Mahubiri ya Mkuu wa KKKT yametaja neno HAKI?

Mahubiri ya Mkuu wa KKKT sikukuu ya Pasaka kwa namna yoyote yametaja neno HAKI? Au?
In fact,
yamejikita zaidi katika kuhamasisha amani, utulivu na umoja wa kitaifa miongoni mwa waTanzania kuelekea uchaguzi mkuu muhimu sana wa kihistoria Tanzania 🐒
 
Anawezaje kuhubiri haki wakati uingiaji wake katika nafasi hiyo umekuwa sio wa haki!!. Malasusa hakuwa chaguo la KKKT ni dhuluma zilifanyika ndio maana hawezi kuona umhimu wa haki katika moyo wake.
 
Hahitaji haki, waliomuweka hapo hawakumpa maelekezo ya kudai haki.
Na hapo ninyi wajinga ndipo mnapokosea. Mnafikiri TEC ndio wako sahihi kuliko wengine. Mimi ni Mkatoliki mwenye Sakramenti zote nimebakiza ya Mpako Mtakatifu wa Wagongwa, lakini kuamini Kanisa Moja Katoliki la Mitume Tanzania eti ndio wana akili kuliko wengine huo ni UJINGA NA UPUMBAVU!
 
Zungumzia hoja ilioko mezani, wewe unaweza kusema mtu anaakili anapozungumzia amani bila kutaja haki? Pia unaweza kusema mtu hana akili anapozungumzia haki na amani kwa pamoja?
Usipende kukandamiza haki za wengine ili upate amani...siyo sawa, jaribu kubadilika.
 
Kusema kuna haki na amani au hakuna haki na amani Tanzania ni relative. Sijui unajua maana yake?
Nijibu kabla hatujaendelea na mjadala.
 
Kusema kuna haki na amani au hakuna haki na amani Tanzania ni relative. Sijui unajua maana yake?
Nijibu kabla hatujaendelea na mjadala.
Ni wapi utazungumza neno amani then upate haki ata kama unayo mtazamo wa kipekee?
Vyote lazima vizungumze kwa pamoja ili amani iweze kutamalaki. Haki inabeba amani na amani imebebwa na haki. Hiyo relative ni mtazomo wako utavyotwist ila uhalisia ni kuwa uwezi kupata pesa bila kufanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…