Magulumelafulu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 623
- 716
Kahubiri Askofu Mameo wa Morogoro ama huyo ni wa Zambia, Mkuu wa KKKT hawezi maana yuko ndani ya nyayo za serikari muraππππMahubiri ya Mkuu wa KKKT sikukuu ya Pasaka kwa namna yoyote yametaja neno HAKI? Au?
Ungelijipu ningelikuondoa kwenye kundi la nyumbu! Ahahahahaha!!Nimecheka vibaya, kwamba umetoa bonge la swali.
Mleta uzi kauliza, "Neno haki limetajwa na askofu"? Hi habari ya kanisa katoliki kua na akili au laa wewe umelitoa wapi? Kwa Mkristo yeyote anajua, AMANI ni tunda au zao la HAKI, pasipo haki, tegemea mahali hapo AMANI itatoweka. Na kanuni ya kimaandiko, haijalishi uwe Mkatoliki, Lutheran, Msabato or Anglican or any kanisa, kama kiongozi ni mwamini wa Biblia, hiyo ndio kanuni. Amani haimbewi tenda haki, Amani itaendelea tu, it is an automatic thingNa hapo ninyi wajinga ndipo mnapokosea. Mnafikiri TEC ndio wako sahihi kuliko wengine. Mimi ni Mkatoliki mwenye Sakramenti zote nimebakiza ya Mpako Mtakatifu wa Wagongwa, lakini kuamini Kanisa Moja Katoliki la Mitume Tanzania eti ndio wana akili kuliko wengine huo ni UJINGA NA UPUMBAVU!
Ikitokea ww chawa ukanisifia itabidi nijiangalie nakwama wapi.Ungelijipu ningelikuondoa kwenye kundi la nyumbu! Ahahahahaha!!
Na kiukweli nikikusifia basi ujue akaunti yangu ipo acked!Ikitokea ww chawa ukanisifia itabidi nijiangalie nakwama wapi.
Sio acked, ni Hacked.Na kiukweli nikikusifia basi ujue akaunti yangu ipo acked!
Point taken!Sio acked, ni Hacked.
Utulivu sawa maana hata majambazi huwa wakiingia majumbani mwa watu hutoa amri ya kila mtu kutulia.In fact,
yamejikita zaidi katika kuhamasisha amani, utulivu
sawa mropokaji πUtulivu sawa maana hata majambazi huwa wakiingia majumbani mwa watu hutoa amri ya kila mtu kutulia.
Lakini amani ni tunda la haki.
Sawa.sawa mropokaji π
Yes gentleman,Sawa.
Kioo hakina sura. Sura mbaya unayoiona unapojitizama ndiyo sura yako siyo sura ya kioo.
CCM ikijitizama kwenye kioo inataka ijione inapendeza wakati ina sura mbaya!
Yule Mzee keshaacha kunywa Whisky. Hata rafiki yake johnthebaptist anajua kuwa yule Mzee kaacha mambo ya vileo vikali.Yes gentleman,
ni kama vile tu maigizo ya chief mropokaji anaejifanya ni yatima asie jiweza na anae teseka sana ili tu atie huruma, kusudi apate fursa ya kuchangiwa pesa za whisky na nyama choma π
relax gentleman πYule Mzee keshaacha kunywa Whisky. Hata rafiki yake johnthebaptist anajua kuwa yule Mzee kaacha mambo ya vileo vikali.
Miaka 80 Bado awe anakunywa kweli?
I 'm cool πrelax gentleman π