Mahujaji 107 wafariki na 238 wamejeruhiwa baada ya winchi kuanguka katika msikiti wa Makkah

Allah atupe subra, sisi sooote ni marejeo kwake.
 
Kama mungu ana control kwa nini hakuzuia crane lisiangukie msikiti wake na kunusuru waja wake waliokuwa wanamcha kwenye msikiti huo?

Huyu mungu hana huruma?

Mfumo wa Mema na Mabaya unatoa nafasi kwa mabaya kutufikia.Kumbuka tulipewa na MUNGU uhuru wa kuchagua mfumo wa maisha.Kwa hiyo mabaya hayo hayajaondoa sifa ya MUNGU ya huruma na rehema.Kwa maana tumechagua sisi wenyewe kuishi ktk mfumo mbaya wa mema na mabaya unaompa ibilisi nafasi ya kufanya mabaya katika maisha ya wanadamu.Mimi Nadhani tumlaumu Adam na Hawa.
 
Kwa nini mungu mwenye huruma, rehema na uwezo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika ikiwa alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kufanyika?

Kwa nini uwalaumu Adam na Hawa wakati mungu aliweza kuumba ulimwengu usiowezekana kuwa na lawama lakini hakuumba ulimwengu huo?
 
Adam na hawa walikuwa Wamepewa mifumo miwili ya maisha na wakasisitiziwa wachague ule wa kwanza usiokuwa na kifo, magonjwa na matatizo lakini walikaidi wakachagua mfumo mbaya wa Mema na Mabaya.Kwa hiyo ndo wakulaumu na sio MUNGU.
 
Kwa nini walipewa mifumo miwili mmoja ukiwa na kifo, magonjwa na matatizo?

Kwa nini hawakupewa mifumo miwili ambayo yote haina kifo, magonjwa na matatizo?

Mungu alishindwa kuwapa mifumo miwili isiyo na kifo, magonjwa na matatizo?

Ukiwa na mtoto wako mchanga unayempenda, unampa uchaguzi wa kuchagua anywe maziwa au sumu na kumuachia achague mwenyewe au unampa maziwa tu ambayo unajua hayatamuua?

Kwa nini mungu mwenye uwezo wa kumpa mtoto wake mchanga uchaguzi wa maziwa au maji kampa uchaguzi wa maziwa au sumu?

Huyu mungu unaweza kusema ana uwezo wote na upendo wote kweli?
 
Mfumo wa kwanza angeusimamia yeye mwenyewe na wa pili ungetupa uhuru ila na una mianya mingi ya kutuletea shida.Na hata mwanao ukimpa maziwa na sumu na ukamweleza uzuri wa maziwa na ubaya wa sumu lazima atachagua maziwa hata kama kutakuwa na external force zinazopingana nae.
 
Hujajibu swali la kwa nini mungu katupa mfumo wenye kifo, magonjwa na matatizo at all, wakati hakulazimika kufanya hivyo.

Unaeleza kwamba hata mwanao ukimpa maziwa na sumu ukamweleza vizuri lazima atachagua maziwa, kwa nini umpe sumu kama choice at all kama una uwezo wa kumpa maziwa na maji?

Hujajibu maswali haya.
 
Huu uzi unakoelekea....
utachafua hali ya hewa.

Hakuna uchafuzi zaidi ya kuamininmungu ambaye huwezi hata kumuelezea.

Nimeuliza imekuwaje mungu mwenyebuwezo wote na upendo wote kwa watu wake aachie crane liangukie msikiti wake ulio mtukufu kabisa?

Huyu mungu alikuwa kasinzia au vipi?

Sijajibiwa vya kueleweka mpaka sasa.
 
Jameni tusitumie akili za kibinadamu zenye mapungufu kumjadili Mungu. Sisi uwezo wetu upo kwenye "common senses" wakati mambo ya Mungu yamepita hizo senses.
 
Tusimjadili sana Mungu kwa common senses zetu kama alivyoshauri Mdau toka Kagame side! Tuwape pole binadamu wenzetu waliofikiwa na majanga ambayo si vizuri kushangilia.
Hoja nyingine za kupishana hapa na pale zisifanyr UTU ukatutoka......
Poleni ndugu zetu
 
Wewe unatumia akili gani kujua kwamba tusitumie akili za kibinadamu kumjadili mungu?
 
Tusimjadili sana Mungu kwa common senses zetu kama alivyoshauri Mdau toka Kagame side! Tuwape pole binadamu wenzetu waliofikiwa na majanga ambayo si vizuri kushangilia.
Hoja nyingine za kupishana hapa na pale zisifanyr UTU ukatutoka......
Poleni ndugu zetu

Wewe unapoandika hivyo, unatumia nini kusema tusimjadili mungu kwa kutumia commmon sense zetu?

Tutumie nini ikiwa si common sense?

Na kwa ninobtusitumie common sense ikiwa mungu ndiye katupa hiyo common sense?
 
Wewe unapoandika hivyo, unatumia nini kusema tusimjadili mungubkwa kutumia commmon sense zetu?

Tutumie nini ikiwa si common sense?

Na kwa ninobtusitumie common sense ikiwa mungu ndiye katupa hiyo common sense?

Kwanza kabisa naomba radhi kwa kutoeleweka...... hilo ni mojawapo ya kutumia COMMON SENSES.... Matumizi ya KOMON SENSI ni ya kawaida kwa binadamu aliye timamu..... tunaposema ama ninaposema tusitumie komon sensi nina maanisha KUJILINGANISHA na KUTUMIA SENSI ZETU kuwa hata na za MUNGU ZIPO HIVYO HIVYO NA HAZIZIDI HAPO.... uwezo wa Mungu ni wa juu zaidi..... nikitumia mfano rahisi BINADAMU KWA KUTUMIA "KUONA" hawezi kuona vijidudu vya MALERIA mpaka atumie MICROSCOPE wakati kwa Mungu anaona bila microscope.... BINADAMU anaona kwenye STRAIGHT LINE.....na pale penye OBSTACLE hawezi ona....hali ni tofauti kabisaa kwa MUNGU..... hata yale tuyafanyayo SIRINI yeye huyaona....... HUO NI MFANO MMOJA TU JUU YA UONAJI
 
Unanikataza kutumia senses zangu kwa mambo ya mungu.

Wewe unaposema uwezo wa mungu upo juu umetumia senses gani kujua hilo?
 
Hakuna uchafuzi zaidi ya kuamininmungu ambaye huwezi hata kumuelezea.

Nimeuliza imekuwaje mungu mwenyebuwezo wote na upendo wote kwa watu wake aachie crane liangukie msikiti wake ulio mtukufu kabisa?

Huyu mungu alikuwa kasinzia au vipi?

Sijajibiwa vya kueleweka mpaka sasa.

Yaani wewe ni zaidi ya Farao
 
Maswali yangu hayajajibiwa.

Kama ni zaidi au si zaidi ya Farao that is a side issue.
😹😹😹😹😹😹

kila unachouliza unakosa jibu

ila una majibu ya kila swali 😆😆😆
 
Back
Top Bottom