johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mambo ya nyakatiAskofu ni Rugambwa tu marehemu, wengine hawa wa makanisa yote ni ndekule tu wala pesa.
kweli kabisa na tunatamani sana kama huyu William Wilberfoce angekuwa hai leo basi angetusaidia kuwahubiria ndugu zetu CCM kuacha siasa za chuki na visasi ili wote tujenge taifa letu kwa usawa na haki maana hata Yesu Kristo mwenyewe alisema nguzo kuu ya ukristo wetu ni UPENDO.Kwamba William Wilberfoce aliingia bungeni huko Uingereza na kujenga hoja zilizopelekea biashara ya utumwa duniani kukomeshwa na yule mmiliki wa meli za kusafirisha watumwa akaokoka na kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wake.
Ongea taratibu akikusikia Lisu na maaskofu wake akina Askofu BAndekile Mwamakula na Bagonza watakuchukia hadi basiAskofu ni Rugambwa tu marehemu, wengine hawa wa makanisa yote ni ndekule tu wala pesa.
kumbe ulikuwa na lengo hilo nyie washindi wa asilimia 98%Kiukweli jana nilibarikiwa sana na mahubiri ya askofu mkuu mstaafu wa Kanisa Anglican Donald Mtetemela aliyoyatoa kwenye mkutano mkuu wa Sinodi ya DMP katika Kanisa la KKKT mbezi beach.
Kwamba William Wilberfoce aliingia bungeni huko Uingereza na kujenga hoja zilizopelekea biashara ya utumwa duniani kukomeshwa na yule mmiliki wa meli za kusafirisha watumwa akaokoka na kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wake.
Baba askofu amesisitiza Yesu anatutaka sisi waumini wa Kanisa kuwa Nuru ya Ulimwengu.
Natangaza kuachana na siasa za kishabiki na nitaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa CCM.
Ngoja nichukue clip ya mahubiri hapo Upendo tv niwawekee.
Mungu wa mbinguni awabariki!
Nakumbuka jinsi ulivyokuwa ukifurahia mauaji ya Wapemba wasio na hatia, Kristo akutoa kwenye kundi la wahalifu, aigange na roho yakoKiukweli jana nilibarikiwa sana na mahubiri ya askofu mkuu mstaafu wa Kanisa Anglican Donald Mtetemela aliyoyatoa kwenye mkutano mkuu wa Sinodi ya DMP katika Kanisa la KKKT mbezi beach.
Kwamba William Wilberfoce aliingia bungeni huko Uingereza na kujenga hoja zilizopelekea biashara ya utumwa duniani kukomeshwa na yule mmiliki wa meli za kusafirisha watumwa akaokoka na kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wake.
Baba askofu amesisitiza Yesu anatutaka sisi waumini wa Kanisa kuwa Nuru ya Ulimwengu.
Natangaza kuachana na siasa za kishabiki na nitaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa CCM.
Ngoja nichukue clip ya mahubiri hapo Upendo tv niwawekee.
Mungu wa mbinguni awabariki!
Kiukweli jana nilibarikiwa sana na mahubiri ya askofu mkuu mstaafu wa Kanisa Anglican Donald Mtetemela aliyoyatoa kwenye mkutano mkuu wa Sinodi ya DMP katika Kanisa la KKKT mbezi beach.