Na hapo ninyi wajinga ndipo mnapokosea. Mnafikiri TEC ndio wako sahihi kuliko wengine. Mimi ni Mkatoliki mwenye Sakramenti zote nimebakiza ya Mpako Mtakatifu wa Wagongwa, lakini kuamini Kanisa Moja Katoliki la Mitume Tanzania eti ndio wana akili kuliko wengine huo ni UJINGA NA UPUMBAVU!
Na HAKUNA Kiongozi wa RC msafi!Hakuna mromani anashabikia uovu.
Ni kweli, ila safari hii wamesimamia haki.Na HAKUNA Kiongozi wa RC msafi!
Mlevi HAWEZI kuhubiri kuhusu madhara ya kilevi! Ahahahahaha!!!Ni kweli, ila safari hii wamesimamia haki.
Kama mlitarajia kila mtu atanyamazia uovu, basi safari hii mmeukalia.Mlevi HAWEZI kuhubiri kuhusu madhara ya kilevi! Ahahahahaha!!!
HAKI ya kufanya nini, bwege kwlMahubiri ya Mkuu wa KKKT sikukuu ya Pasaka kwa namna yoyote yametaja neno HAKI? Au?
Tangu enzi za Mwalimu Nyerere hayo matamko yalikuwepo, sema Mwalimu Nyerere hakuwa mpole kama viongozi wa sasa.Kama mlitarajia kila mtu atanyamazia uovu, basi safari hii mmeukalia.
Ni kweli, maana aliiongoza nchi hii chini ya mfumo wa makondoo wa chama kimoja.Tangu enzi za Mwalimu Nyerere hayo matamko yalikuwepo, sema Mwalimu Nyerere hakuwa mpole kama viongozi wa sasa.
Sawa. Sasa hivi hayapo hayo makondoo. TEC na hayo matamko yao waliishawahi kubadilisha Tanzania? Nipe mfano mmoja kama upo.Ni kweli, maana aliiongoza nchi hii chini ya mfumo wa makondoo wa chama kimoja.
Sio kila siku ni ijumaa.Sawa. Sasa hivi hayapo hayo makondoo. TEC na hayo matamko yao waliishawahi kubadilisha Tanzania? Nipe mfano mmoja kama upo.
Nilijua HUWEZI kuwa na mfano hata mmoja kwasababu Wajinga huongea bila ushahidi!Sio kila siku ni ijumaa.
Umekuja na marking scheme nini?Nilijua HUWEZI kuwa na mfano hata mmoja kwasababu Wajinga huongea bila ushahidi!
Najua HUWEZI kujibu hili. Nyumbu yeyote HANA UWEZO huo!Umekuja na marking scheme nini?
Nimecheka vibaya, kwamba umetoa bonge la swali.Najua HUWEZI kujibu hili. Nyumbu yeyote HANA UWEZO huo!
Waambie ukweli! Huyu Hana maana yoyote MLA asusa!Hahitaji haki, waliomuweka hapo hawakumpa maelekezo ya kudai haki.
Wavurugaji wa Haki na Ukweli hawapendi kuambiwa Ukweli wanapenda kutunga Uongo Uongo wanachojua kikubwa ni mbinu za kuibaHawezi kutaja haki kwa sababu ni pandikizi la Sisiem na Sisiem hawapendi haki
Muulize Mvaa ushungi atakupa jibu na Chama Cha Mboga jibu wanaloLissu lini ananyongwa mpaka Kufa?