Mahubiri ya Mkuu wa KKKT yametaja neno HAKI?

Mahubiri ya Mkuu wa KKKT yametaja neno HAKI?

Hakuna mromani anashabikia uovu.
Na hapo ninyi wajinga ndipo mnapokosea. Mnafikiri TEC ndio wako sahihi kuliko wengine. Mimi ni Mkatoliki mwenye Sakramenti zote nimebakiza ya Mpako Mtakatifu wa Wagongwa, lakini kuamini Kanisa Moja Katoliki la Mitume Tanzania eti ndio wana akili kuliko wengine huo ni UJINGA NA UPUMBAVU!
 
Imeisha hiyo. Tujuane sherehe za Uapisho uwanja wa Taifa
 
Tangu enzi za Mwalimu Nyerere hayo matamko yalikuwepo, sema Mwalimu Nyerere hakuwa mpole kama viongozi wa sasa.
Ni kweli, maana aliiongoza nchi hii chini ya mfumo wa makondoo wa chama kimoja.
 
Ni kweli, maana aliiongoza nchi hii chini ya mfumo wa makondoo wa chama kimoja.
Sawa. Sasa hivi hayapo hayo makondoo. TEC na hayo matamko yao waliishawahi kubadilisha Tanzania? Nipe mfano mmoja kama upo.
 
Hawezi kutaja haki kwa sababu ni pandikizi la Sisiem na Sisiem hawapendi haki
Wavurugaji wa Haki na Ukweli hawapendi kuambiwa Ukweli wanapenda kutunga Uongo Uongo wanachojua kikubwa ni mbinu za kuiba
 
Back
Top Bottom