Mahubiri ya Mkuu wa KKKT yametaja neno HAKI?

Mahubiri ya Mkuu wa KKKT yametaja neno HAKI?

Mahubiri ya Mkuu wa KKKT sikukuu ya Pasaka kwa namna yoyote yametaja neno HAKI? Au?
Kahubiri Askofu Mameo wa Morogoro ama huyo ni wa Zambia, Mkuu wa KKKT hawezi maana yuko ndani ya nyayo za serikari mura😀😀😀😀
 
Na hapo ninyi wajinga ndipo mnapokosea. Mnafikiri TEC ndio wako sahihi kuliko wengine. Mimi ni Mkatoliki mwenye Sakramenti zote nimebakiza ya Mpako Mtakatifu wa Wagongwa, lakini kuamini Kanisa Moja Katoliki la Mitume Tanzania eti ndio wana akili kuliko wengine huo ni UJINGA NA UPUMBAVU!
Mleta uzi kauliza, "Neno haki limetajwa na askofu"? Hi habari ya kanisa katoliki kua na akili au laa wewe umelitoa wapi? Kwa Mkristo yeyote anajua, AMANI ni tunda au zao la HAKI, pasipo haki, tegemea mahali hapo AMANI itatoweka. Na kanuni ya kimaandiko, haijalishi uwe Mkatoliki, Lutheran, Msabato or Anglican or any kanisa, kama kiongozi ni mwamini wa Biblia, hiyo ndio kanuni. Amani haimbewi tenda haki, Amani itaendelea tu, it is an automatic thing
 
Sawa.

Kioo hakina sura. Sura mbaya unayoiona unapojitizama ndiyo sura yako siyo sura ya kioo.

CCM ikijitizama kwenye kioo inataka ijione inapendeza wakati ina sura mbaya!
Yes gentleman,
ni kama vile tu maigizo ya chief mropokaji anaejifanya ni yatima asie jiweza na anae teseka sana ili tu atie huruma, kusudi apate fursa ya kuchangiwa pesa za whisky na nyama choma 🐒
 
Yes gentleman,
ni kama vile tu maigizo ya chief mropokaji anaejifanya ni yatima asie jiweza na anae teseka sana ili tu atie huruma, kusudi apate fursa ya kuchangiwa pesa za whisky na nyama choma 🐒
Yule Mzee keshaacha kunywa Whisky. Hata rafiki yake johnthebaptist anajua kuwa yule Mzee kaacha mambo ya vileo vikali.

Miaka 80 Bado awe anakunywa kweli?
 
Back
Top Bottom