hizo hotel mfano wa Ngurudoto. Labda watumishi wa serikali na semina elekezi enzi za Kikwete.
Biashara yoyote inayotegemea watalii kama hotel na sekta ya anga zimeyumba sana.
Hapa tunakwepa kuzungumzia chanzo halisi cha tatizo tunakimbilia kufanya siasa, hatutafika namna hii!!
Iyo city lodge sidhani hata miaka mitano imefikishaKatika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda, sasa tumeambiwa pato litaendelea kupanda kila mwaka, yajayo yanafurahisha.
Pichani ni city lodge ipo mkabala na mahakama ya Kisutu Dar imefungwa na sasa inapangisha popo na buibui bure, hakuna wateja, miradi imesimama, cement na sukari imepanda, mafuta ya kula yamepanda, MATAGAView attachment 1642357View attachment 1642358
Kwanini ujenge hotel kwa ajili ya watalii tu kwanini usijenge kwa ajili ya kuaccomodate watu wote na wa hali zoteTuwe wakweli, ingawa hali ya fedha huku mitaani ni ngumu lakini kuyumba kwa hotel nyingi ni sababu ya janga la Corona.
Wabongo wengi hawakuwa wateja wakubwa wa hizo hotel mfano wa Ngurudoto. Labda watumishi wa serikali na semina elekezi enzi za Kikwete.
Biashara yoyote inayotegemea watalii kama hotel na sekta ya anga zimeyumba sana.
Hapa tunakwepa kuzungumzia chanzo halisi cha tatizo tunakimbilia kufanya siasa, hatutafika namna hii!!
Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda, sasa tumeambiwa pato litaendelea kupanda kila mwaka, yajayo yanafurahisha.
Pichani ni city lodge ipo mkabala na mahakama ya Kisutu Dar imefungwa na sasa inapangisha popo na buibui bure, hakuna wateja, miradi imesimama, cement na sukari imepanda, mafuta ya kula yamepanda, MATAGAView attachment 1642357View attachment 1642358
Maana yake.....amekosa waangaji wa uhakika ,anaeaita hata wenzangu na Mimi ukapange,!Ni kweli kuanzia Victoria mpaka Bamaga To Let zio nyingi Sana!Hivi "TO LET" maana yake nini wandugu?
Nauliza maana naona majengo mengi jijini Dar yaliyoandikwa hivi (mapya na ya zamani) yamekuwa yakiongezeka kwa kasi ya roketi siku hizi!